ngongoti2000
JF-Expert Member
- Nov 20, 2017
- 2,233
- 2,159
Hwbu pita pale Matejoo mida hiyo halafu ulete mrejeshoMuongo...sahii ni saa 3 kamili na me bado sijalala
Hwbu pita pale Matejoo mida hiyo halafu ulete mrejeshoMuongo...sahii ni saa 3 kamili na me bado sijalala
Mlangomoja mkuu.Mwanza sehm gan mkuu?
ila ulishaanza kusinzia,macho tu nlishayaonaMuongo...sahii ni saa 3 kamili na me bado sijalala
Nilikua napembua comment moja baada ya nyingineYaelekea huyu aliondoka arusha 1995!! Anaongelea habari ya unga ltd na ujambazi leo? Haijui hata mitaa hatarishi kwa sasa,ngoja nimdokeze kidogo- pandisha barabara ya sanawari,panda juu kabisa hadi ukute daraja,ukishavuka hilo daraja sasa jiendee tu slow slow,maana muda wowote unakabwa,umeshaisikia kidin'ga? Basi bora usiisikie, (2)panda mianzini kutokea kwenye mataa pale, nenda juu kama kilometa 5 hivi,kuna mtaa kule wakaaji wote wanajuana,ukiwa hueleweki basi wenyeji wanakupora kila kitu mbele ya kadamnasi, in short Arusha ina washamba flani wachache tu (mleta mada akiwemo) ambao hawajawahi kutoka nje ya arusha na ambao wanadhani ni arusha tu ndiyo kuna vibaka,wanadhani ni arusha tu ndiyo kuna wavuta bangi,na wanafikiri ni ujanja kuvuta bangi huku unatembea barabarani,au kutembea na beto na bisibisi wanaona ni uselaaa! Hao washamba wachache ndiyo wanaotuharibia sifa ya kamji chetu!!! Najisikia salama mno kutembea unga ltd saa saba za usiku kuliko kukatiza temeke saa 12 jioni,
Sasa mbona Wamasai watu poa sana na wanafahamika Nchi nzima?
Kamwe hawawezi kuanza kukuchokoza wewe labda uanzishe ugomvi wewe.
For the first time nakusikia wewe ukisema Wamasai wana roho mbaya.


. nimepamiss sana....
Mkuu hamia tukuyu utafurahia maisha sana
Niliwahi kutumwa kazi moja hivi msasani na ushirika ikataka kuniumbuaTukuyu pakoje mzee?? Msasani, makandana, ushirika, bulyaga, bujinga, .... nimepamiss sana....



Huko chuga kawaida sana.
Embu waje dar watembelee sehemu hizi
Mburahati ,vingunguti, gongo la mboto, chanika , ukonga moshi bar, yombo buza, mbagala , keko kitoroli , nk.
Dada ni nin lakin?,Au Unatamani kutafunwa?...Arusha matusi ni lugha ya kawaida na wenyewe haiwashtui hata kidogo,.. Mtu anatukana tusi zito akiwa na watoto wake na mkewe na wao wanachekelea tu, ni kawaida kabisa... Ila tumesahau kwamba hawa watu ni wamasai,.. Kwa asili yao na hizo tabia ni zao,.. Kwahiyo ndivyo walivyo hawatakaa wabadilike na kustaarabika.. Uhuni ndio sifa zao,.. Ndio maana ukiingia Arusha, na ubadilishe driving ya gari yako, hapa utaona vurugu nyingi barabarani na ni ngumu kuzizoea ila ndivyo walivyo... Taa za barabarani kila kukicha zinagongwa kwa ubabe wa kutofata sheria,... Awe mzee, mtoto au mke,. Tabia zao ni sawa,.. Tena wanawake wa Arusha ni wakorofi zaidi ya wanaume,.. Usidandie mke wa Arusha, wana roho mbaya sana hawa viumbe... Ila mimi naishi nao nikiwa najua ni WAMASAI.
Katika hili kaa mbali zaidi maana haujaelewa hata kidogo,unapokuwa Jf unapaswa kuwa Great Thinker mara 100 ya unavyotumia kufikiri ukiwa ndani ya mitandao mingi.Sifa za kijinga hizo
Kweli mkuu tukuyu ni poa sana unaweza kaa hata miaka 3 usisikie tukio la ujambaziMkuu hamia tukuyu utafurahia maisha sana
Najua sana kiongozi ngarenaro, ungalimi. Matejoo, yani ni balaa
Wanaiga tabia za nchi jirani ! Angalia mpaka Hiace zao (machata kama Nairobi)Wakuu salama, Sina. Mengi ya kuandika hapa,
Nina. Miaka kadhaa hapa Arusha lakini kuna baadhi ya mambo hunishangaza kidogo
1) Ujambazi, wezi wa hapa hawaogopi chochote, mfno mzuri usiku wa. Leo wameingia kwenye nyumba ya mjeda, mwanamke na mume wake wote ni wajeda lakini cha kushangaza wazee wa kazi wameingia ndani ya ukuta wamechukua piki piki na kusema.
Mwezi Uliopita pia waliingia kwa mjeda mwingine huko kwa morombo wakachukua kombati. Lilikuwa kwenye kamba lime Anika.
2) Ugomvi kidogo mtu anachomoa kisu. Na hapepesi anakupa cha kichwa au cha tumboni. Si mwanamke si mwanaume wote ni visu wanakushikia na hawaogopi.
3) Kubwa zaidi kuliko yote ni Bangi na. Mirungi
Si wanaume si wanawake Bangi na Mirungi huwaambii kitu. Tena Mirungi ya siku hizi wanaagiza Nairobi wanaita wenyewe ndo gredi one
Mijanamke ya hapa kukuta yanapiga mizinga ya nyagi huku yanachanja Yan kawaida sana.
4) No story no ushost kila mtu na laifu Lake, kila mtu hapa anamaindi mambo yake.
Katika mitaa ambayo haikaliki ni matejoo, ugalimi, na Ngarenaro Yan huko hata polisi wamenyoosha mikono.
Japo patrol ya. Polisi ni usiku na. Mchana lakini vijana hawasikii na hawaelewei
Mkiwadanganya hivi,wanaume wa Dar hawatofika katika jiji hili la watalii.Shida ya hapa Chuganistan lazima. Uwe mbabe, bila hivyo utaonewa sana tu au kuuliwa kabisa
Great thinker wa kujisifia uhuni na ukorofi wa chuga,.. Acha upopompo wa Arusha wewe,.. Great thinker uwe wewe,..!? PambaffffKatika hili kaa mbali zaidi maana haujaelewa hata kidogo,unapokuwa Jf unapaswa kuwa Great Thinker mara 100 ya unavyotumia kufikiri ukiwa ndani ya mitandao mingi.