severinembena
JF-Expert Member
- Jun 2, 2018
- 2,435
- 2,402
No ushost kila mtu na life lake, halafu bado wanapiga mizinga?
Sifa za kijinga hizoHapo bado hujajua mitaa ya wahalifu wanaishi watu wa aina gani,ndo utashangaa zaidi.
Wakuu salama, Sina. Mengi ya kuandika hapa,
Nina. Miaka kadhaa hapa Arusha lakini kuna baadhi ya mambo hunishangaza kidogo
1) Ujambazi, wezi wa hapa hawaogopi chochote, mfno mzuri usiku wa. Leo wameingia kwenye nyumba ya mjeda, mwanamke na mume wake wote ni wajeda lakini cha kushangaza wazee wa kazi wameingia ndani ya ukuta wamechukua piki piki na kusema.
Mwezi Uliopita pia waliingia kwa mjeda mwingine huko kwa morombo wakachukua kombati. Lilikuwa kwenye kamba lime Anika.
2) Ugomvi kidogo mtu anachomoa kisu. Na hapepesi anakupa cha kichwa au cha tumboni. Si mwanamke si mwanaume wote ni visu wanakushikia na hawaogopi.
3) Kubwa zaidi kuliko yote ni Bangi na. Mirungi
Si wanaume si wanawake Bangi na Mirungi huwaambii kitu. Tena Mirungi ya siku hizi wanaagiza Nairobi wanaita wenyewe ndo gredi one
Mijanamke ya hapa kukuta yanapiga mizinga ya nyagi huku yanachanja Yan kawaida sana.
4) No story no ushost kila mtu na laifu Lake, kila mtu hapa anamaindi mambo yake.
Katika mitaa ambayo haikaliki ni matejoo, ugalimi, na Ngarenaro Yan huko hata polisi wamenyoosha mikono.
Japo patrol ya. Polisi ni usiku na. Mchana lakini vijana hawasikii na hawaelewei
Labda Arusha ya zamani lakini sio ya sasa
Watu wamekuwa wastaarabu mno, sio kama kipindi cha nyuma
Jiji la kishamba sana saa 1 watu washalala
Kijenge wameanua nguo za mke wangu,.. HahahaaHayo ni mambo ya Arusha ya zamani.
Kwa hyo ishu ya bia hapo nadhani hata hyo Dar hujatembea vizuriNipo Chuga ila maeneo niliyopo ya Uzunguni kuna bar nyingi sana na sijaskia tukio la ukabaji. Lakini kuna bar moja inaitwa Tingatinga kuna jamaa aliangusha bia bas demu mmoja karibu yake alimtukana matusi ya hatari hadi nikashangaa anapata wapi ujasiri. Bora nirudi zangu Daslamu kesho.
Huko chuga kawaida sana.
Embu waje dar watembelee sehemu hizi
Mburahati ,vingunguti, gongo la mboto, chanika , ukonga moshi bar, yombo buza, mbagala , keko kitoroli , nk.
Arusha matusi ni lugha ya kawaida na wenyewe haiwashtui hata kidogo,.. Mtu anatukana tusi zito akiwa na watoto wake na mkewe na wao wanachekelea tu, ni kawaida kabisa... Ila tumesahau kwamba hawa watu ni wamasai,.. Kwa asili yao na hizo tabia ni zao,.. Kwahiyo ndivyo walivyo hawatakaa wabadilike na kustaarabika.. Uhuni ndio sifa zao,.. Ndio maana ukiingia Arusha, na ubadilishe driving ya gari yako, hapa utaona vurugu nyingi barabarani na ni ngumu kuzizoea ila ndivyo walivyo... Taa za barabarani kila kukicha zinagongwa kwa ubabe wa kutofata sheria,... Awe mzee, mtoto au mke,. Tabia zao ni sawa,.. Tena wanawake wa Arusha ni wakorofi zaidi ya wanaume,.. Usidandie mke wa Arusha, wana roho mbaya sana hawa viumbe... Ila mimi naishi nao nikiwa najua ni WAMASAI.Nipo Chuga ila maeneo niliyopo ya Uzunguni kuna bar nyingi sana na sijaskia tukio la ukabaji. Lakini kuna bar moja inaitwa Tingatinga kuna jamaa aliangusha bia bas demu mmoja karibu yake alimtukana matusi ya hatari hadi nikashangaa anapata wapi ujasiri. Bora nirudi zangu Daslamu kesho.
Hayo ni mambo ya Arusha ya zamani.
Huko meru milimani si ndiko mnalima Bangi, mara nyingi sana polisi huenda kukata na kuchoma bangi mshamban huko,Kwanza nikuambie tu Sina uhakika Kama ww n mzawa wa Arusha ,naona Kama ni muhamiaji tu hapo ,
Mm ni mzawa kabisa wa Arusha hapo wilaya ya meru so huko ni kwetu kabisa ,
Sijui una lengo gani kuipaisha Arusha au kuichafua arusha kwa vitendo ovu na vya kikatili ulivyovisema ,mkuu unapotaja Arusha ,ujue unataja
Arusha jiji
Arusha manispaa/ Arumeru magharibi zamani
Meru/ east Arumeru zamani
Karatu
Longido
Ngorongoro
Monduli n.k
Sasa nikukanye au nikwambie tu acha kuichafua arusha kwa takwimu zako za matejo na ngalimitedi + kina ngarenaro na akina daraja mbili ,mkuu hyo cyo Arusha n vimitaa tu vya Arusha jiji nenda kauone uzur wa Arusha kwa kutembea wilaya zake ,zina watu Makini ,waungwana ,wachapakazi ,werevu ,na cyo hvyo vitabia vya mitaa tu ya Arusha jiji ,, arusha cyo mjini tu hpo ina wilaya zake na watu Makini Sana ,kwahyo biashara ya kuja hapa na ku genneralize arusha kwa data za vimitaa tu tafadhali acha Mara moja ,,
Kwanza nikuambie tu Sina uhakika Kama ww n mzawa wa Arusha ,naona Kama ni muhamiaji tu hapo ,
Mm ni mzawa kabisa wa Arusha hapo wilaya ya meru so huko ni kwetu kabisa ,
Sijui una lengo gani kuipaisha Arusha au kuichafua arusha kwa vitendo ovu na vya kikatili ulivyovisema ,mkuu unapotaja Arusha ,ujue unataja
Arusha jiji
Arusha manispaa/ Arumeru magharibi zamani
Meru/ east Arumeru zamani
Karatu
Longido
Ngorongoro
Monduli n.k
Sasa nikukanye au nikwambie tu acha kuichafua arusha kwa takwimu zako za matejo na ngalimitedi + kina ngarenaro na akina daraja mbili ,mkuu hyo cyo Arusha n vimitaa tu vya Arusha jiji nenda kauone uzur wa Arusha kwa kutembea wilaya zake ,zina watu Makini ,waungwana ,wachapakazi ,werevu ,na cyo hvyo vitabia vya mitaa tu ya Arusha jiji ,, arusha cyo mjini tu hpo ina wilaya zake na watu Makini Sana ,kwahyo biashara ya kuja hapa na ku genneralize arusha kwa data za vimitaa tu tafadhali acha Mara moja ,,
Arusha matusi ni lugha ya kawaida na wenyewe haiwashtui hata kidogo,.. Mtu anatukana tusi zito akiwa na watoto wake na mkewe na wao wanachekelea tu, ni kawaida kabisa... Ila tumesahau kwamba hawa watu ni wamasai,.. Kwa asili yao na hizo tabia ni zao,.. Kwahiyo ndivyo walivyo hawatakaa wabadilike na kustaarabika.. Uhuni ndio sifa zao,.. Ndio maana ukiingia Arusha, na ubadilishe driving ya gari yako, hapa utaona vurugu nyingi barabarani na ni ngumu kuzizoea ila ndivyo walivyo... Taa za barabarani kila kukicha zinagongwa kwa ubabe wa kutofata sheria,... Awe mzee, mtoto au mke,. Tabia zao ni sawa,.. Tena wanawake wa Arusha ni wakorofi zaidi ya wanaume,.. Usidandie mke wa Arusha, wana roho mbaya sana hawa viumbe... Ila mimi naishi nao nikiwa najua ni WAMASAI.
Waambie hao,Yaelekea huyu aliondoka arusha 1995!! Anaongelea habari ya unga ltd na ujambazi leo? Haijui hata mitaa hatarishi kwa sasa,ngoja nimdokeze kidogo- pandisha barabara ya sanawari,panda juu kabisa hadi ukute daraja,ukishavuka hilo daraja sasa jiendee tu slow slow,maana muda wowote unakabwa,umeshaisikia kidin'ga? Basi bora usiisikie, (2)panda mianzini kutokea kwenye mataa pale, nenda juu kama kilometa 5 hivi,kuna mtaa kule wakaaji wote wanajuana,ukiwa hueleweki basi wenyeji wanakupora kila kitu mbele ya kadamnasi, in short Arusha ina washamba flani wachache tu (mleta mada akiwemo) ambao hawajawahi kutoka nje ya arusha na ambao wanadhani ni arusha tu ndiyo kuna vibaka,wanadhani ni arusha tu ndiyo kuna wavuta bangi,na wanafikiri ni ujanja kuvuta bangi huku unatembea barabarani,au kutembea na beto na bisibisi wanaona ni uselaaa! Hao washamba wachache ndiyo wanaotuharibia sifa ya kamji chetu!!! Najisikia salama mno kutembea unga ltd saa saba za usiku kuliko kukatiza temeke saa 12 jioni,
Maeleezoo meengiii halafu nehiKwanza nikuambie tu Sina uhakika Kama ww n mzawa wa Arusha ,naona Kama ni muhamiaji tu hapo ,
Mm ni mzawa kabisa wa Arusha hapo wilaya ya meru so huko ni kwetu kabisa ,
Sijui una lengo gani kuipaisha Arusha au kuichafua arusha kwa vitendo ovu na vya kikatili ulivyovisema ,mkuu unapotaja Arusha ,ujue unataja
Arusha jiji
Arusha manispaa/ Arumeru magharibi zamani
Meru/ east Arumeru zamani
Karatu
Longido
Ngorongoro
Monduli n.k
Sasa nikukanye au nikwambie tu acha kuichafua arusha kwa takwimu zako za matejo na ngalimitedi + kina ngarenaro na akina daraja mbili ,mkuu hyo cyo Arusha n vimitaa tu vya Arusha jiji nenda kauone uzur wa Arusha kwa kutembea wilaya zake ,zina watu Makini ,waungwana ,wachapakazi ,werevu ,na cyo hvyo vitabia vya mitaa tu ya Arusha jiji ,, arusha cyo mjini tu hpo ina wilaya zake na watu Makini Sana ,kwahyo biashara ya kuja hapa na ku genneralize arusha kwa data za vimitaa tu tafadhali acha Mara moja ,,
mtaa wa Ungalimitedi, huko balaa saa mbili asubuhi unaweza pigwa ngeta/kabaliWakuu salama, Sina. Mengi ya kuandika hapa,
Nina. Miaka kadhaa hapa Arusha lakini kuna baadhi ya mambo hunishangaza kidogo
1) Ujambazi, wezi wa hapa hawaogopi chochote, mfno mzuri usiku wa. Leo wameingia kwenye nyumba ya mjeda, mwanamke na mume wake wote ni wajeda lakini cha kushangaza wazee wa kazi wameingia ndani ya ukuta wamechukua piki piki na kusema.
Mwezi Uliopita pia waliingia kwa mjeda mwingine huko kwa morombo wakachukua kombati. Lilikuwa kwenye kamba lime Anika.
2) Ugomvi kidogo mtu anachomoa kisu. Na hapepesi anakupa cha kichwa au cha tumboni. Si mwanamke si mwanaume wote ni visu wanakushikia na hawaogopi.
3) Kubwa zaidi kuliko yote ni Bangi na. Mirungi
Si wanaume si wanawake Bangi na Mirungi huwaambii kitu. Tena Mirungi ya siku hizi wanaagiza Nairobi wanaita wenyewe ndo gredi one
Mijanamke ya hapa kukuta yanapiga mizinga ya nyagi huku yanachanja Yan kawaida sana.
4) No story no ushost kila mtu na laifu Lake, kila mtu hapa anamaindi mambo yake.
Katika mitaa ambayo haikaliki ni matejoo, ugalimi, na Ngarenaro Yan huko hata polisi wamenyoosha mikono.
Japo patrol ya. Polisi ni usiku na. Mchana lakini vijana hawasikii na hawaelewei
Kwa hiyo mitaa uliyoitaja maisha ni ya ushetani kiwango cha juu kabisa tofauti sana na mitaa mingine
Huko wanaishi watu waliokata tamaa na maisha ....tsh 50 tu inaondoa roho ya mtu mitaa hiyo
Teh....mbona unaua hivoArusha kuna watu washamba washamba tu ujuaji mwingi, nimekutana na Pisi ya nguvu ajabu imeoza meno