Maisha Vs Muda,...Unatosha?!

LOL!! ........haaaahhaa!....e bana weeeeeeeeee....kumbeee eeh? jamani usin'tose basi...JF ishan'ponza hii kwa u open mindedness wangu....aaarrrgghhh!....nilidhani maisha ni past, present and future...nithamee jamani,....thiludiiiii tena!
Hapana siwezikukutosa bana tena na hiyo picha hapo!! Wala sipindui lol
Hahha nimesema tu kile niwazacho mydia!! kuweka life katika mgawanyiko wa saa namna hiyo!! Hapana
Kwa ibada inaeleweka time ziko fixed asubuhi a usiku wakati wa kulala but katikati ya siku hapana weka room ya manouver kidogo
 
Wewe bwana lazima utakuwa mchawi.........haiwezekani pale ninapokukumbuka, kuwaza unatokea....................... sasa hii wheel of life naona inaaply kwa wale wenye stable relationship..una mke/mume au stable gal/guy.....kwka wale wanatafuta je?? uwii Mbu atatuua shem.....sijui tuhamie chamber?

Hahahh eti Mada imekwenda shule kuliko Bunge la Dodoma halafu umepata kazi BBC kiswahili unaongea tu kumpa ujiko Nyerere...wewe umepindia kushoto walah

Hapo red hehehe umenikumbusha mshkaji wangu wa karibu sana alikuwa ana wheel of life nzuri sana na waifu wake, holiday, mazoezi, entertainment, kazi n.k. Lakini from nowhere ndoa yake ikapata wanoko wakaivunjilia mbali, hehehe nadhani wheel of life ilipata puncture, jamaa sasa ni yeye na pub tu, hana zoezi wala jirani yake zoezi.

Nadhani Wheel of life inaathiriwa na status sometime.
 
....iiiiiissshhhhhhhh!, sasa nawe unapaka na siagi kabisaaaa mkate ulike vizuri, mnh!
Hahahhh mbona waogopa bana hebu achana na Klorokwini huyo ni mpinzani dumu wajua ...........nikonvinsi basi na wewe! Hutaki kiongeze speed ya kumpindua 'Soulmate'?
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
check this out....nimeifuma mahali
Tuutumie kama mfano wa mtu aliye principled.lol...!

...it's important to be clear on your priorities in life and not get caught up with endless distractions. Here's a simple exercise to help you stay focused.

Here's my list, in no particular order:

1. This world is a corridor to the Next World. My life -- right here, right now -- is to create eternity by choosing wisely, to connect to God and become more and more like God. Get moving; this opportunity is quickly evaporating.
2. I have free will and can choose to wage battle against my yetzer hara, my lower self. I am responsible for my actions. There are no excuses, only eternal consequences. God is filming everything, and isn't going to turn a blind eye. He expects the most from me. Choose life!3. The only real failure in life is not trying. Don't be afraid to take on new challenges and risks. I never know what good will come from my focused efforts, but I do know what will come from not trying.
4. I have an obligation to learn and know the entire Torah. What is my plan to accomplish this? What am I doing about it?
5. Am I making God welcomed and comfortable to be with me in my day to day life? Am I thinking inappropriate things? Am I viewing in appropriate things? Am I wasting time? Losing my temper? Being critical and judgmental? Am I even thinking about God?
6. Am I taking care of my health?
7. Am I nurturing my most important relationships? Be affirming, positive, giving to others.
8. It doesn't matter what others think of me. My self esteem comes from recognizing that I am a pure soul, loved by God, striving to do my best.
9. I am responsible for the Jewish people. With the majority of Jews intermarrying and assimilating, there is a grave spiritual crisis, as well as a serious physical threat to Jews everywhere. What am I doing about this? What else can I do?
10. If I'm not pushing myself beyond my comfort zone, I'm not really living. Life in this world is for growth and struggle.11. (I know I said ten, but how can I not include this one?) God is the ultimate reality, the transcendent source of all existence. There are no accidents; everything happens for a reason and is somehow for my good.
Your 10 Guiding Principles for Life

...what's wrong being principled jamani ili nijibadilishe?

yawezekana principles zangu za maisha kwa namna moja au nyingine zasababisha kunivunjia mahusiano yangu.
Mie ni mwanafunzi kwenye uwanja wa mapenzi, mpaka siku mtayonizika ndio alhamdulillah nitakuwa nimefaulu!
 
Hapo red hehehe umenikumbusha mshkaji wangu wa karibu sana alikuwa ana wheel of life nzuri sana na waifu wake, holiday, mazoezi, entertainment, kazi n.k. Lakini from nowhere ndoa yake ikapata wanoko wakaivunjilia mbali, hehehe nadhani wheel of life ilipata puncture, jamaa sasa ni yeye na pub tu, hana zoezi wala jirani yake zoezi.

Nadhani Wheel of life inaathiriwa na status sometime.

Umeona eh shem!! Yaani unless kama inaspecify watu wa umri flani assuming kuwa tayari wana stable relationship!!
Halafu wheel of life inapotenganisha Career na finances mie siielewi napia nadhani inalenga wenye wenye ajira za kuajiriwa tena ambako overtime hasiruhusiwi. Kwa mtu mwenye biashara yake aliyejiajiri more time investment kwenye biashara yake means more profit na stability ya bashara yake. Kwa mwajiriwa kama Mjw1 hapa ambako hakuna overtme wala appreciation na hasa ukijifanya mzalendo mjenga nchi kuwa wajisikia vibaya kama kazi haijenda .......basi wheel of life utaisikia harufu tu hewani!!

Mwe I need therapy kwa kweli
 
check this out....nimeifuma mahali
Tuutumie kama mfano wa mtu aliye principled.lol...!

...what's wrong being principled jamani ili nijibadilishe?

yawezekana principles zangu za maisha kwa namna moja au nyingine zasababisha kunivunjia mahusiano yangu.
Mie ni mwanafunzi kwenye uwanja wa mapenzi, mpaka siku mtayonizika ndio alhamdulillah nitakuwa nimefaulu!

ha ha ha Mbu bana! Sote tunahitaji principles za maisha but the way we apply them is different. Mimi siwezi kupanga lazima kesho saa 4 niende sinema na waifu hata kama sinema wenyewe kuna movie ya kingwendu.
 
Mbu Darling if you critically look at the 11 principles you have out them down, you will realize that most of them just fall in one section of the wheel......Your relationship with your GOD!! See numbers 1,2,4,5,7,8,9,and 11. Unless we agree that GOD fills the Wheel for Us! (Of which its true in the world of faith)
 
Hapo red hehehe umenikumbusha mshkaji wangu wa karibu sana alikuwa ana wheel of life nzuri sana na waifu wake, holiday, mazoezi, entertainment, kazi n.k. Lakini from nowhere ndoa yake ikapata wanoko wakaivunjilia mbali, hehehe nadhani wheel of life ilipata puncture, jamaa sasa ni yeye na pub tu, hana zoezi wala jirani yake zoezi.

Nadhani Wheel of life inaathiriwa na status sometime.

LOL, ati wheel of life ilipata pancha! huyo basi nae hakuwa japo na 'oko?'
ndio hao wanaokurupuka kusema kaharibiwa maisha!...kushinda pub anamkomoa nani sasa?
aaarrrghhhh!

Mtu wa namna hiyo kwa mwonekano wa nje mlikuwa mnadhani he's balanced, kumbe kiukweli mkewe ndie aliyekuwa
ana balance equations zote
. Siku alipoondoa kiegemeo matokeo yake ndio hayo. Iwapo Unamudu ku balance mwenyewe maisha yako, msukosuko wowote utaotokea hautokuyumbisha sana.

Wengi wetu tunajisahau, tukishakumbwa na maswahibu ya dunia hatuchelewi kulalama ewe mungu weee, mbona umeniacha? yakizidi sana utasikia, aaah Amri ya mungu!....ha ha ha....Mungu kakuamulia nini? M,uingu alikupa akili ya kung'amua, na maamuzi ya kuchagua.
Lakini pia, alikupa akili ya tahadhari...

Huyo baba kajiharibia mwenyewe maisha bana, pombe zikimuisha matatizo pale pale plus hela imekwisha na hangover juu!

Umeona eh shem!! Yaani unless kama inaspecify watu wa umri flani assuming kuwa tayari wana stable relationship!!
Halafu wheel of life inapotenganisha Career na finances mie siielewi napia nadhani inalenga wenye wenye ajira za kuajiriwa tena ambako overtime hasiruhusiwi. Kwa mtu mwenye biashara yake aliyejiajiri more time investment kwenye biashara yake means more profit na stability ya bashara yake. Kwa mwajiriwa kama Mjw1 hapa ambako hakuna overtme wala appreciation na hasa ukijifanya mzalendo mjenga nchi kuwa wajisikia vibaya kama kazi haijenda .......basi wheel of life utaisikia harufu tu hewani!!

Mwe I need therapy kwa kweli

Mwj1....hebu turudishe darasanai. Kumbe kuna umri ambao unaspecify stable relationship?
ni umri gani huo?

halafu weye waing'ang'ania kazi tuuuuuuuuuuuuu,....lol....hebu jaribu siku moja usiende kazini kama
ofisi itafungwa. Am sorry, lakini hili neno nimelisikia toka kwa bosi wangu akimwambia jamaa, wallahi jamaa alijiona
mdogo kama piriton. Ukweli unaouma,...kazi tumezikuta na tutaziacha...kujiwekea kipimo ni wajibu.

Kuna babu mmoja nilifanya nae kazi, yeye lianza kazi miaka 40 iliyopita! Bahati nzuri au mbaya, katika hiyo miaka 40 aliyokuwa kazini, 30 miongoni mwa hiyo alikuwa na kibarua kingine.

Alikuwa anaamka 9usiku....anaingia kazini mpaka 5asb.... kisha anaingia kazi ya pili 9mchana mpaka 5usiku!
Ila katika siku saba za wiki, alihakikisha jumapili anaiacha wazi apate kumcha muumba wake na kutembelea ndugu jamaa na marafiki.

Siku alipo retire tu apate kula vizuri pensheni yake, haikupita mwezi kagundulika ana kansa!....
sasa ni yeye na chemotherapy, hospitali na yeye... na usiombee hiyo chemotherapy bana, ni ugonjwa tosha.
Kila nimuonapo heshi kumkufuru Mungu,....

Maisha haya!
 
Well said shem! na kwa kuongezea tu, kuna zile emotional extremes kama addiction, depressions, feel devalued na partner wako, antihobbies n.k.

Labda niulize suali la nyongeza na la kizushi!

hivi vipi mnacompromise wheel of life kama ya kwako iko tofauti na ya mwenza wako? Let say hobbies zako haziendani na za mwenza wako, routine zako ni tofauti na zile anazopenda mwenza wako?
 
  • Thanks
Reactions: Mbu

Mtu wa namna hiyo kwa mwonekano wa nje mlikuwa mnadhani he's balanced, kumbe kiukweli mkewe ndie aliyekuwa
ana balance equations zote
. Siku alipoondoa kiegemeo matokeo yake ndio hayo. Iwapo Unamudu ku balance mwenyewe maisha yako, msukosuko wowote utaotokea hautokuyumbisha sana.

Hili nalo neno!!

Mwj1....hebu turudishe darasanai. Kumbe kuna umri ambao unaspecify stable relationship?
ni umri gani huo?

.........Hahahah dia lakini ukiiangalia generally hiyo Wheel inatoa ujumbe kwa watu wenye mahusiano stable!! Hbu nambie kwa mtu ambaye yu single either kwa kuumizwa au kufiliwa......hiyo section ya Relationship and Romance anaifill vije?? anaswitch wapi anaongezea wapi? Unless kama wote tunaassumu tuna mahusiano!! That is what I meant

halafu weye waing'ang'ania kazi tuuuuuuuuuuuuu,....lol....hebu jaribu siku moja usiende kazini kama
ofisi itafungwa. Am sorry, lakini hili neno nimelisikia toka kwa bosi wangu akimwambia jamaa, wallahi jamaa alijiona
mdogo kama piriton. Ukweli unaouma,...kazi tumezikuta na tutaziacha...kujiwekea kipimo ni wajibu.

Kuna babu mmoja nilifanya nae kazi, yeye lianza kazi miaka 40 iliyopita! Bahati nzuri au mbaya, katika hiyo miaka 40 aliyokuwa kazini, 30 miongoni mwa hiyo alikuwa na kibarua kingine.

Alikuwa anaamka 9usiku....anaingia kazini mpaka 5asb.... kisha anaingia kazi ya pili 9mchana mpaka 5usiku!
Ila katika siku saba za wiki, alihakikisha jumapili anaiacha wazi apate kumcha muumba wake na kutembelea ndugu jamaa na marafiki.

Siku alipo retire tu apate kula vizuri pensheni yake, haikupita mwezi kagundulika ana kansa!....
sasa ni yeye na chemotherapy, hospitali na yeye... na usiombee hiyo chemotherapy bana, ni ugonjwa tosha.
Kila nimuonapo heshi kumkufuru Mungu,....

Maisha haya!
Nakubaliana nawe kuwa kazi tumezikuta na tutaziacha lakini kumbuka kuwa kuna mambo ya performance appraisal.............ambayo ni variable kuu katika kupandishwa vyeo, na marupurupu mengineyo sasa ukishaanza kuwa na spirit hio darl si itakula kwako?? mh mie nakuchokoza tu hapa ili nipate somo zaidi
 
Well said shem! na kwa kuongezea tu, kuna zile emotional extremes kama addiction, depressions, feel devalued na partner wako, antihobbies n.k.

Labda niulize suali la nyongeza na la kizushi!

hivi vipi mnacompromise wheel of life kama ya kwako iko tofauti na ya mwenza wako? Let say hobbies zako haziendani na za mwenza wako, routine zako ni tofauti na zile anazopenda mwenza wako?

Shem hilo uloweka nalo neno.......ukiangalia ratiba ya Mbu ya wiki hakuna starehe...starehe yake ni kwendaona wagonjwa na kukaa na 'Soulmate'wake but what if 'Soulmate' anapendelea Njenje?? Ijumaa usiku au Jumamosi ambako saa tano usiku ndo kinyaunyau kikia cha pweza kinachanganyia?? Mbu utanrudisha nyumbani kulala??

Au mie ndo mwenzangu hobby yake ni kusocialize na friends...............atajilimit weekdays yes but weekend ndo nimkamate ...hapana bby please ni kuwaona wagonjwa na kumtembelea shangazi!! Hapana it will be too boring bana

Let life accomodates the adhocs and the emerging issues ah........... Unajua maisha matamu tu kila siku bila kununiana na kuudhiana kidogo hayanogi bana..msamaha utaombwa lini na Baby am sorry utazisikia wapi?? zin raha yake bana
 
ha ha ha Mbu bana! Sote tunahitaji principles za maisha but the way we apply them is different. Mimi siwezi kupanga lazima kesho saa 4 niende sinema na waifu hata kama sinema wenyewe kuna movie ya kingwendu.

....baaaaaaaaaaassi!...iwapo ushakubaliana nami sote twahitaji principles za maisha, that's all. Nakubaliana nawe 100% we apply them differently.

Huo mfano wa kupanga saa fulani twende mahala fulani, ni mambo tuyafanyayo kila siku maishani mwetu labda bila kujitambua kuwa ndio principles zenyewe hizo. Fikiria maugomvi mengi baina ya wanandoa utasikia, "kila nikipanga kutoka na mamsap yeye huchukua muda mwingi kujipodoa!...lazima umwambie ajiandae saa nzima kabla!" hujawahi sikia hilo?

Halafu ili ndoa inogile, mwahitaji compromises maaazee. Haiwezekani ikawa amri amri za "mguu shoto, mguu sawa, mbele geuka!"...Maugomvi pia huchangiwa na mwenza wako anakurupuka, "twende mahala fulani..!"...aaaaah, iweje tena...kwanini hamkuambiana au kushauriana mapema saa fulani tutoke?....ndio yale yale baadae yanazaa malalamiko,..."ananiburuza buruza tu mie nshajichokea!"

Mbu Darling if you critically look at the 11 principles you have out them down, you will realize that most of them just fall in one section of the wheel......Your relationship with your GOD!! See numbers 1,2,4,5,7,8,9,and 11. Unless we agree that GOD fills the Wheel for Us! (Of which its true in the world of faith)

LOL....nakubali Mwj1...huo ni mfano tu wa huyo bwana na principles zake.
Mie zangu tofauti na hizo, naamini zako ni tofauti vile vile.

Ndio maana nilipoanzisha topik hii nilikgusia ulazima wa kila mtu kujiangalia anavyoupangilia muda wake.
Priorities zinatofautiana.

Mashaka ni pale mnapoamua kuishi pamoja bila hapo awali kutambuana principles zenu.
Mnajikuta ndani ya nyumba huyu anavutia huku, huyu anavutia kule...
otherwise, mke/mume akiamua kum-please mwenzake (loving blindly) na kuamua ku accomodate
rigwaride, ipo siku atajajikuta kapoteza kabisa ile dira ya maisha yake alivyotaka yawe.
Reminder word; 'kuharibiwa' maisha.

Tusiwe wepesi kumlaumu mw'mungu ati yeye ndiye aliyetupangia bana, ...yeye anatupa vision,
kisha ni juu yetu kufuata 'light at the end of the tunnel,' au tusubiri kubamizwa ukutani na 'On coming train!'

pessimism-the-light-at-the-end-of-a-tunnel-pessimism-murphys-demotivational-poster-1288045657.jpg

Well said shem! na kwa kuongezea tu, kuna zile emotional extremes kama addiction, depressions, feel devalued na partner wako, antihobbies n.k.

Labda niulize suali la nyongeza na la kizushi!

hivi vipi mnacompromise wheel of life kama ya kwako iko tofauti na ya mwenza wako? Let say hobbies zako haziendani na za mwenza wako, routine zako ni tofauti na zile anazopenda mwenza wako?

...swali la kizushi zuri kweli kweli...ngoja kwanza nisubiri Optimists na Pessimists watavyojikanyaga kanyaga hapa.
 
Shem hilo uloweka nalo neno.......ukiangalia ratiba ya Mbu ya wiki hakuna starehe...starehe yake ni kwendaona wagonjwa na kukaa na 'Soulmate'wake but what if 'Soulmate' anapendelea Njenje?? Ijumaa usiku au Jumamosi ambako saa tano usiku ndo kinyaunyau kikia cha pweza kinachanganyia?? Mbu utanrudisha nyumbani kulala??

Au mie ndo mwenzangu hobby yake ni kusocialize na friends...............atajilimit weekdays yes but weekend ndo nimkamate ...hapana bby please ni kuwaona wagonjwa na kumtembelea shangazi!! Hapana it will be too boring bana

Let life accomodates the adhocs and the emerging issues ah........... Unajua maisha matamu tu kila siku bila kununiana na kuudhiana kidogo hayanogi bana..msamaha utaombwa lini na Baby am sorry utazisikia wapi?? zin raha yake bana

ha ah ha ah hapo red hapo ni kwenda kutafta kuambukizwa marazi ya ngozi tu (natania tu bana mkuu Mbu, halaf huyu MJ1 leo kawa mchokozi ajabu)

Bek to the topic: Yes nafikiri ipo haja ya kuangalia na factors zingine kabla ya kujipangia (kuchagua) wheel of life yetu, Pia tuweke wheel of life iwe free and not principled timewise just in case emergency arise.

Ni maoni yangu tu, na kikawaida nakuwa always wrong kwenye maoni.
 
Ahmaah!! Mara wangeuka best?? loh Nshakuwa mchokozi mie!!
Hahahah Mbu eh hebu kuja bana you know me loves you sana bana........but its gud to get this straight before hand.........sio vema kuendesha maisha kama unafanya mitihani ya CPA bana!!

(Mie leo sijui kama Mbu hajantema !!)
 
[/FONT][/SIZE][/COLOR]Hili nalo neno!!

.........Hahahah dia lakini ukiiangalia generally hiyo Wheel inatoa ujumbe kwa watu wenye mahusiano stable!! Hbu nambie kwa mtu ambaye yu single either kwa kuumizwa au kufiliwa......hiyo section ya Relationship and Romance anaifill vije?? anaswitch wapi anaongezea wapi? Unless kama wote tunaassumu tuna mahusiano!! That is what I meant

Nakubaliana nawe kuwa kazi tumezikuta na tutaziacha lakini kumbuka kuwa kuna mambo ya performance appraisal.............ambayo ni variable kuu katika kupandishwa vyeo, na marupurupu mengineyo sasa ukishaanza kuwa na spirit hio darl si itakula kwako?? mh mie nakuchokoza tu hapa ili nipate somo zaidi

Mwj1 wangu weee,....hujanifahamu ewe chokileti!

Hiyo wheel of life haiwi rigid kusema ndindindi lazima hizo zote zi apply kila wakati kwenye maisha ya mtu.
Kuna nyakazi waweza zipunguza, kuna nyakati waweza zidisha hayo mapande nane ya keki ya maisha.

Ndio maana hapo awali niliweka comparison ya wheel of life na Maslow pyramid.
Mfano;
jifikirie katika hayo mapande nane ya keki nawe ni Bachelor/Spinster/widower,..
happy_circle.png

Lipi si muhimu kwako lapaswa kuondolewa?

Shem hilo uloweka nalo neno.......ukiangalia ratiba ya Mbu ya wiki hakuna starehe...starehe yake ni kwendaona wagonjwa na kukaa na 'Soulmate'wake but what if 'Soulmate' anapendelea Njenje?? Ijumaa usiku au Jumamosi ambako saa tano usiku ndo kinyaunyau kikia cha pweza kinachanganyia?? Mbu utanrudisha nyumbani kulala??

Au mie ndo mwenzangu hobby yake ni kusocialize na friends...............atajilimit weekdays yes but weekend ndo nimkamate ...hapana bby please ni kuwaona wagonjwa na kumtembelea shangazi!! Hapana it will be too boring bana

Let life accomodates the adhocs and the emerging issues ah........... Unajua maisha matamu tu kila siku bila kununiana na kuudhiana kidogo hayanogi bana..msamaha utaombwa lini na Baby am sorry utazisikia wapi?? zin raha yake bana

LOL, wewe wataka nifungiwe na Mods hapa ee? starehe yangu kweli hapo hujaiona, au wataka topik ipelekwe jukwaa la wakubwa? hebu acha maskhara bana.... nimesema kuanzia tano usiku nalala, inatosha kukujulisha starehe yangu i wapi.
hizo twanga pepeta na njenje ni bonus tu...additional packages za Soulmate, he he he...

Halafu si nimesema kila mtu na priorities zake ama? Muhimu ni kuwa as reasonable as possible uta accomodate vipi tairi la mwenzio na lako ili gari la maisha yenu yaendelee.
 
Chupu chupu tungesuhudia reality show ya "Runaway bride!"

Why did Brad and Emily break up?

Brad and Emily break up details are explained in this video from last night's The Bachelor After the Final Rose special, but will Brad Womack and Emily Maynard's post-engagement break up mean the wedding is off for good?
Brad and Emily each explain The Bachelor break up in the video clips below, and it looks like reality vs. reality TV may be part of the factor… or maybe it's Brad's temper?!

Mkuu Mbu kuhusu hizi reality show kuna moja inaitwa Bachelor basi hao pichani walikuwa na chemistry siyo ya kawaida, walioiangalia wote pamoja na BaK they were rooting for that beautiful lady out of 22 or so ladies, yaani walikuwa wanapendeza sana halafu kulikuwa na penzi la kweli kabisa. Kumbe njemba camera ikishaondolewa ilikuwa na hasira si za kawaida. Binti kajiogopea kaamua kurudisha pete Aaarrrrrggggghhh! sijui kama nitangaalia tena sasa hivi kuna nyingine inaendelea bachelorette imejaa usanii mtupu!

Mie nawaombea kila la heri na baraka :)
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
....baaaaaaaaaaassi!...iwapo ushakubaliana nami sote twahitaji principles za maisha, that's all. Nakubaliana nawe 100% we apply them differently.

Si nilikwambia sisi maLawyer tunatia hatiani kwanza halafu ndio tunatetea? lol
 
Ahmaah!! Mara wangeuka best?? loh Nshakuwa mchokozi mie!!
Hahahah Mbu eh hebu kuja bana you know me loves you sana bana........but its gud to get this straight before hand.........sio vema kuendesha maisha kama unafanya mitihani ya CPA bana!!

(Mie leo sijui kama Mbu hajantema !!)

Kweli kabisa MJ1 hahahahaha lol! na mitihani ile ilivyo migumu Mhhhhh! Jamaa mmoja jana hapa jamvini alikuwa analalama kisharudia sijui CPA ipi kama ni one or two more than 5 times na kila wakati anatoka kapa sasa hitimisho lake ni kwamba NBAA ni bomu. Mbu hebu acha hizo Mkubwa za kufanyia bajeti hata sekunde chache tu! hahahaha lol!
 
Ahmaah!! Mara wangeuka best?? loh Nshakuwa mchokozi mie!!
Hahahah Mbu eh hebu kuja bana you know me loves you sana bana........but its gud to get this straight before hand.........sio vema kuendesha maisha kama unafanya mitihani ya CPA bana!!

(Mie leo sijui kama Mbu hajantema !!)

hehehe hapo red naomba mkuu BAK anitafsirie.
 
  • Thanks
Reactions: Mbu

Similar Discussions

Back
Top Bottom