Maisha Vs Muda,...Unatosha?!

Mbu Salute! Ubarikiwe sana kwa kupigilia misumari kwenye maisha yetu. siwezi kusahau mfano Wa kazi Kama "rubber ball" ambayo inaweza ku-bounce na Family, friends etc kuwa Kama "Glass ball" mfano huu una maana ambayo hatuwezi kuandika hapa ila twaweza beba Ndani ya mioyo yetu. Thanks again..
 
  • Thanks
Reactions: Mbu

Similar Discussions

Back
Top Bottom