Watu wanaojiuwa uwa sitoi pole wala mackitiko,,,apo unajikatia tiketi ya jahannam,,,majuto ni mjukuu.
Watu wanaojiuwa uwa sitoi pole wala mackitiko,,,apo unajikatia tiketi ya jahannam,,,majuto ni mjukuu.
Ko unajiua yani?Wakuu poleni na majukumu najitahidi kujituma nafanya kazi NGUMU ya bahari ila kila nnnalofanya naona sielewi siwezi eleza mengi ntajitosa usiku huu baharini.
Nimevumilia nimeshindwa alie karibu atapata taarifa ya MTU kujitosa baharini nawatakieni mema.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kama utaona ujumbe wangu huu ?! upo wapi ebu njoo pm tafadhari nini kilicho kusibu ?
Nina jamaa yangu juzi tu kakimbiwa na mkewe pamoja na mtoto na vyombo vyote !! Nina rafiki yangu ana degree ya uchumi anachoma maandazi ukimweka momara pembeni Mkuu njoo ujionee navyoishi geto naishi kwa kuchotea majirani maji malipo yangu chakula, na beba takataka ,nakata fensi ya michongoma, nafanya shughuli za kufagia kwenye majumba ya watu malipo chochote nachopewa Mkuu bado nina changamoto kibao za kimwili (disability) , Mkuu life is nzoronzoroganza
Sent using Jamii Forums mobile app
Nikikusimulia ninayipitia kwasasa, unaweza kujiona una raha. Usithubutu mkuu.Wakuu poleni na majukumu najitahidi kujituma nafanya kazi NGUMU ya bahari ila kila nnnalofanya naona sielewi siwezi eleza mengi ntajitosa usiku huu baharini.
Nimevumilia nimeshindwa alie karibu atapata taarifa ya MTU kujitosa baharini nawatakieni mema.
Sent using Jamii Forums mobile app
Aahh kwemda zako [emoji23][emoji23]Hivi sijakwambiaga nina koneksheni na mods e?nimeona uzi wa kiboya nikaufutilia mbali
Aahh kwemda zako [emoji23][emoji23]
Kwa vigezo gan upewe Connections ?
Achana na mods
Kuna swali tamu uliniuliza nimesahau aisee
[emoji3][emoji3]Hahahhah Sawa nakubali inabidi nipambane Sana kufikia level zakoHujui tu nilivyo mtu mzito [emoji23][emoji23]
Nilikuuliza mbona hujawahi kuja?ama hujawahi kupatwa na mabaya?
[emoji3][emoji3]Hahahhah Sawa nakubali inabidi nipambane Sana kufikia level zako
Ahaaaa
Nimewahi jamani kaangalie
Always things do not going(hayaend) [emoji23]
Lkn najihurumie kuja mara kwa Mara na sikuoni si ntaumia zaidi
HayeeeMmh!sijawahi kuona kweli
Upumzike panapo stahili.Wakuu poleni na majukumu najitahidi kujituma nafanya kazi NGUMU ya bahari ila kila nnnalofanya naona sielewi siwezi eleza mengi ntajitosa usiku huu baharini.
Nimevumilia nimeshindwa alie karibu atapata taarifa ya MTU kujitosa baharini nawatakieni mema.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu poleni na majukumu najitahidi kujituma nafanya kazi NGUMU ya bahari ila kila nnnalofanya naona sielewi siwezi eleza mengi ntajitosa usiku huu baharini.
Nimevumilia nimeshindwa alie karibu atapata taarifa ya MTU kujitosa baharini nawatakieni mema.
Sent using Jamii Forums mobile app