Maisha ninayoishi nilishayaota miaka mitano nyuma

Maisha ninayoishi nilishayaota miaka mitano nyuma

Mi hiyo hali nilikuwa nayo na ikafika stage ikawa inanichukiza but baada ya kuifuatilia kwa kina niligundua ki2 ndani yake
Nilikuwa kama nina mtihani kabla ya sku hiyo mybe 3days before usiku nilikuwa nauona mtihani jinsi ulivyo na nikiingia huwa nilikuw nashangaa!
Hali hili pelekea niibuke top 3 necta kuanzia O&A level
But mdau nakuomba hiyo hali uciipotezee itakupa more advantage katika maisha yako!
But nimefupisha ila ntamalizia!
 
Wakati mwingine unafanya kitu kisha unakumbuka kama umewahi fanya tayari binafsi huwa inatokea sana ni uhusiano wa maisha yako na roho yako wakati mwingine huwa inatangulia kabla yako wengi huwatokea ila hawana kawaida ya kusema kama ulivyosema hubaki na hali hiyo(mi napenda kusema mtu wa ndani)
 
Mimi nafikiri uwe na diary au kadaftari kadogo itakufaa ili kuandika maono na ndoto ambazo unaziota kisha kuziombea kwa Mungu ili akomeshe zilizo mbaya na kubariki zilizo nzuri. Barikiwa na hiyo karama.
 
Mi huwa kuna matukio au hali flani inatokea nafsi yangu inaaza kuisi kama kile kitu au hali ilisha wai kutokea. Yan najuhis kama vile nafanya marudio
Kama mimi yani aisee .. yani hvyhvy . Weweumezaliwa mwez wa ngap?? Labda nyota yetu moja..
Mimi mwenyew hvyhvy kna mda nakua najua kabsa mwsho wabktu flan utakuaje maana naona ni marudio nafanya sjui kwanini yani
 
Kiranga anauliza, mungu yupi?

Ukiona mtu anaongea ongea sana habari za mungu ujue amejikita ama katika heshima za utamaduni na taadhima za kutafuta njia ya mkato isiyo na mantiki kwenda kwenye utubora, ama ni mvivu wa fikra na anakubali yaishe tu kwa sababu kuuliza sana vitu kunaweza kuumiza akili.

Kifupi mungu hayupo.

Angekuwepo asingejificha.

Ajifiche kwani anadaiwa kodi na baba mwenye nyumba?
 
Kiranga anauliza, mungu yupi?
Mungu wangu wa mbinguni ninayemjua na kumwamini, sihitaji maswali wala comments za kuniudhi juu ya choice yangu ya kumuamini huyo Mungu anaeulizwa ni yupi. So huyo kiranga apite kushoto tafadhali na maswali yake. No time for that.
 
iyo hal nnayo na mm, nakumbuka nlpomalza std 7 nliota nmechaguliwa kwenda form one shule fulan ikawa ivo. Na kwenda kdato cha tano ikawa ivo ivo na chuo pia ikawa ivo ivo. Kabla cjafanya mthan wangu wa kuhtm chuo mwez wa 6 mwaka huu nkaota nipo mashne ya mpunga nakoboa na kuuza mchele, leo nauza mchele. mara nyng nkiota nasahau nakuja kukumbuka cku ya tukio kwamba haya mazngra na hil tukio nlshayaota kpnd fulan nyuma
 
Nianze tu kwa kusema sijui ni kwanini na ni nini katika maisha yangu toka nikiwa mdogo.

Nimekuwa na tabia ya kuota nafanya kitu flan na itapita miaka kama mitano hivi au zaidi nakutana na kile kitu nilichoota siku za nyuma na ninakumbuka kama nishaota hili tukio.

Kwa mfano, nishawahi kuota nipo nyumbani kwangu nawapa kuku chakula kwenye kibanda chao,(wakati naota nilikuwa nimepanga) lakini miaka ya baadae nikafanikiwa kujenga na hilo tukio la kuwapa kuku chakula likatoke.

Sasa hali hii imekuwa kwenye matukio mengi mpk najiogopa .

Wadau mnaweza kunisaidia nini hii.

Asanteni
Sasa ndugu mbona unatuchosha?tendo la kuota unawapa chakula kuku no Jambo la kawaida,Sasa ukifuga kuku si lazima utawapa chakula jamani?
 
Back
Top Bottom