Maisha ni safari ndefu, Never stop dreaming.....!!!

Hahahahahah!! Hapana mama, sio yeye..
No no nooooope my love leo kwa mara ya kwanza umeniongopea.
Umeona hair style yake?
Ni mtindo wake wa tokea kitambo...
Ni sawa na wewe ule mtindo wako ni wa tokea zamani hubadilishi

Sio case, ngoja niamini ndiye maana niliyekutegemea kuniambia ukweli umeniongopea.
 
Trust me, sio yeye! Hiyo Picha ya huyo jamaa wa kushoto sio picha ya zamani.. Inaonekana imepigwa hivi karibuni angalia dressing style, hairstyle na mandhari.. Sio harmonize bhana
 
Ndiye...kwanini?
Angalia forehead,pua,chick bones...
Ndiye kabisaaaaaaaaa

Ama kweli pesa tamu jamani!Loooh
Ni kweli jamaa alikuwa 'ndimu' zamani pesa imemtakatisha but sio yeye huyo.. Harmonise alikuwa hana uwezo wa kupiga pamba kama huyo jamaa alivyolipuka..

Ngoja nitakuonyesha Picha zake za zamani utaelewa..
 
Sawa,nazisubiri picha hun
 
Back
Top Bottom