Fakes ni wengi, real wachache. Kama umempenda mpambanie

The ghost writer

Senior Member
Apr 5, 2023
179
263
Yeah! Hakuna binadamu asiye na mapungufu isipokuwa Mungu pekee. Hivo basi katika kipindi chetu cha maisha ya kwenye mahusiano tunakutana na wapenzi wanaotupenda ila kuna baadhi ya tabia zao hutufanya tushindwe kuwavumilia na hatimaye kuvunja mahusiano yetu. Tunasahau kuwa hakuna aliyemkamilifu isipokuwa Mungu pekee.

Ni kweli wanawake hawatulii kwenye ndoa zetu isitoshe wamekuwa wenye vitabia vya tamaa ya kumpenda kila mwanaume mwenye pesa, wale wenzangu na mie tusiokuwa na hela tunadharauliwa. Hivo basi from now nataka wanaume wote mtambue kuwa nowadays fake ni wengi na kumpata mwanamke aliyekamilika siku hizi ni shughuli.

Hivo kama umempenda pia mpende na mapungufu yake, ikiwezekana mlinganie muhusie abadilike huyo ndio wako umeshaandikiwa utakuwa nae mpaka kufa kwako wala usihangaike kutafuta mwanamke mwingine. No one in this world is pure and perfect. If you avoid people for their mistakes you will be alone in this world so judge less and love more.

#The_ghost_with_good_spirit.

#Get_me_on_the_touch.
 
Yeah! Hakuna binadamu asiye na mapungufu isipokuwa Mungu pekee. Hivo basi katika kipindi chetu cha maisha ya kwenye mahusiano tunakutana na wapenzi wanaotupenda ila kuna baadhi ya tabia zao hutufanya tushindwe kuwavumilia na hatimaye kuvunja mahusiano yetu. Tunasahau kuwa hakuna aliyemkamilifu isipokuwa Mungu pekee. Ni kweli wanawake hawatulii kwenye ndoa zetu isitoshe wamekuwa wenye vitabia vya tamaa ya kumpenda kila mwanaume mwenye pesa, wale wenzangu na mie tusiokuwa na hela tunadharauliwa. Hivo basi from now nataka wanaume wote mtambue kuwa nowadays fake ni wengi na kumpata mwanamke aliyekamilika siku hizi ni shughuli. Hivo kama umempenda pia mpende na mapungufu yake, ikiwezekana mlinganie muhusie abadilike huyo ndio wako umeshaandikiwa utakuwa nae mpaka kufa kwako wala usihangaike kutafuta mwanamke mwingine. No one in this world is pure and perfect. If you avoid people for their mistakes you will be alone in this world so judge less and love more.

#The_ghost_with_good_spirit.

#Get_me_on_the_touch.
Haya mambo we yaangalie kama yalivyo na tumia akili ukiyaingia. Maana mimi pia naweza sema, kama kweli unampenda mwenzako basi hutamtenda mabaya au maovu, sawa mkuu. Hamna mtu atakayevumilia kuumizwa hasa katika nyakati ngumu za maisha kama hizi, maana matatizi utakayoyaita leo makosa kesho ndio utagundua ni tabia halisi. Matatizo mengi tunayoyaingiza kwakuyaita mistake yanakuwaga ni machaguo bali sio kosa maana mtu hujua the outcome ya kila tendo atakalolifanya. Hilo sio kosa, hiyo ni dharau, ukue sasa boss.
 
Naamini katika nguvu ya kusamehe kwa aliyekukosea maisha ya kwenye mahusiano yanahitaji uvumilivu, kusamehana na kusahihishana pindi mwenzio akikosea. Why??? We uweke kinyongo na mtu uliyependa kabla hajakukosea why???
Mapungufu sio hayo ya kukwazana tu, kuna ya kimaumbile, kuna ya kitabia, kuna ya kitamaduni, yapo mengi mno, fikiria kwa upana.
 
Back
Top Bottom