Maisha ni kama....

Maisha ni kama....

Gurta

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2010
Posts
2,233
Reaction score
537
... kandambili, popote yaweza kukatika.

(Karibuni -- vigezo na masharti kuzingatiwa.)
 
ni kama Kioo... Ukiyachekea nayo yakuchekea....
 
I sum up as vile yalivyo... Maisha hayawezi kuwa kama kandambili, bali kandambili zaweza kuwa kama maisha,
labda kama kandambili zilianza kabla ya maisha,
au ulianza kuzifahamu kandambili kabla ya maisha.......lol
 
Umesha-kompliketisha mambo tayari. We tumia similes tu basi
 
...mananihiii ya beberu, mara mbele mara nyuma, mara kushoto mara kulia
 
Back
Top Bottom