Godgwakisa
New Member
- Apr 22, 2010
- 3
- 0
Ni jioni sana unarejea nyumbani kwako uliko panga uswailini,baada ya uchovu wa kazi,masomo,na zaidi foleni ya jijin,unapigwa na butwaa kuona mtaa unaoishi umezibwa
.zimewekwa speaker kubwa na muziki wa taarabu unapigwa hapo kwa sauti ya juu. Siku hiyo ni jumatatu hapo bado weekend.Wadau si ugomvi na hili,lakini kuna mambo ambayo yanasikitisha sana:
1. Idadi kubwa ya waudhuriaji ni watoto kuanzia umri wa miaka 5-17; ni hao wanao waona wanawake watu wazima wakijinyonga nyonga kimahaba huku wakiwa wamevaa nguo za kulalia na wakati mwingine kuzivua. Maeneo mengine watoto umri huo wako na wazazi wao wanafanya Home work na nk.
2. Ni uswailini ambako matusi ya nguoni ni sehemu ya uhai wa watu maeneo haya.Utafikiri watu wana allergies na lugha safi, maneno kama Malaya,**** ku**mako,unatob**,kafi** ni misamiati kwa wakubwa na wadogo. Na ili uonekane unakwenda na wakati ni lazima uwe na matusi ya kisasa,mfano nipe tiGO,soda ya kopo, double line, na mengine mengi sijuhi hata maana yake
3. Najiuliza,baada ya miaka,5,10,15 hivi je hawa watoto watasimamia wapi?watakuja kuwa nani? Ktk ulimwengu huu wa ushindani na ubinafsi.Idadi kubwa ya mateja,machangudoa,wapiga debe na wahudumu wa baa, ndio itakayo ongezeka. Sasa hivi uswahilini kuna gesti House (nyumba za wenyeji) nyingi ambazo zimegeuka kuwa Madanguro (Tembelea muda wa saa moja jioni pale karibu na makutano ya Morogoro road na jiapanda kwenda mabibo tunaita kona, nyuma ya madereva tax kuna hilo jengo kuna wasichana wadogo unawapata kwa bei ya Tshs 2000 na 3000 plus Short time charges 1500)
4. Uswailini kunaongoza kwa kesi za kugombania urithi (nyumba ya jirani yetu iliuzwa na watoto,kisha wakagawana fedha na wao kwenda kupanga!! Elimu inamata sana jamani), ndoa za mara kwa mara tena watoto wadogo(si ajabu ukasikia anaeolewa au kuoa tayari alikuwa na ndoa kama mbili hivi ).Idadi ya nyumba ndogo nyiingi inaongoza kila kukicha.
5. Kibaya zaidi ni kwamba hata informations hizi sio rais kwao kuzipata.