Maisha na starehe za uswahilini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maisha na starehe za uswahilini

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Godgwakisa, Apr 22, 2010.

 1. G

  Godgwakisa New Member

  #1
  Apr 22, 2010
  Joined: Apr 22, 2010
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni jioni sana unarejea nyumbani kwako uliko panga uswailini,baada ya uchovu wa kazi,masomo,na zaidi foleni ya jijin,unapigwa na butwaa kuona mtaa unaoishi umezibwa….zimewekwa speaker kubwa na muziki wa taarabu unapigwa hapo kwa sauti ya juu. Siku hiyo ni jumatatu hapo bado weekend.Wadau si ugomvi na hili,lakini kuna mambo ambayo yanasikitisha sana:
  1. Idadi kubwa ya waudhuriaji ni watoto kuanzia umri wa miaka 5-17; ni hao wanao waona wanawake watu wazima wakijinyonga nyonga kimahaba huku wakiwa wamevaa nguo za kulalia na wakati mwingine kuzivua. Maeneo mengine watoto umri huo wako na wazazi wao wanafanya Home work na nk.
  2. Ni uswailini ambako matusi ya nguoni ni sehemu ya uhai wa watu maeneo haya.Utafikiri watu wana allergies na lugha safi, maneno kama Malaya,**** ku**mako,unatob**,kafi** ni misamiati kwa wakubwa na wadogo. Na ili uonekane unakwenda na wakati ni lazima uwe na matusi ya kisasa,mfano nipe tiGO,soda ya kopo, double line, na mengine mengi sijuhi hata maana yake
  3. Najiuliza,baada ya miaka,5,10,15 hivi je hawa watoto watasimamia wapi?watakuja kuwa nani? Ktk ulimwengu huu wa ushindani na ubinafsi.Idadi kubwa ya mateja,machangudoa,wapiga debe na wahudumu wa baa, ndio itakayo ongezeka. Sasa hivi uswahilini kuna gesti House (nyumba za wenyeji) nyingi ambazo zimegeuka kuwa Madanguro (Tembelea muda wa saa moja jioni pale karibu na makutano ya Morogoro road na jiapanda kwenda mabibo tunaita kona, nyuma ya madereva tax kuna hilo jengo kuna wasichana wadogo unawapata kwa bei ya Tshs 2000 na 3000 plus Short time charges 1500)
  4. Uswailini kunaongoza kwa kesi za kugombania urithi (nyumba ya jirani yetu iliuzwa na watoto,kisha wakagawana fedha na wao kwenda kupanga!! Elimu inamata sana jamani), ndoa za mara kwa mara tena watoto wadogo(si ajabu ukasikia anaeolewa au kuoa tayari alikuwa na ndoa kama mbili hivi ).Idadi ya nyumba ndogo nyiingi inaongoza kila kukicha.
  5. Kibaya zaidi ni kwamba hata informations hizi sio rais kwao kuzipata.
   
 2. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #2
  Apr 22, 2010
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Aisee bwana mdogo humu sio kwa kuandika lugha chafu kama ulizoandika hapo(red texts) rejea kwenye Rules za Jf kisha ndo utume post.
  Acha kukurupuka. Umenikwaza sana.
   
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  Apr 22, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  MgENI HUYU ANA BAA
  Mgeni..si mgeni tena...
  Mgeni anitia mashaka huyu!
  Mgeni bila hodi.
  Mgeni utaondoka lini!
  Mgeni huna busara..unaleta matusi pasipo husika...futa matusi yako hayo!
   
 4. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #4
  Apr 22, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  SHERIA NA KANUNI ZA JAMII FORUMS

  Tafadhali jiepushe na mambo yafuatayo:

  1. Kumvunjia heshima, kumkejeli, kumtukana, mjumbe yeyote.

  2. Kuleta katika JAMII FORUMS maelezo yenye maudhui mabaya, au kuweza kuleta maudhi yoyote kwa wajumbe ama kwa wingi wake, ukubwa wake, au mfumo wake.

  3. Kuleta makala au kuendeleza mijadala yenye kuleta ugomvi,uchochezi na yenye muelekeo wa kutengenishana badala ya kuungana miongoni mwa wajumbe wa JAMII FORUMS na Watanzania wote kwa ujumla.

  4. Kuleta maongezi binafsi baina ya mwanachama na mwanachama (waliojisajili) waliyoongea kwa kuaminiana kutoka katika Private Messages (PM) au barua pepe (Emails) na kuyaanika hadharani kwa nia ya kuchafuana.

  5. Kusambaza kwa makusudi au kwa uzembe barua zenye virusi vya kompyuta.

  6. Kutoa maelezo au shutuma dhidi ya mwanachama mwenzako, kiongozi wa au watu wenye hadhi kijamii bila kuwa na ushahidi wa kutosha kwa lengo la kuchafua rekodi safi ya mhusika kijamii.

  7. Ni sharti kwa kila mwanachama kutoa maelezo au mchango wake kwa uwazi na ukweli na kutomuogopa yeyote wala kumpendelea yeyote bali kuweka mbele maslahi ya taifa.

  8. Kila mwanachama yupo huru kutoa maoni yake mradi yaliyotajwa hapo juu yanazingatiwa.

  Hatua za kinidhamu zinaweza kuchukuliwa dhidi ya yeyote yule atakayeshindwa kuzingatia maelezo hayo hapo juu.


  Other Rules to be noted:


  1 - Flaming, Bashing, and Trolling:

  Hate posts and personal attacks will not be tolerated on the boards. Treat others on these message boards as you would expect them to treat you. Posting topics specifically designed to provoke a negative response from someone (aka trolling) is also asked to be avoided.

  2 - Profanity:
  Profanity is not tolerated in the board, some words will be censored, also there is to be no name calling, doing so will give you a warning, and then a ban if you continue.

  3 - Spam:
  Purposely spamming a message board with senseless, vacuous, or empty messages to gain a higher post count, or just to annoy others is HIGHLY frowned upon! Commercial spamming and advertising are just as unwelcome unless it is done in the special designed area. Promoting your site is only allowed with permission of the site owners. Bumping old threads is allowed in the request forums, but needless bumps in other forums will be classed as spam.

  4 - Email & Private Message Spam:
  If the members are using the private message facility to spam the others with pointless, unsolicited mail they will be banned. If anyone receives one of these messages, please contact an admin immediately.

  5 - Piracy, and Warez:
  We do not mind discussions about piracy or warez, as long as they are just that...discussions. Linking or giving information about any site that distributes illegal software, or warez, seeking help to circumvent any copyright laws, or encouraging software or media piracy is grounds for an immediate ban.

  6 - Impersonating Other Users / Accessing Another User Account:
  You may not impersonate another board member or create an account specifically for the purpose of provoking other users. Also, accessing or using someone else's account or attempting to access another poster's account is strictly prohibited. You will be banned.

  7 - Off-Topic Posts:
  There is no major punishment for off-topic posters. But lets be honest, it drives us all mad!! If you have something to say but it really has nothing to do with the current thread you are in, please open a new thread for it. Otherwise it will just be deleted and won't solve anything at all.

  8 - Circumventing a Ban:
  If you log onto the forums and receive a message that you have been banned, please submit an unban request and wait for a staff member to get in touch with you. You may NOT re register under a new name if the software lets you. But, if you try to sign up again and we caught you, then it will become a permanent IP Ban. We do NOT send out notices that you have been banned.

  9 - Nudity / Porn:
  Please remember that this board is a PUBLIC forum. There are 12 year olds here just as there are 50 year olds. Nudity and porn is prohibited for obvious reasons.

  10 - Signatures & Avatars:
  We do not have any specific set of rules regarding signatures. However, we do ask you that it will not be offensive to others and the length should be within reason. If you desire to have a custom avatar, it must be 100x100 pixels or less. No adult, drug related or racist content please. After 5 posts you will be allowed to have an avatar.

  11 - Questionable Content:
  Since we can't have a rule to cover everything, this is the rule to, well, cover everything. These are public boards, so act like you would if you were in a public place. These issues are left to the discretion of the individual moderators, but may include any material that is knowingly false and or defamatory, misleading, inaccurate, abusive, vulgar, hateful, harassing, obscene, profane, sexually oriented, threatening, invasive of a person's privacy, that otherwise violates any law, or that encourages conduct constituting a criminal offense.
   
 5. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #5
  Apr 22, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Mkuu wangu GODGWAKISA(MUNGU-WA-HURUMA)..MKONO MTUPU HAURAMBWI!...CHANGIA JAMIIFORUMS!

  Ukweli ni kuwa siku za nyuma tulijaribu sana kuwafahamisha members kuwa JF haiendeshwi kwa fedha za watu flani bali kwa kujitolea.

  Tukatanabaisha wazi kuwa wanachama na wote wenye mapenzi mema inabidi watambue kuwa tuna mzigo mkubwa wa kubeba kwa niaba yao.

  Nyakati hizo tulikuwa na wanachama waliojisajili karibia 2,000 hivi na tukasema endapo kila mwanachama (aliyejisajili) angechangia Tshs 10,000/= basi ilimaanisha kuwa tungepata Tshs 20,000,000/= ambayo kwa wakati huo ingetosheleza kuiendesha JF kwa karibia mwaka mzima bila wasiwasi.

  Maisha yakabadilika, Server tuliyokuwa nayo ilikuwa ndogo sana kumbe kulinganisha na uhitaji wa watanzania, balaa lilionekana wazi Mwezi Februari 2008 pale Mhe. Lowassa alipokuwa akijieleza Bungeni... Server ikachemsha kubeba mzigo mkubwa.

  Kwa wakati huo tukaona ni vema tukaangalia namna ya kuweza kuwashirikisha wanachama juu ya ugumu tunaokumbana nao... Tukalazimika kununua server kubwa zaidi mbili na zenye back up za kila baada ya masaa 6 kwa nyakati tofauti.

  Hilo likasaidia japo kwa gharama ambazo zilitoka mfukoni mwa mwanachama mmoja! Ndiyo, kulipia server hizo kila mwezi ni $940 na ameendelea kufanya hivyo kwa imani kuwa kuna siku mambo yataenda sawa.

  JF inahitaji SANA michango ya watanzania na wote wenye mapenzi mema.

  Kuna wanachama ambao humu mnawaona wana usernames ambazo ni bolded, hawa ni Premium Members. Hawa walau wamechangia kwa kiwango cha kuanzia $5 na wawili walau $300 tangu JF inaanzishwa mwaka 2006 (ikijulikana kama JamboForums).

  Tangu JF inaanza (2006) mpaka sasa Januari 9 2009, tumekwishapokea jumla ya US$ 1,450/= toka kwa wanachama waliojisajili na wasiojisajili.

  Wengi wa waliohitaji kuchangia walikuwa wanatuma barua pepe nasi tunawapa maelekezo juu ya namna ya kutufikishia michango hiyo.

  Ukweli ni kwamba kwa wasio wanachama wa JF wakiwa wanasoma hapa wanaona matangazo mengi ya Google kuliko wanachama waliojisajili.

  Dhamira yetu si kuweka matangazo haya ya Google kwani hayaingizi kwa kiwango kikubwa hivyo, watu hawabonyezi matangazo hayo na hivyo income yake inategemea pale mtu atakapokosea akabonyeza tangazo ndipo tupate vijisenti kidogo kwa clicks hizo. Gharama za uendeshaji bado zinatoka mfukoni mwa mtu mmoja mpaka sasa na baadhi ya Premium Members ambao wameendelea kuona umuhimu wa kufanya hivyo.

  Mpaka sasa JF ina wanachama waliojisajili karibia 8,000. Endapo waliojili hawa wangechangia walau Tshs 10,000/= kwa mwaka basi inamaanisha JF ingetengeneza Tshs 80,000,000/= kwa mwaka na hivyo tusingeweka matangazo KABISA na tungejitahidi kupata moderators ambao watakuwa wanalipwa kwa kazi yao na wangeifanya kwa umakini mkubwa zaidi.

  Ukiangalia katika historia ya Forums nyingi, huwa zinashindwa kuhimili traffic inapokuwa kubwa kutokana na servers kuhitaji umakini zaidi na Forum owners hujikuta wanaona ni mzigo usio na faida hivyo forums hizo kufa.

  Tumshukuru Maxence kwa kuendelea kulipia gharama hizi kila mwezi kwa kujitolea mpaka sasa huku akilipia na Chat Server (IRC Server).

  Wapo wanachama kama Ogah, Nyambala, SteveD, FairPlayer, Mchukia Fisadi na Phillemon Mikael ambao huchangia walau kila wanapopata wasaa... Hawa nao wamesaidia kwa kiwango kikubwa katika jitihada za kuhakikisha JF inakuwa hewani. Bila kuwasahau wadau waliochangia walau $200 hivi initially kama Mtanzania, Field Marshal ES na Halisi.

  Ninachoamini binafsi ni kitu kimoja, Tshs 5,000/= kwa mwaka inawezekana kabisa kwa watanzania tulio na uwezo wa kuingia mtandaoni. Na uzuri, benki zetu Tanzania zinaruhusu mtu ku-deposit Tshs 5,000/= kama kiwango cha chini.

  Endapo kuna mwanachama anaguswa (kutoka moyoni) na angependa kuiwezesha JF kuendelea kusimama imara na kufanya vema zaidi bila mizengwe ya kifedha, basi anaweza kukubali kuchangia Tshs 5,000/= walau kwa mwaka.

  Benki zetu (hapa naongelea NBC na CRDB kwa haraka) hazikulazimishi unayetuma hela kuandika jina lako la kweli bali lile ambalo ungependa mpokeaji alitambue.

  Kwa walio Tanzania wanaweza kuichangia JF kwa kutuma katika akaunti za NBC au CRDB.

  Akaunti ambazo tangu awali tulipendekeza zitumiwe ni za Maxence Melo (as the JF Founder) na tukawaomba wanaotuma waandike Nicks za kuweza kutanabaisha kuwa wao ndio walotuma.


  =================================  Michango inaweza kutumwa kwa njia kuu nne:

  1. Kwa walio nje wanaweza kutumia PayPal au Credit Cards au Debit Cards kwa kufuata link hii ( https://www.jamiiforums.com/payments.php) iliyo kwenye sahihi yangu (linapoonyesha dole gumba) na pindi mchangiaji anapoweka chochote tunakuwa notified nasi tunafanya kuwasiliana na mhusika ili aweze kupandishwa kwenda katika group la Premium Members.

  Paypal users:

  Send via email - macdemelo@gmail.com moja kwa moja itafika na utaarifiwa ndani ya dakika 60 kuwa mchango wako umepokelewa.

  2. Njia ya pili ni kutumia Western Union au Money Gram na kutuma kwenda kwa Maxence Melo Mubyazi wa Dar es Salaam.

  3. Njia ya tatu ni kutumia Bank accounts za Maxence kama ifuatavyo:

  NBC:

  Acc #: 033201064359
  Jina: Maxence Melo Mubyazi

  CRDB:

  Account Name: Maxence Melo Mubyazi
  Bank: CRDB Pugu Road Branch
  Swift Code: CORUTZTZ
  Acc No: 01J2092391800

  4. Njia ya nne:

  Unaweza kutuma recharge vouchers za tiGO, Zain, VodaCom au Zantel kwenda kwa Maxence - 0713444649 naye atakufahamisha kuwa kazipokea.


  =================================

  Ikumbukwe, SI LAZIMA kuandika jina lako la kweli na SI LAZIMA kwenda mwenyewe bank kutuma pesa hizo (kwani unaweza kumpa unayemwamini na kumpa account details na jina lako ambalo ungependa aandike).

  Tunaweza kuandika mengi lakini ukweli unabakia pale kuwa JF inahitaji michango yenu kwa sana tu.

  Kwa wenye maswali zaidi wanaweza kuwasiliana na Maxence kupitia namba yake ya simu +255713444649.

   
 6. G

  Godgwakisa New Member

  #6
  Apr 22, 2010
  Joined: Apr 22, 2010
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni kweli ndibalema
  na ndio maana nikafanya editing
   
 7. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #7
  Apr 22, 2010
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Nilijua tu mkuu kama utaziatach hizo sheria. safi sana kaka. Upo fasta sana.
   
 8. babukijana

  babukijana JF-Expert Member

  #8
  Apr 22, 2010
  Joined: Jul 21, 2009
  Messages: 4,811
  Likes Received: 1,146
  Trophy Points: 280
  he he heeee yaani leo raha tupu kila unakoenda ni kiroja tu mweeh,:rolleyez:
   
 9. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #9
  Apr 22, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Nenda kwenye jukwaa la utambulisho kwanza wewe...sio unaanza na maneno mazito tu hapa!
   
 10. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #10
  Apr 22, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Jamaa una maneno mazito....
   
 11. G

  Godgwakisa New Member

  #11
  Apr 22, 2010
  Joined: Apr 22, 2010
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni mpenzi mkubwa sana na wa muda mrefu wa jf
  mpaka mwisho wa mwezi huu,nitakuwa nimetoa kontribution yangu in terms of air time
   
 12. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #12
  Apr 22, 2010
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,920
  Likes Received: 2,069
  Trophy Points: 280
  Godgwakisa,

  Karibu sana jamvini. Observation yako ipo sahihi kuhusiana na maisha ya uswahilini. Wakati naanza maisha niliishi maeneo ya Mwenge Mlalakuwa. Mengi ya hayo unayosema yalikuwepo sana. Hali ni mbaya zaidi kwenye maeneo ya uswahilini ambapo natives wa dar ni predominant. Watu wamekata tamaa ya maisha...hawana plan ya maisha ya zaidi ya wiki moja!
   
 13. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #13
  Apr 22, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280

  hama huko
   
 14. Mkosoaji

  Mkosoaji JF-Expert Member

  #14
  Apr 22, 2010
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 363
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Umenena!!!!
   
 15. M-bongotz

  M-bongotz JF-Expert Member

  #15
  Apr 22, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,732
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Pamoja na lugha chafu iliyotumika katika baadhi ya sehemu za mada yake, alichokizungumza ni hali halisi ya maisha ya uswahilini, ni huko ambako watu wanaishi kana kwamba hakuna mkono wa dola, hata ukimfungia mwanao ndani 24/7 bado matusi atayajua tu maana atayasikia toka nje tena yakitamkwa kwa sauti ya juu, lakini cha kusikitisha ni kwamba hayo ndiyo maisha ya watanzania walio wengi hususani wanaoishi maeneo ya mijini.,ee mwenyezi Mungu tunakuomba utuokolee kizazi hiki na vijavyo maana kwa mtindo huu wa maisha tunaelekea kuzalisha machangudoa, vibaka na mateja wasio na idadi, Taifa hili linaelekea wapi?
   
 16. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #16
  Apr 23, 2010
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,588
  Likes Received: 3,885
  Trophy Points: 280
  Sijaona tatizo la mtoa maada hata kidogo, tuwe wawazi jamani, ndiyo dunia tunayoishi hii. Kikubwa ninachojua ni kuwa wazee na watu wa makamo ndio wanaiongoza kwa matusi kuliko vijana na watoto! kuna mzee anaweza akaporomosha mpaka kijana unaona aibu ujifiche wapi!!
   
 17. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #17
  Apr 23, 2010
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  tutamwambia mtu HAMA huko unakokaa ......yup labda yeye anaweza kuhama lakini tuwafikirie wale watanzania ambao hawana uwezo wa kuhama inakuwaje?

  baada ya miaka 5 tutakuwa na mlima wa vijana waliokulia katika puto la matusi na ukosefu wa maadili. hawa tuwatarajie watuletee maendeleo ya aina gani?

  ukosefu wa elimu na kazi ndio moja ya sababu ya tatizo hili kubwa...........but how do we get the akina mama wa uswahilini kupata elimu na kazi? still wondering
   
 18. M

  Mike 1234 JF-Expert Member

  #18
  Apr 23, 2010
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 1,634
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  kaka upo sahihi ila tatizo lugha uliotumia humo ndani ila kwa mengine ni ukweli mtupu
   
 19. Hassani

  Hassani JF-Expert Member

  #19
  Apr 23, 2010
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 267
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 45
  Preta inaonekana huyajui maisha ya uswazi ndo maana umemjibu jamaa kwa maskhara na kejeli.Lakini tunaoishi huku tunaifeel hii kitu,Asilimia kubwa ya wananchi au familia za Dar zinatokea huko.Mara nyingi najiuliza tunakoelekea ukiangalia watoto wadogo wanavyozungusha nyonga kwenye hizo show zisizo rasmi,watoto chini ya miaka mitano lakini wanatukana matusi kwa ubunifu mkubwa tu(na ni wengi sana ukilinganisha na hao wa MASAKI,OYSTERBAY...etc).Something serious must be done..
   
 20. H

  HUBERT MLIGO Member

  #20
  Apr 23, 2010
  Joined: Oct 23, 2009
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Wakishua huyo, kazaliwa kwenye sofa kakulia kwenye hotpot... Escaping the problems is not a permenent solution to yourself and the public in general, Let discuss what should the society and the Government do to solve it.
   
Loading...