Maisha mapya ya Paul Makonda, tumtakie kila la kheri

Jamaa kakwapua, katia mabilioni kibindoni na yuko huru.

Hapo anatia tia huruma ili vichwa maji wamuonee huruma.

Ila wabongo ni watu peace sana.

Huyu mbuzi katesa sana watu lakini sasa hivi anazurula kwa amani tu wanamuacha tu.

Kiukweli wabongo ni watu wa dini sana.

Umeongea ukweli huyo Bashite ni Bilionea wa kutisha ,huyo inatakiwa akaungane na SABAYA.
 
Nataka niwaambie kitu kimoja katika watu wanaokula raha duniani nami ni mmojawapo
Haha hii kauli tuliinyofoa vibaya lakini alimaanisha kuwa; kwasababu anamtegemea Mungu anakula raha sana. Ingia youtube uisikilize vizuri
 
Jamaa kakwapua, katia mabilioni kibindoni na yuko huru.

Hapo anatia tia huruma ili vichwa maji wamuonee huruma.

Ila wabongo ni watu peace sana.

Huyu mbuzi katesa sana watu lakini sasa hivi anazurula kwa amani tu wanamuacha tu.

Kiukweli wabongo ni watu wa dini sana.
Dini wapi ujinga umeingia vichwani mpaka imekuwa ganzi ya kiduwanzi. Nchi za uarabuni huko wana dini ila bunduki mkononi.
 
Back
Top Bottom