Maisha mapya ya Paul Makonda, tumtakie kila la kheri

Huyu mwamba namuonaga sana kwenye Ground Floor ya Faykat towers pale hata juzi nimesalimiana nae kwenye ngazi ya kuingilia pale😅
 
Hahahaaa! pole sana Dada ila usiwe unachukulia vitu serious humu jf ili uendelee kua na amani.
Sio kwa level hii aisee ..sijasema kwa bahat mbaya namaanisha...nna watu wangu naoweza taniana nao lakini sio mineno ya ajabu namna hiyo..na wanajijua sio huyu tena akome kuniqoute kuanzia leo! Alafu simpendi kbs .ana lugha za ajabu mno..mm lugha chafu sipendi!
 
Jamaa kakwapua, mabilioni kibindoni na yuko huru.

Hapo anatia tia huruma ili vichwa maji wamuonee huruma.

Ila wabongo ni watu peace sana.

Huyu mbuzi katesa sana watu lakini sasa hivi anazurula kwa amani tu wanamuacha tu.

Kiukweli wabongo ni watu wa dini sana.
Kwani hana ulinzi wa TISS
 
Akipewa post obviously atakubali maana ni njia mojawapo ya kutanua mfuko wake. But sidhani kwa kutokua na nafasi sasa ni kuwa hana hela.
Kama unajua Ilala inaingiza bei gani kwa Mwezi huwezi kuwa na doubt ilikuwa inaingiza kiasi gani kwenye mfuko wa RC! Dili chafu zilikuwa zinapigwa kimya kimya sema na wana wa kwenye circle moja na mshua! Japo dogo alikuja kufeli mwisho baada ya sikio kuzidi kichwa mzee akawa anamlia ubuyu tu! Ila kwa kipindi alichokaa pale alishapiga sana jala! Kuna wahindi wafanyabiashara wakubwa, wauza ngada na wengineo wenye hela ndefu alikuwa anawajambisha wanacheua!

Siwezi shangaa kama ntaambiwa dogo anamiliki B kadhaa kwenye account yake! Kwa kile kiburi mpaka kufikia kuropoka kuwa hamna mtu anakula raha namna anayokula yeye ni noma, ni kuwa hela ilikuwa imemchanganyia inavuja kutoka kila kona vibahasha kila mtu analeta jambo lake kwa RC!

Jamaa still anamenya sababu hela ipo mingi!
 
Back
Top Bottom