simba wa dodoma
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 930
- 1,022
Habari Ndugu zangu naombeni msaada hata ajira, iniweze kunisaidia kiuchumi niongezee kipato, Mimi KIJANA nimeajiliwa sehemu Ilaa mshahara Wangu ni Mdogo Sana na hautoki kwa wakati, inaniliazimwi niingie kwenye madeni Sana, alafu unakuta unategemewa nyumbani Nina watoto bado nauli kwenda ofisini na Kodi kwa huo huo mshahara nimekuja humu, najua humu kuna watu wanakampuni zao wanisaidie kazi hata kwa part time au niingie usiku tu Ili niongezee kipato changu.. maana Hali ngumu nafikilia Hadi KUKATAA Sana