Tumpara Dudu
JF-Expert Member
- Nov 15, 2016
- 660
- 600
- Thread starter
-
- #81
Mkuu ukiniletea link ya mwandosya kuhusu hilo nitakushukuru kwa aina zote za vishukurio1.Kuna meli inaenda mara 2 ikitokea Mtwara, inasemekana ni km 380 ukitokea Mtwara
Kwa tz ukitokea mtwara ndio karibu zaidi
2.Hawa sio wakulima sana wenyewe wako na lifestyle kama za wacongo
Vyakula, mboga na nyama kwa kiasi kikubwa wanaagiza kutoka France na South Africa ingawa miaka ya hivi karibuni Tz imeanza kuwa miongoni mwa suppliers wakubwa
3.Kwa muonekano wacomoro wako kama wa zanzibar, USIHADAIKE KUWAKOPESHA, si walipaji wazuri
Kwa marejeo zaidi soma humu humu JF kuna article aliandika Prof Mark Mwandosya kuhusiana na tour trip ya comoro utafaidi zaidi
Dunia imekwisha....madrasa teacher anajua kiinglish cha kuombea papuchi khaaaa..Mwalimu wa Madras a unaomba papuchi. Be serious brother acha utoto
Nakuhakikishia usalama upo kwa kiwango cha juu mnooMwalimu wa madrasa aombaye papuchi ama kweli watoto wetu wa kike hawapo salama mahala popote
Sera za watawala hazijalenga kutusaidia balizimelenga kukusanya kodi kutoka kwetu kwa hali yoyote ile hata kama ni kutoa misingi yetu. Si umesikia wafanyabiashara watanzania walokuwa na maduka mpakani tunduma wamehamishia maduka yao Zambia baada ya kupangiwa kodi zilizovuka had mitaji yao na TRA?Inasikitisha sana kuona watu tunakimbia nchi yetu kutokana na uongozi mbovu.
Mimi nilishayaona haya yanakuja miaka karibu 20 iliyopita.
Nikapiga kura kwa miguu yangu.
Dunia imekwisha....madrasa teacher anajua kiinglish cha kuombea papuchi khaaaa..
1.Kuna meli inaenda mara 2 ikitokea Mtwara, inasemekana ni km 380 ukitokea Mtwara
Kwa tz ukitokea mtwara ndio karibu zaidi
2.Hawa sio wakulima sana wenyewe wako na lifestyle kama za wacongo
Vyakula, mboga na nyama kwa kiasi kikubwa wanaagiza kutoka France na South Africa ingawa miaka ya hivi karibuni Tz imeanza kuwa miongoni mwa suppliers wakubwa
3.Kwa muonekano wacomoro wako kama wa zanzibar, USIHADAIKE KUWAKOPESHA, si walipaji wazuri
Kwa marejeo zaidi soma humu humu JF kuna article aliandika Prof Mark Mwandosya kuhusiana na tour trip ya comoro utafaidi zaidi
Halafu kibaya zaidi, badala ya serikali kujirudi na kuona inapokosea, Makamu wa Rais akawabeza na kuwaambia, kimsingi, kwamba hatuwahitaji, wakitaka kwenda Zambia na waende.SeraSera za watawala hazijalenga kutusaidia balizimelenga kukusanya kodi kutoka kwetu kwa hali yoyote ile hata kama ni kutoa misingi yetu. Si umesikia wafanyabiashara watanzania walokuwa na maduka mpakani tunduma wamehamishia maduka yao Zambia baada ya kupangiwa kodi zilizovuka had mitaji yao na TRA?
Unamaanisha mfugale 3?Hapana mkuu ila kwamujibu wa mafundisho ya dini yangu ya kiislam,wanawake ndo mnastahili kuheshimiwa zaid kuliko wanaume. Mungu amekupeni heshma kwa daraja tatu lkn wanaume wamepewa daraja moja tu
Kuna mchizi wangu katua wiki iliyopita anaanza maisha mapya, kachukua green card.Mkuu Kiranga Hakika Hali Ni Mbaya Huku Home Leo Binafsi Hapa Dodoma Nimekaa Sehemu Baada Ya Shughuli Mada Zilizopo Ni Watu Kujilipua Nchi Za Au Jirani.
Binafsi Nilikuwa Sifahamu Mambo Ya Greencard Lkn Nimeshafuatilia Na Npo Mbioni Ku'apply Kabla Ya Deadline
Kwann usalama uwe mdogo mkuu? ISTOSHE SINA FRIEND MCOMORO
namna 5 ,imekuchoma... mwl.wa madrasa na issue za kijinga..Kwahyo na ww ni Geat thinker? Aisee mbona unaonekana huna sifa hyo? Badala ya kujikita kwenye logic unahangaika na tafsiri khaa!
Nashukuru kwa hii link japo kizungu kwangu ni shida kama yule dokta wa kemia
Hivi kweli kwa akili zako unaweza kwenda kutafutia maisha Comoro au ndo mshadanganywa maisha popoteJamaa ameuliza suala la msingi anataka kwenda comoro kucheki fursa badala mumjibu vizuri mnamkejeli ,
Mambo kama haya ni mazuri wengine tunapata idea ya kujua iyo nchi husika kuna fursa gani,, nyinyi badala yakumpa majibu mazuri au kama haujui unyamaze. Mnaanza kuingiza mambo ya kipuuzi na chuki za kidini mbwa koko nyinyi,, halafu baadae mnakaa mnaanza kumlaumu magufuri na kumtukana kuwa amebana sana,, sasa kama kabana,, sindio pakuangalia sehemu zingine kwenda kutafuta shilingi. Pumbavu kabisa
Mwalimu wa madrasa na papuch kweli!Habari zenu wakuu? Kinadada shkamooni wanaume wenzangu hamjambo?
Kwa heshima na taadhima najitokeza kwenu kuomba uzoefu wenu kuhusu maisha ya kibiashara katika nchi ya comoro.
Mm kwasasa naishi Tanzania katika mkoa wa Dar. Ni mfanyabiashara wa mazao ya kilimo na pia ni mwalimu wa madrasa na namiliki kituo cha kulelea watoto (Day Care Centre).
Kutokana na sera za nchi yetu kutokuwa rafiki na wafanyabiashara na kutokana na ugumu wa biashara hapa nchini,nimeonelea nibadili mazingira na nimeichagua nchi ya comoro katika harakat zangu za kuhamisha makazi.
Naomba mnisaidie taarifa kuhusu nchi hii katika nyanja ya
1/Biashara gan nikienda kuifanya huko itaninyanyua?
2/Gharama za nauli had kufika huko
3/Gharama za kupanga chumba au nyumba
4/Je nalazimika kuwa na pasport na viza au nasafir tu kama naenda zanzbar?
5/Ni mji gani ambao nikienda sitopata shida ya mawasiliano? Maana natumia kiswahili tu! Kingereza nikijuacho mm ni kile cha kuombea papuch tu yaani ile I love u,I miss u na n.k.
Naomba mawazo yenu wakuu
Hahahaaaa mmh, uta jamesiwa wewe ostadh kazana kukubali tu.Nimepokea mkuu,asante. Sasa turudi kwenye mada. Naomba uzoefu wako