Mwanashheria njaa
JF-Expert Member
- Sep 24, 2018
- 1,790
- 2,325
Jamaa amekujibu vizuri mno,,mpaka mimi pia kuna kitu nimepata,, achana na hao wengine waliokupa majibu ya karaha,, wengi wao ni kula kulala,,na kuishia kumtukana Magufuri kuwa kabana,,wakati mambo kama haya ndio ya msingi kujuzana na kutafuta fursa,, me mwenyewe najipanga nataka kwenda abroad. Ntakuja pia kutaka ushauri kwa nchi nnayotaka kwenda kufuata biasharaNashukuru mkuu umenipa data muhimu mno