Maisha katika nchi ya Comoro

Maisha katika nchi ya Comoro

Habari zenu wakuu? Kinadada shkamooni wanaume wenzangu hamjambo?

Kwa heshima na taadhima najitokeza kwenu kuomba uzoefu wenu kuhusu maisha ya kibiashara katika nchi ya comoro.

Mm kwasasa naishi Tanzania katika mkoa wa Dar. Ni mfanyabiashara wa mazao ya kilimo na pia ni mwalimu wa madrasa na namiliki kituo cha kulelea watoto (Day Care Centre).
Kutokana na sera za nchi yetu kutokuwa rafiki na wafanyabiashara na kutokana na ugumu wa biashara hapa nchini,nimeonelea nibadili mazingira na nimeichagua nchi ya comoro katika harakat zangu za kuhamisha makazi.

Naomba mnisaidie taarifa kuhusu nchi hii katika nyanja ya

1/Biashara gan nikienda kuifanya huko itaninyanyua?

2/Gharama za nauli had kufika huko

3/Gharama za kupanga chumba au nyumba

4/Je nalazimika kuwa na pasport na viza au nasafir tu kama naenda zanzbar?

5/Ni mji gani ambao nikienda sitopata shida ya mawasiliano? Maana natumia kiswahili tu! Kingereza nikijuacho mm ni kile cha kuombea papuch tu yaani ile I love u,I miss u na n.k.

Naomba mawazo yenu wakuu
Na mwl. ww wa madrasa ndio unasababisha wengine tusiwe na imani na watoto wetu kupeleka madrasa inaonekana utakuwa mbakaji tu.
 
Nashukuru kwa hii link japo kizungu kwangu ni shida kama yule dokta wa kemia
Maalimu ungenipa maana ya kwa nini katika uzi wako post Namba 1 umewasalimia wadada kwa salamu ya shikamoo na wanaume wenzako ukatusalimia kama tunalingana!?
 
Dini yangu mwanamke kapewa heshma kubwa sana. Mwanamke kapewa Daraja tatu lkn mwanaume daraja moja tu.

Pia Tumefundishwa,pepo ipo chini ya nyayo za kinamama. Kiukweli ukimuudhi mama ukafa haliyakuwa haujapatana nae au yy amekufa haliyakuwa hana radhi na ww,ndugu yangu ww pepo hata harufu yake hutoisikia yaani hata kama ulikuwa unaswali sana had ukatoka sijuda kama pipa la pombe
Maalimu ungenipa maana ya kwa nini katika uzi wako post Namba 1 umewasalimia wadada kwa salamu ya shikamoo na wanaume wenzako ukatusalimia kama tunalingana!?
 
Na mwl. ww wa madrasa ndio unasababisha wengine tusiwe na imani na watoto wetu kupeleka madrasa inaonekana utakuwa mbakaji tu.
Hayo ni maoni yako na nakuhakikishia nayaheshimu. Lkn hunitendei haki kunituhumu kwa jambo ambalo nishalitolea maelezo. Hivi numikisema Silaha hatari ninayoijua ni AK 47,utanuhukumu kuwa namiliki silaha hyo? Sasa kwanini nimesema kingereza nikijuacho ni kile cha kuombea papuchi tu umekuwa mwepesi kunituhumu kwa ubakaji? Je kuna kosa lolote mtu kujua maana ya I love u au I miss u?

Kuwa fea mkuu jitahid kutafakar mambo
 
Hayo ni maoni yako na nakuhakikishia nayaheshimu. Lkn hunitendei haki kunituhumu kwa jambo ambalo nishalitolea maelezo. Hivi nikisema Silaha hatari ninayoijua ni AK 47,utanihukumu kuwa namiliki silaha hyo? Sasa kwanini nimesema kingereza nikijuacho ni kile cha kuombea papuchi tu umekuwa mwepesi kunituhumu kwa ubakaji? Je kuna kosa lolote mtu kujua maana ya I love u au I miss u?

Kuwa fea mkuu jitahid kutafakar mambo
 
Hayo ni maoni yako na nakuhakikishia nayaheshimu. Lkn hunitendei haki kunituhumu kwa jambo ambalo nishalitolea maelezo. Hivi numikisema Silaha hatari ninayoijua ni AK 47,utanuhukumu kuwa namiliki silaha hyo? Sasa kwanini nimesema kingereza nikijuacho ni kile cha kuombea papuchi tu umekuwa mwepesi kunituhumu kwa ubakaji? Je kuna kosa lolote mtu kujua maana ya I love u au I miss u?

Kuwa fea mkuu jitahid kutafakar mambo
Sasa mwl. gani wa madrasa unakuwa mshenzi kwa hukupaswa kujificha kwa id. ww ulipaswa uandike jina halisi humu,hilo jina la dudu sijui limetokea wapi mala sredi yako umejaza ushenzi mtupu ningeijua madrasa unayofundia ningefukuza wanafunzi wote na kuipiga kibiriti madrasa nyie ndio mnafanya walimu wa madrasa hawaaminiki tena na hata wazazi kuogopa kupeleka watoto madrasa,idiot!!
 
Kwahiyo wewe huombagi papuchi
Nipo makini mkuu,naheshimu miiko ya kazi yangu.

Pia,nimesema kuwa kingereza nikijuacho ni kile cha kuombea papuchi,hainamaana kuwa naombaga papuchi. Ni sawa na kusema silaha hatari niijuayo ni AK 47,simaanishi kuwa ninamiliki silaha hyo
 
Dini yangu mwanamke kapewa heshma kubwa sana. Mwanamke kapewa Daraja tatu lkn mwanaume daraja moja tu.

Pia Tumefundishwa,pepo ipo chini ya nyayo za kinamama. Kiukweli ukimuudhi mama ukafa haliyakuwa haujapatana nae au yy amekufa haliyakuwa hana radhi na ww,ndugu yangu ww pepo hata harufu yake hutoisikia yaani hata kama ulikuwa unaswali sana had ukatoka sijuda kama pipa la pombe
Kwa hiyo hiyo dini yako iliyompa Mwanamke daraja tatu ndio dini hiyo hiyo inayokufundisha maswala ya kuwala papushi na kuandika namna ulivyouleta uzi wako hapa?

Sijui watoto wa siku hizi mmekenguaka kwa nini!
 
Habari zenu wakuu? Kinadada shkamooni wanaume wenzangu hamjambo?

Kwa heshima na taadhima najitokeza kwenu kuomba uzoefu wenu kuhusu maisha ya kibiashara katika nchi ya comoro.

Mm kwasasa naishi Tanzania katika mkoa wa Dar. Ni mfanyabiashara wa mazao ya kilimo na pia ni mwalimu wa madrasa na namiliki kituo cha kulelea watoto (Day Care Centre).
Kutokana na sera za nchi yetu kutokuwa rafiki na wafanyabiashara na kutokana na ugumu wa biashara hapa nchini,nimeonelea nibadili mazingira na nimeichagua nchi ya comoro katika harakat zangu za kuhamisha makazi.

Naomba mnisaidie taarifa kuhusu nchi hii katika nyanja ya

1/Biashara gan nikienda kuifanya huko itaninyanyua?

2/Gharama za nauli had kufika huko

3/Gharama za kupanga chumba au nyumba

4/Je nalazimika kuwa na pasport na viza au nasafir tu kama naenda zanzbar?

5/Ni mji gani ambao nikienda sitopata shida ya mawasiliano? Maana natumia kiswahili tu! Kingereza nikijuacho mm ni kile cha kuombea papuch tu yaani ile I love u,I miss u na n.k.

Naomba mawazo yenu wakuu
Kua makini kuna BOB HARISH anatisha
 
Hayo ni maoni yako na nakuhakikishia nayaheshimu. Lkn hunitendei haki kunituhumu kwa jambo ambalo nishalitolea maelezo. Hivi numikisema Silaha hatari ninayoijua ni AK 47,utanuhukumu kuwa namiliki silaha hyo? Sasa kwanini nimesema kingereza nikijuacho ni kile cha kuombea papuchi tu umekuwa mwepesi kunituhumu kwa ubakaji? Je kuna kosa lolote mtu kujua maana ya I love u au I miss u?

Kuwa fea mkuu jitahid kutafakar mambo
Namna ulivyowasilisha mada yako ndio maana watu wanakushambulia japo hawakutendei haki....
 
Nipo makini mkuu,naheshimu miiko ya kazi yangu.

Pia,nimesema kuwa kingereza nikijuacho ni kile cha kuombea papuchi,hainamaana kuwa naombaga papuchi. Ni sawa na kusema silaha hatari niijuayo ni AK 47,simaanishi kuwa ninamiliki silaha hyo
Kile hawatumii kiingereza wanatumia kingazija,na hawatumii dola wanatumia euro,Lkn ni nchi masikini walitegemea chakula toka kwetu kila kitu kuanzia unga,ng'ombe, nk,zamani kulilipa kabla ya giza kutanda,jaribu kwenda kilwa bandarini kule unaweza pata mawili matatu ya kina kuhusu kule, kiswahili wanatumia Lkn kina lahaja ya kingazija.Dini kuu ni uislam hivo kama unajua Arabic nadhani mtakwenda sawa,kiutamaduni ni sawa na sie wa pwani hawana haraka na maisha,wala Shari na mtu, hawana uhuni na ujanja kama wa Kenya, wawezajaribu kuingia kupitia masuala ya dini,fikia hata msikitini kule then utawapata ndugu wa kukuhifadhi huku wakikuonyesha njia,usiende fanya mambo ya uhuni tu.Ukisimama vizuri sogea kisiwa kingine cha Mayotte kule wako chini ya ufaransa uchumi si haba kulinganisha na Comoro isipokuwa mambo ya dini na maadili Comoro wako vizuri kuliko Mayotte. Kila la heri sie wacha tuendelee kusoma no,nchi yetu kwa shida na Raha,tulioishi enzi za MWALIMU
 
Mwalimu wa madrasa na mmiliki wa Day care, kiingereza anachokijua ni cha kuombea papuchi tu.
Serikali kuweni makini na watoa hizi huduma .

Mpk wanajitokeza wenyewe kutueleza mapungufu yao.
 
Back
Top Bottom