Maisha katika nchi ya Comoro

Maisha katika nchi ya Comoro

Mwalimu wa madrasa na mmiliki wa Day care, kiingereza anachokijua ni cha kuombea papuchi tu.
Serikali kuweni makini na watoa hizi huduma .

Mpk wanajitokeza wenyewe kutueleza mapungufu yao.
Kwan mmiliki lazma ajue kingereza? Huyo mtukufu mwenyewe kingereza hajui ndomana mikutano ya kimataifa anapeleka wawakilishi
 
Kile hawatumii kiingereza wanatumia kingazija,na hawatumii dola wanatumia euro,Lkn ni nchi masikini walitegemea chakula toka kwetu kila kitu kuanzia unga,ng'ombe, nk,zamani kulilipa kabla ya giza kutanda,jaribu kwenda kilwa bandarini kule unaweza pata mawili matatu ya kina kuhusu kule, kiswahili wanatumia Lkn kina lahaja ya kingazija.Dini kuu ni uislam hivo kama unajua Arabic nadhani mtakwenda sawa,kiutamaduni ni sawa na sie wa pwani hawana haraka na maisha,wala Shari na mtu, hawana uhuni na ujanja kama wa Kenya, wawezajaribu kuingia kupitia masuala ya dini,fikia hata msikitini kule then utawapata ndugu wa kukuhifadhi huku wakikuonyesha njia,usiende fanya mambo ya uhuni tu.Ukisimama vizuri sogea kisiwa kingine cha Mayotte kule wako chini ya ufaransa uchumi si haba kulinganisha na Comoro isipokuwa mambo ya dini na maadili Comoro wako vizuri kuliko Mayotte. Kila la heri sie wacha tuendelee kusoma no,nchi yetu kwa shida na Raha,tulioishi enzi za MWALIMU
Dah! Asante sana mkuu mungu akubariki sana. Nafikiri sasa kilichobaki ni utekelezaji maana taarifa za awali zitanisaidia pakuanzia.

Ila, kama nchi yao ni masikini huoni kama mm huku nikitoka na milion 3 kule ndo nakuwa Bakhresa wao?
 
Sio masikini kwa Maana hio ya Mimi Milioni 3,kabla ya Giza kuingia wacomoro walikuwa wengi minadani wanalipa cash wakichukua mifugo wanapeleka kwao siku hizi si wengi sana,hawana mifugo wanategemea huku,kafanye savey kule ni waislamu sijui mambo ya zuluma kama wanayo sijajua sana kuhusu tabia yao,pia wanachukua chukua vitu kariakoo,wana wake wao upaka unga Fulani usoni unaweza kutana nao kariakoo,usafiri wa kule ni ndege ATC au ndege zao mifugo uenda kwa majahazi kilwa nyamisati
 
Dini yangu mwanamke kapewa heshma kubwa sana. Mwanamke kapewa Daraja tatu lkn mwanaume daraja moja tu.

Pia Tumefundishwa,pepo ipo chini ya nyayo za kinamama. Kiukweli ukimuudhi mama ukafa haliyakuwa haujapatana nae au yy amekufa haliyakuwa hana radhi na ww,ndugu yangu ww pepo hata harufu yake hutoisikia yaani hata kama ulikuwa unaswali sana had ukatoka sijuda kama pipa la pombe
Kwa hiyo baada ya kujua kwa undani kuhusu umuhimu wa unyayo wa kina mama pia ukajua umuhimu wa papuchi hadi kujifunza kiingireza kinachohusina na hiyo papuchi tu?
 
HUYU KAANDIKA KUTAKA KUSAIDIWA HALAFU KAMALIZIA NA PAPUCH NAMSHAURI NENDA SINZA KAFANYE BIASHARA ZAKO HAPO INAKUFAA SANA KULIKO COMORO MAANA KAMA UNAJUA KUOMBA PAPUCHI
 
Kwahiyo mkuu sisi wadada humu jf ndio wazee kuliko wanaume mpaka kutupa shikamoo
Hapana mkuu ila kwamujibu wa mafundisho ya dini yangu ya kiislam,wanawake ndo mnastahili kuheshimiwa zaid kuliko wanaume. Mungu amekupeni heshma kwa daraja tatu lkn wanaume wamepewa daraja moja tu
 
Mkuu,watu wenye mawazo kama nyie ndo mnaoiaibisha Tanzania kimataifa. Tunachekwa sana kwaajili yenu.

Jaribu kutizama mantiki ya kitu acha kuhangaika na tafsiri. Kujua kitu hakumaanisha ndo kukifanya. Nimeuliza hapo juu,nikisema Silaha hatari niijuayo ni AK 47 utanitafsir namiliki au naitumia hyo Ak 47? Sasa nikisema kingereza nikijuacho nikile cha kuombea papuchi bas tumia ubongo kung'amuwa kuwa namaanisha najua kuzungumza na naelewa hiko lkn si kwamba ndo naomba papuchi.

Hata hivyo,kunidhania kuwa naomba papuchi kwa wanawake wasionihusu(zinaa),kunaonesha waz namna ulivyo mvivu wa kufikiri. Unajuaje kama namuomba mke wangu?
HUYU KAANDIKA KUTAKA KUSAIDIWA HALAFU KAMALIZIA NA PAPUCH NAMSHAURI NENDA SINZA KAFANYE BIASHARA ZAKO HAPO INAKUFAA SANA KULIKO COMORO MAANA KAMA UNAJUA KUOMBA PAPUCHI
 
Asante mkuu ubarikiwe
Hapana mkuu ila kwamujibu wa mafundisho ya dini yangu ya kiislam,wanawake ndo mnastahili kuheshimiwa zaid kuliko wanaume. Mungu amekupeni heshma kwa daraja tatu lkn wanaume wamepewa daraja moja tu
 
Hahaha dah! Nimecheka sana aisee.
Kwa hiyo baada ya kujua kwa undani kuhusu umuhimu wa unyayo wa kina mama pia ukajua umuhimu wa papuchi hadi kujifunza kiingireza kinachohusina na hiyo papuchi tu?
 
Nashukuru mkuu umenipa data muhimu mno
Sio masikini kwa Maana hio ya Mimi Milioni 3,kabla ya Giza kuingia wacomoro walikuwa wengi minadani wanalipa cash wakichukua mifugo wanapeleka kwao siku hizi si wengi sana,hawana mifugo wanategemea huku,kafanye savey kule ni waislamu sijui mambo ya zuluma kama wanayo sijajua sana kuhusu tabia yao,pia wanachukua chukua vitu kariakoo,wana wake wao upaka unga Fulani usoni unaweza kutana nao kariakoo,usafiri wa kule ni ndege ATC au ndege zao mifugo uenda kwa majahazi kilwa nyamisati
 
Mwalimu wa madrasa na mmiliki wa Day care, kiingereza anachokijua ni cha kuombea papuchi tu.
Serikali kuweni makini na watoa hizi huduma .

Mpk wanajitokeza wenyewe kutueleza mapungufu yao.
Kuna masharti ya kujuwa kingereza ili kumiliki day care?
 
HUYU KAANDIKA KUTAKA KUSAIDIWA HALAFU KAMALIZIA NA PAPUCH NAMSHAURI NENDA SINZA KAFANYE BIASHARA ZAKO HAPO INAKUFAA SANA KULIKO COMORO MAANA KAMA UNAJUA KUOMBA PAPUCHI
Hujui lolote kuhusu Comoro funga domo lako, wewe una utakatifu gani jinga kabisa.
 
Nilitaman ujibiwe kwa ufasaha na mimi nidese hapo......... nihamishe makazi kwa muda kidogo mpk hapo JIWE litakpo move na kuanza kuona madudu yake lakini sasa majibu yake khaaa
 
Back
Top Bottom