Tumpara Dudu
JF-Expert Member
- Nov 15, 2016
- 660
- 600
- Thread starter
- #81
Mkuu ukiniletea link ya mwandosya kuhusu hilo nitakushukuru kwa aina zote za vishukurio1.Kuna meli inaenda mara 2 ikitokea Mtwara, inasemekana ni km 380 ukitokea Mtwara
Kwa tz ukitokea mtwara ndio karibu zaidi
2.Hawa sio wakulima sana wenyewe wako na lifestyle kama za wacongo
Vyakula, mboga na nyama kwa kiasi kikubwa wanaagiza kutoka France na South Africa ingawa miaka ya hivi karibuni Tz imeanza kuwa miongoni mwa suppliers wakubwa
3.Kwa muonekano wacomoro wako kama wa zanzibar, USIHADAIKE KUWAKOPESHA, si walipaji wazuri
Kwa marejeo zaidi soma humu humu JF kuna article aliandika Prof Mark Mwandosya kuhusiana na tour trip ya comoro utafaidi zaidi
