Maisha katika nchi ya Comoro

Tumpara Dudu

JF-Expert Member
Nov 15, 2016
617
487
Habari zenu wakuu? Kinadada shkamooni wanaume wenzangu hamjambo?

Kwa heshima na taadhima najitokeza kwenu kuomba uzoefu wenu kuhusu maisha ya kibiashara katika nchi ya comoro.

Mm kwasasa naishi Tanzania katika mkoa wa Dar. Ni mfanyabiashara wa mazao ya kilimo na pia ni mwalimu wa madrasa na namiliki kituo cha kulelea watoto (Day Care Centre).
Kutokana na sera za nchi yetu kutokuwa rafiki na wafanyabiashara na kutokana na ugumu wa biashara hapa nchini,nimeonelea nibadili mazingira na nimeichagua nchi ya comoro katika harakat zangu za kuhamisha makazi.

Naomba mnisaidie taarifa kuhusu nchi hii katika nyanja ya

1/Biashara gan nikienda kuifanya huko itaninyanyua?

2/Gharama za nauli had kufika huko

3/Gharama za kupanga chumba au nyumba

4/Je nalazimika kuwa na pasport na viza au nasafir tu kama naenda zanzbar?

5/Ni mji gani ambao nikienda sitopata shida ya mawasiliano? Maana natumia kiswahili tu! Kingereza nikijuacho mm ni kile cha kuombea papuch tu yaani ile I love u,I miss u na n.k.

Naomba mawazo yenu wakuu
 
Nipo makini mkuu,naheshimu miiko ya kazi yangu.

Pia,nimesema kuwa kingereza nikijuacho ni kile cha kuombea papuchi,hainamaana kuwa naombaga papuchi. Ni sawa na kusema silaha hatari niijuayo ni AK 47,simaanishi kuwa ninamiliki silaha hyo
Vp lakin hujatongoza wanafunzi wa hapo madrasa na hiko kingereza chako cha kuombea papuchi?
 
Back
Top Bottom