Dah! Ndiyo maana Mimi huwa sipendi makuu maishani.Pichani ni Dorothy Muoma aliyekuwa mwanasheria mashuhuri nchini Kenya ambaye aliwahi kuhudumu kama Hakimu katika Mahakama ya Kitale. Katika kilele cha taaluma yake, alijulikana kwa mamlaka yake makubwa, utajiri, na maisha ya kifahari.
Hata hivyo, maisha yake yalibadilika ghafla baada ya kusimamishwa kazi na hatimaye kufutwa katika idara ya mahakama, jambo lililoanzisha mfululizo wa matukio ya kusikitisha.
Baada ya kupoteza kazi yake, Dorothy alikumbwa na changamoto kubwa ya kifedha ambapo mali zake, ikiwemo nyumba na magari, zilipigwa mnada na benki. Upotevu huo wa mali ulienda sambamba na upotevu wa marafiki na jamaa ambao walimtelekeza wakati wa shida.
Upweke na msongo wa mawazo ulimfanya apate matatizo ya akili, na alijikuta akiishi kama ombaomba katika mitaa ya mji wa Kitale, mji uleule ambao aliwahi kutoa haki akiwa ameketi kwenye kiti cha enzi cha sheria.
Inasikitisha kuwa Dorothy Muoma alifariki dunia akiwa katika hali hiyo ya umaskini na ukosefu wa makazi. Alizikwa Februari 2026.
Kisa chake kimegusa mioyo ya wengi kwenye mitandao ya kijamii, kikionyesha jinsi maisha yanavyoweza kubadilika na umuhimu wa kusaidia wale wanaokumbwa na matatizo ya afya ya akili.View attachment 3546336
Hakika kaka.Askari nao wakamwuliza, wakisema, Sisi nasi tufanye nini? Akawaambia, Msidhulumu mtu, wala msishitaki kwa uongo; tena mtoshewe na mshahara wenu.
Usikute alidhulumu haki ya mtuPichani ni Dorothy Muoma aliyekuwa mwanasheria mashuhuri nchini Kenya ambaye aliwahi kuhudumu kama Hakimu katika Mahakama ya Kitale. Katika kilele cha taaluma yake, alijulikana kwa mamlaka yake makubwa, utajiri, na maisha ya kifahari.
Hata hivyo, maisha yake yalibadilika ghafla baada ya kusimamishwa kazi na hatimaye kufutwa katika idara ya mahakama, jambo lililoanzisha mfululizo wa matukio ya kusikitisha.
Baada ya kupoteza kazi yake, Dorothy alikumbwa na changamoto kubwa ya kifedha ambapo mali zake, ikiwemo nyumba na magari, zilipigwa mnada na benki. Upotevu huo wa mali ulienda sambamba na upotevu wa marafiki na jamaa ambao walimtelekeza wakati wa shida.
Upweke na msongo wa mawazo ulimfanya apate matatizo ya akili, na alijikuta akiishi kama ombaomba katika mitaa ya mji wa Kitale, mji uleule ambao aliwahi kutoa haki akiwa ameketi kwenye kiti cha enzi cha sheria.
Inasikitisha kuwa Dorothy Muoma alifariki dunia akiwa katika hali hiyo ya umaskini na ukosefu wa makazi. Alizikwa Februari 2026.
Kisa chake kimegusa mioyo ya wengi kwenye mitandao ya kijamii, kikionyesha jinsi maisha yanavyoweza kubadilika na umuhimu wa kusaidia wale wanaokumbwa na matatizo ya afya ya akili.View attachment 3546336
Katika maisha marafiki ukiwa juu uta-enjoy kuwa nao ukishuka wanayeyuka. Hapo ndipo utakapokumbuka umuhimu wa wanafamilia.Si vema kuhukumu lakini huyu mtu alikuwa na shida kubwa ya ubinafsi
Hakuwa na mwenza wala familia..wala ndugu Bali marafiki na jamaa
Kuna vitu vitatu huwa hatuvizingatii sanaKatika maisha marafiki ukiwa juu uta-enjoy kuwa nao ukishuka wanayeyuka. Hapo ndipo utakapokumbuka umuhimu wa wanafamilia.
Lakini pia kuna familia akiinuka mmoja hataki kuwainua wengine.. Anataka yeye ndio abaki kuwa yeyeKuna familia/koo baadhi watu wake wana shida ya afya ya akili.
Tatizo linakuwepo likisubiri kichochezi/sababu. Vichochezi hivi ni matukio ama utumiaji wa vitu flani ambavyo hushirikisha akili kwa asilimia kubwa.
Kuna watu vilevi (pombe, bangi, madawa ya kulevya n.k) vimepelekea kupata tatizo la afya ya akili.
Kuna watu matukio flani yamepelekea kupata tatizo la afya ya akili (kufilisika, mapenzi, msongo wa mawazo n.k) imepelekea kupata tatizo la afya ya akili.
Hapo utasikia alikuwa mzima lakini alirogewa kwenye pombe akawa kichaa. Alikuwa tajiri akarogwa akafilisika na kuwa mwehu.
Jamii inapaswa kufahamu kwamba tatizo la afya ya akili lipo, na linaweza mkuta yeyote. Hakuna uchawi.
Na hili inaweza kuwa ni tatizo la kurithi.
Hayo maneno hapo juu👆🏾 yazingatie sanaBaada ya kupoteza kazi yake, Dorothy alikumbwa na changamoto kubwa ya kifedha ambapo mali zake, ikiwemo nyumba na magari, zilipigwa mnada na benki. Upotevu huo wa mali ulienda sambamba na upotevu wa marafiki na jamaa ambao walimtelekeza wakati wa shida.
Ujumbe murua sana huu.Kuna vitu vitatu huwa hatuvizingatii sana
Nguo za ndani
Nguo za nje
Nguo zinazoweza kuwa za ndani ama za nje
Familia yako ni nguo za ndani
Marafiki ni nguo za nje
Ndugu ni multipurpose
Kamwe usiifanye nguo ya ndani kuwa ya nje na kinyume chake
Hilo nalo ni tatizo. Na wengi ubinafsi umewaletea shida sana.Lakini pia kuna familia akiinuka mmoja hataki kuwainua wengine.. Anataka yeye ndio abaki kuwa yeye