Maisha hayako fair kabisa

Maisha hayako fair kabisa

Ngopyoro city

Senior Member
Joined
Aug 28, 2020
Posts
144
Reaction score
220
Basi bhana leo nafungua "wasap" yangu nakutana na picha kama kumi hivi za ex wangu mmoja hivi kapigwa balaaa na jamaa anasema saizi Niko single tena hataki mahusiano kabisa

Huyu dada nilikua nae kwenye relation more than 4 years ila tulikubaliana kuachana baada ya mipango ya ndoa kugoma kutokana na itikadi za dini basi kila mtu akaamua afanye maisha yake ila katika miaka hiyo yote pamoja na ugomvi hatujawahi kufikia kupigana yani kumpiga hata kofi sijawahi

Sasa baada ya miaka miwili kuachana ndio leo amenikimbuka na anasema jamaa yake amempa kipigo kizito Sana kachubuka sehemu kubwa ya mwili

Point hapa aisee ni nini kinafanya paka unampiga mwamamke kwetu sis wanaume? Mimi sioni sababu ya kumpiga hata iwe amekukosea nini

Kuna njia nyingi tu za kukwepa kupigana ukiona huyu hafai bas ni kheri mkaachana kwa amani tu

Yes kuna mda wanawake Wana majibu mabaya lakini unaanza vipi kumpiga alafu unampiga mtu ambae kesho utakua nae tena au mnalala wote ni hatari Sana

Tutumie njia nyingine za kusuluhisha hii migogoro ya mahusiano kwa amani sio kipigo mimi siungi mkono vipigo hata kuwe na hasira kiasi gani tuangalie namna ya kutatua migogoro

By the way Ex yuko single tena
 
Mkuu ndoa wanandoa wakigombana waache tu maana kama walioana ujue walikubaliana wenyewe wavumiliane tu!

......ila kiukweli swala la kupigana sio kabisa yani maana unampiga mtu anayekutengea chakula kila siku, anaweza kukuua ata kwa sumu!
 
Point hapa aisee ni nini kinafanya paka unampiga mwamamke kwetu sis wanaume? Mimi sioni sababu ya kumpiga hata iwe amekukosea nini

Kuna njia nyingi tu za kukwepa kupigana ukiona huyu hafai bas ni kheri mkaachana kwa amani tu
Mkuu, humans differ when it comes to how we react towards anger. Tuna "brain chemistry" tofauti tofauti
 
Back
Top Bottom