Feisal2020
JF-Expert Member
- Nov 15, 2018
- 1,329
- 3,401
Kuna uzi humu niliwahi kupinga kumpiga mwanamke.. Aisee nilikosea sana, wanawake hawa waacheni. Sio rahisi kuinua mkono kumpiga mwanamke unaempenda, ila kuna vitu vinatokea unaweza kuua mtu.
Kuna jirani yangu flani mtata kweli, ndio kanifundisha hiloAti mabeberu..🤣 kukufundisha nani haya
Msalimie..😅Kuna jirani yangu flani mtata kweli, ndio kanifundisha hilo
Mtu akikukwaza kiasi unaona utampiga umuumize ni vema ukakaa mbali nae hadi hasira zitakapopoa kuepusha matatizoKuna uzi humu niliwahi kupinga kumpiga mwanamke.. Aisee nilikosea sana, wanawake hawa waacheni. Sio rahisi kuinua mkono kumpiga mwanamke unaempenda, ila kuna vitu vinatokea unaweza kuua mtu.
Zimefikaa😀Msalimie..😅
Alikua mke, huo mchezo wa kuondoka hasira ziishe haukusaidia kitu! Yani ni kama nilikua nampa motisha ya kufanya ujinga wake kila siku mapya. Najisikia vibaya kwamba nilimpiga yule mtu, sikuwahi kujua kwamba nina hasira kiasi hiki na imenifanya niogope kukaa na mtu tena nisije sababisha na kupata matatizo makubwa zaidi.Mtu akikukwaza kiasi unaona utampiga umuumize ni vema ukakaa mbali nae hadi hasira zitakapopoa kuepusha matatizo
Pole sana, kwa case ya mke/mume hapo inabidi kutumia busara zaidi.Alikua mke, huo mchezo wa kuondoka hasira ziishe haukusaidia kitu! Yani ni kama nilikua nampa motisha ya kufanya ujinga wake kila siku mapya. Najisikia vibaya kwamba nilimpiga yule mtu, sikuwahi kujua kwamba nina hasira kiasi hiki na imenifanya niogope kukaa na mtu tena nisije sababisha na kupata matatizo makubwa zaidi.
Kuna makwazo yanavumilika ila hamna kero kama ya mwanamke mwenye mdomo mchafu anayejifanya much know na hana adabu. Ni kumpa kipigo cha mbwa kachoka tu.Pole sana, kwa case ya mke/mume hapo inabidi kutumia busara zaidi.
Ila kuna watu wanakwaza mno tena sana
Kipigo cha nini 😂😂Kuna makwazo yanavumilika ila hamna kero kama ya mwanamke mwenye mdomo mchafu anayejifanya much know na hana adabu. Ni kumpa kipigo cha mbwa kachoka tu.
Maana utaanza kumkwepa kwepa kumbe lenyewe linaona sifa siku linakuja kukupiga na singi kabisa.
Akina uchebe na shishi sio watu wa kuwaamini kabisa! 😆Utashangaa baada ya week 2 majeraha yakipona wanarudiana
Noana unataka kurudi kwa ex kwa kisingizio Cha kipigo kutoka kwa ex wake..![]()
Wanapigana asbh mchana unawakuta wanabebishana, mapenzi ya wawili waachie tu wenyeweAkina uchebe na shishi sio watu wa kuwaamini kabisa! 😆
Mambo ya akina Uchebe na Shishi babyIt is what it is mzae!
Wengine anger management zetu ni tofauti sana. Esp. kwa mwanamkw ambaye anatumia mdomo wake kama silaha.😝😝😝 Hiiii!!!!