Kanyamwi😆😆😆Ukute Kuna mtu hajaelewa hili Tangazo...😁😁!!!
Changamkia fursa hiyo😅Kanyamwi😆😆😆
Hahahaha hapana kanyamwi sina uhaba huo😁😁😁Changamkia fursa hiyo😅
Ko uko full hapo eeh??Hahahaha hapana kanyamwi sina uhaba huo😁😁😁
mkewangu mamboo😕😕😕Ko uko full hapo eeh??
Uko wapi😅mkewangu mamboo😕😕😕
Niko njiani nakuja nyumbani mkewanguUko wapi😅
Kuna wakat huwa nakuwa mbali na mke wang,hvyo natafuta kimchepuko kiaminifuMkuu wewe si umeoa lakini?
Karibu 😁Niko njiani nakuja nyumbani mkewangu
😀😀😀😀 halafu kumbe mtoa mada ni demu, uko juu nimemtia moyo nikifikiri ni mwanaume mwenzanguKama huyo kwenye avatar ni wewe naomba nipe nafasi kwenye moyo wako nimalizie kukivunja kipande kilichobaki
Inawezekana siyo demu kaweka avatar ili apige dili😀😀😀😀 halafu kumbe mtoa mada ni demu, uko juu nimemtia moyo nikifikiri ni mwanaume mwenzangu
ok niandalie mamboyangu Yale kabisa my wife 😉Karibu 😁
Duuu! Hapo sioUgumu WA maisha unafanya tuonekane hatuna mapenzi ya kweli
Embu fanya mafekeche halafu utupe feedbackInawezekana siyo demu kaweka avatar ili apige dili