maisha halisi

Chauro

JF-Expert Member
Aug 20, 2010
2,968
1,476
jamani hivi ni kwani watu tulio wengi hatukubali au tunapenda kuishi maisha yasiyo ya kwetu ukitazama maofisini mitaani watu wanapenda kuonekana wao ni watu wakubwa wakati hamna lolote
ukimuona mwenzio kavaa kitu cha thamani lazima uonyeshe na wewe unacho au unataka competition isiyo na lazima hii hasa hasa kwa wadada
wanaume kutuonyesha mambo yako safi na kulaghai laghai watoto wa watu wakati unanuka madeni kila mahali,mwisho wa siku unaishia kwenye aibu zisizo tizamika embu tujaribu kuishi maisha halisi kwa uwezo tulionao ushindani mwingi haujengi unabomoa.
 

umeanza vizuri kweli IMLA yako, ulipofika hapo tu kwenye RED nikachoka kabisa!chauro wewe ni MWANAHARAKATI eeeeeh???
 
chauro umesema kweli kabisa...wanaume wanamabobish sana.........
 
nyinyi mabobish yenu hamyaoni eeeeh?

mwanamke mabobish....mwanaume inahuuu...mwanamke asipojibobish si ndio mnaanza kusema jike dume....aaaaaaaah....hebu tuacheni bana
 

player kesha kujeruhi nini?
 
Pole, lakini jirekebishe...! Aidha, soma signature hii ujue true characters of people...!
 

Hayo ni maisha ya kizamani bana inabidi tuishi vile tupendavyo kuishi sio kuiga
 
mwanamke mabobish....mwanaume inahuuu...mwanamke asipojibobish si ndio mnaanza kusema jike dume....aaaaaaaah....hebu tuacheni bana

tatizo mabobish yenu yanazidi, na tukibahatisha kuwachungulia tu unaweza hata kujilaumu hata kwanini ulifuata!
 
FLI kuna watu hawakui wewe unaona ya kizamani lakini watu wanafanya sana haya huwa wananichosha sana mtu nikujikweza kweza tu kusikokua na maana

Hayo ni maisha ya kizamani bana inabidi tuishi vile tupendavyo kuishi sio kuiga
 
mbona kina kaka mnapenda sana kujihami kulikoni
 
chauro umesema kweli kabisa...wanaume wanamabobish sana.........

kama walivyo wanawake...unakuta mtu kakutingia Gucci (feki), kabeba Coach bag (feki), Fendi clutch (feki).....yote hii katika kuonyesha yu matawi ya juu na anazijua lebo za bei mbaya....kumbe hamna lolote
 
hapa nimeongelea wanaume na wanawake mmeanza kuchakachua mada nyie
 
Kumbe mpaka sasa watu wanaishi kwa kupiga chabo......kazi kweli kweli
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…