Chauro
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 2,968
- 1,475
jamani hivi ni kwani watu tulio wengi hatukubali au tunapenda kuishi maisha yasiyo ya kwetu ukitazama maofisini mitaani watu wanapenda kuonekana wao ni watu wakubwa wakati hamna lolote
ukimuona mwenzio kavaa kitu cha thamani lazima uonyeshe na wewe unacho au unataka competition isiyo na lazima hii hasa hasa kwa wadada
wanaume kutuonyesha mambo yako safi na kulaghai laghai watoto wa watu wakati unanuka madeni kila mahali,mwisho wa siku unaishia kwenye aibu zisizo tizamika embu tujaribu kuishi maisha halisi kwa uwezo tulionao ushindani mwingi haujengi unabomoa.