maisha halisi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

maisha halisi

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Chauro, Nov 24, 2010.

 1. Chauro

  Chauro JF-Expert Member

  #1
  Nov 24, 2010
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 2,969
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  jamani hivi ni kwani watu tulio wengi hatukubali au tunapenda kuishi maisha yasiyo ya kwetu ukitazama maofisini mitaani watu wanapenda kuonekana wao ni watu wakubwa wakati hamna lolote
  ukimuona mwenzio kavaa kitu cha thamani lazima uonyeshe na wewe unacho au unataka competition isiyo na lazima hii hasa hasa kwa wadada
  wanaume kutuonyesha mambo yako safi na kulaghai laghai watoto wa watu wakati unanuka madeni kila mahali,mwisho wa siku unaishia kwenye aibu zisizo tizamika embu tujaribu kuishi maisha halisi kwa uwezo tulionao ushindani mwingi haujengi unabomoa.
   
 2. bacha

  bacha JF-Expert Member

  #2
  Nov 24, 2010
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 4,336
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  umeanza vizuri kweli IMLA yako, ulipofika hapo tu kwenye RED nikachoka kabisa!chauro wewe ni MWANAHARAKATI eeeeeh???
   
 3. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #3
  Nov 24, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  chauro umesema kweli kabisa...wanaume wanamabobish sana.........
   
 4. bacha

  bacha JF-Expert Member

  #4
  Nov 24, 2010
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 4,336
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  nyinyi mabobish yenu hamyaoni eeeeh?
   
 5. F

  Ferds JF-Expert Member

  #5
  Nov 24, 2010
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 1,267
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  kunya anye kuku ila bata akinya kaharisha......................
   
 6. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #6
  Nov 24, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  mwanamke mabobish....mwanaume inahuuu...mwanamke asipojibobish si ndio mnaanza kusema jike dume....aaaaaaaah....hebu tuacheni bana
   
 7. Maty

  Maty JF-Expert Member

  #7
  Nov 24, 2010
  Joined: Aug 24, 2010
  Messages: 2,170
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  kuharisha na kunya vyote ni hali ya kusafisha tumbo so wababa na wamama tujirekebishe
   
 8. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #8
  Nov 24, 2010
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  player kesha kujeruhi nini?
   
 9. Konakali

  Konakali JF-Expert Member

  #9
  Nov 24, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 1,508
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Pole, lakini jirekebishe...! Aidha, soma signature hii ujue true characters of people...!
   
 10. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #10
  Nov 24, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Hayo ni maisha ya kizamani bana inabidi tuishi vile tupendavyo kuishi sio kuiga
   
 11. bacha

  bacha JF-Expert Member

  #11
  Nov 24, 2010
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 4,336
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  tatizo mabobish yenu yanazidi, na tukibahatisha kuwachungulia tu unaweza hata kujilaumu hata kwanini ulifuata!
   
 12. bacha

  bacha JF-Expert Member

  #12
  Nov 24, 2010
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 4,336
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  kujinyea je?
   
 13. Chauro

  Chauro JF-Expert Member

  #13
  Nov 24, 2010
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 2,969
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  nimejua nikiwagusa tu lazima waanze huwa hawapendi kuelezwa ukweli hawa

   
 14. Chauro

  Chauro JF-Expert Member

  #14
  Nov 24, 2010
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 2,969
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  FLI kuna watu hawakui wewe unaona ya kizamani lakini watu wanafanya sana haya huwa wananichosha sana mtu nikujikweza kweza tu kusikokua na maana

   
 15. Chauro

  Chauro JF-Expert Member

  #15
  Nov 24, 2010
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 2,969
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  mbona kina kaka mnapenda sana kujihami kulikoni
   
 16. Chauro

  Chauro JF-Expert Member

  #16
  Nov 24, 2010
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 2,969
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  siku izi nimekua sana nashangaa watu wanavoishi fictitious life halafu wanaangukia pua zao

   
 17. Maty

  Maty JF-Expert Member

  #17
  Nov 24, 2010
  Joined: Aug 24, 2010
  Messages: 2,170
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  inategemea nini kimesababisha ujinyee lol
   
 18. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #18
  Nov 24, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  kama walivyo wanawake...unakuta mtu kakutingia Gucci (feki), kabeba Coach bag (feki), Fendi clutch (feki).....yote hii katika kuonyesha yu matawi ya juu na anazijua lebo za bei mbaya....kumbe hamna lolote
   
 19. Chauro

  Chauro JF-Expert Member

  #19
  Nov 24, 2010
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 2,969
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  hapa nimeongelea wanaume na wanawake mmeanza kuchakachua mada nyie
   
 20. Smarter

  Smarter JF-Expert Member

  #20
  Nov 24, 2010
  Joined: Nov 10, 2008
  Messages: 455
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Kumbe mpaka sasa watu wanaishi kwa kupiga chabo......kazi kweli kweli
   
Loading...