smaki
JF-Expert Member
- Jan 23, 2019
- 4,977
- 3,066
Maseru siyo Bujumbura!! mwalimu wako kakudanganya! anazidi kukuingiza chaka!! .... ndg utafute hela mpaka lini wkt wenzako wanazo tayari....km unaipenda saaaana ..njoo nikuunganishe!....hakuna atakaye elewa naona unaingiza gia kijanja! but sha elewa!😄😄😄 hakika mke wangu hujakosea,Mumeo natafuta pesa nikununulie 'Jaguar pliza' ukawatambie wakina mama wenzako hapo Bujumbura.
uwe muwazi tu!! banaweee!! hayo mambo siku hizi mbona kawaida? ..usiogope hakuna atakaye jua!! labda weye mwenyewe uamue kusema!!..hata kma ukiona vipi KY Jelly itakufaa zaidi! ila tu cha msingi uwe mkaka mavu!