pale mtukania mtu mamayake unatafta kifo
kumiliki silaha zaidi ya moja ni kesi, yaani bora uwe nayo moja zingine rudisha hamna kesi, ila wakija wao kuzichukua ujue unalo
polisi au wanajeshi kuwakuta bar mida ya kazi na mikwasa ni kawaida,
ukikamatwa town huna kitambulisho unapelekwa boda la congo uvira hata kama wewe ulijitambulisha ni m bongo
watutsi wanajiona wako juu, kuliko wahutu
wafanyakazi wa ndani ni wanaume
ukijiamini saana unafuatiliwa kwa muda wote utaoishi nchi ile
wengi hula milo miwili kwa siku
ni rahisi kwenda nchi za nje, na wana[okelewa hasa, Canada, Australia, Sweden, Finland, norway, Belgium na France, katika kila familia lazma wapo member wako nje ya nchi
jumamosi ni siku ya usafi
ukimkuta muislam ni muislam kweli, na ukimkuta mkristo ni mkristo kweli, wanashika dini vilivyo, na ukimkuta asie na dini ndio hivyo hivyo humuelezi kitu
wanapenda sana sombe na maharage ya mawese, mikeke, u rohe na michopo
wana hasira sana hawa jamaa
ukiwa mgeni ni lazma utajulikana tuu, hasa mitaa ya watutsi wengi, kama kinindo, kibenga, kiriri, ila ukijichanganya uswazi bwiza na buyenzi ni kama upo bongo tuu tofauti ni zile sare za bluu na mikwasa yenye magazine zidi ya sita.
yapo mengi tu mazuri kuhusu burundi...nimeweza kumbuka machache, ila la zaidi ni kutunuku, hawana noma wabongo wanatuelewa mno...shida yetu huwa chapa ilale