Msiwadharau warundi wengi wamewekeza nje ya afrika kwa kuwa na warundi wengi wanaoishi ulaya,Marekani na Arabuni karibu kila nyumba mjini bujumbura ina mtu yuko ughaibuni anasaka noti kwa ajili ya kusaidia familia yake,Warundi wengi wanajipenda na wanakanyaro,vijana wakirundi wengi ni masharobaro wanapenda kuvaa nguo za thamani,kumiliki simu ya thamani,wangi ndoto zao ni Marekani,Dubai,Oman,UK, na South Afrika.
Hawa ni warundi wa mjini.
Wanawake wa kirundi wa mjini wanapenda maisha mazuri ya kitajiri,hata ukitaka kumuoa lazima akuulize unachomiliki yaani una nini na nini