Maisha halisi ya Burundi

Wanakimbilia kigoma kutafuta vibarua vya kulima wakati waha wenyewe wanakimbilia vibarua vya kulima Tabora?
Kwana kabisa niwape pole kwa mihangaiko yenu ya kila siku wana JF.
Kama heading isemavyo hapo juu, mwezi uliopita/Septemba nilifanya ziara ya kitalii nchini burundi, kwa niliyoyakuta ni balaa tupu, very dangerous. Pia kama kuna Warundi humu basi mje mkanushe au myatolee ufafanuzi haya ninayoenda kuyaongea.
1.Hakuna kuoa zaidi ya mke mmoja, hili lilinishangaza sana ndipo nikaamua kulivalia njuga nikaulizia chanzo. Wenyeji waliniambia eti'' ubhanye abhagore bhenshi nta amatogo yachwiye''
2.Zaidi ya 90% ya wafanyakazi wa serikali ni wa chama tawala, wenyewe wanaita IMIGAMBWE. Kwa huku kwetu TZ, Maadili ya viongozi yanakataza wafanyakazi wa serikali kuwa na milengo ya kisiasa, ila kwa Burundi , Waalimu, madaktari, n.k utawakuta kazini wamevaa t-shirt zenye picha ya rais na chama chake cha CMDD-FDD
3.Mishahara ya wafanyakazi ni pasua kichwa, ni nusu ya hapa kwetu, ila watu bado hawagomi na wanachapa kazi. Mfano, Mwalimu wa shule za upili/Secondary school ni chini ya laki 3 Tsh
4.Wafanya kazi wa ndani ni shida tupu, wengine wanaita UBHUBHOYI au UBHUYAYA, yaani mtu unalipwa Tsh 4000/month,duuu pathetic.
5.Vijana wenye nguvu hukimbilia Tanzania katika mikoa ya Kigoma na Kagera kutafuta vibarua vya kulima mashamba, na hii ni kama uti wa mgongo wa kilimo cha mkoa wa Kigoma, Warundi ndio hulima mahekta mengi kwa ujira mdogo huku wao wakiona ni hela nyingi. Mfano, mtu unalima Hekari ya mita 100 kwa Tsh laki 1 then unaona hela nyingi, duuu
5.Mademu wa burundi ni pasua kichwa, zaidi ya 80% wanatumia pombe kama kuonesha Ubitoz. Na ukimtaka tu wewe mnunulie pombe basi, wanawaogopa watz eti ni Malaya/Abhagilanyi duuu, ila ukipiga kiswahili kizuri ukaahidi kumuoa basi yuko tayari, lakini hataki muishi Burundi bali Tz.

Ongezeeni na mengine, karibu kwa mjadala basi matusi nooo

nkobhe255

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi kuna kabila linaitwa Tutsi ?
Mbona unashangaa? Wenyeji wa Burundi ni wale wale wa Rwanda yaani ni hao hao Watsi na Wahutu. Kutokana na fujo zao za mika nenda rudi hawapendi na sisi hatupendi kuwaita kwa makabila yao. Bali wanaitwa Wanyerwanda kwa wale wa Rwanda au Warundi kwa wale wa Burundi Lakini ni makabila hayo hayo ya Watsi, Wahutu na Watwaa. Ni wazuri wa sura hasa Watsi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Norshad nasikia wanapenda sana wanaume wa kibonge ni kweli.

Ni kweli kabisa! mfano mimi nilipewa papuchi na karibia ukoo mzima..ila kuna UKIMWI wa kutosha man na watoto wengi wamezaliwa nao..wengi wanakula Shudu! lakini kuna watoto wazuri sana kwa kuoa hasa walio ktk iman ya kiislam( hapa msinielewe vibaya )
 
Back
Top Bottom