Maisha Bora Kwa Kila Mtanzania....Baada ya Miaka 9!!!!!

Maisha Bora Kwa Kila Mtanzania....Baada ya Miaka 9!!!!!

Hukopeshwi kama hukopesheki, hebu nenda wewe bank kajaribu kukopa uone kama unakopesheka au hukopesheki, Unafikiri mikopo inakuja tu? ingekuwa hivyo si kila mtu angekopa akajineemesha.

UNAJUA KWA NINI Tanzania inakopesheka? hivi unajua hadi leo tunalipaje madeni kama ya Ujenz wa Tazara, KIA, ect? narudi sasa hivi
 
Hiyo ni reality, onyesha ipi katika hiyo ni assumption kwa ushahidi halafu tushindane kwa ushahidi na hoja. This is a challenge.

Bila maisha kuwa bora tusingeyaona hayo/ fikiri.

Mpaka wakati wa mkapa kuwa na usafiri binafsi ilikuwa ni anasa, baada ya miaka 5 tu ya kikwete imekuwa ni necessity, dogo hilo?

Jiko la kutumia gas ilikuwa ni kwa wenye uwezo tu, leo hii wakati wa kikwete imekuwa ni kawaida, dogo hilo?

Bima ya afya ilikuwa ni kwa akina fulani tu, leo hii wakati wa kikwete mpaka vijijini inaenea, dogo hilo?

Kabla ya kikwete ukitaka kwenda mwanza kutokea dar mpaka uzungukie kenya, leo unapuyanga tu hata kwa bajaji, dogo hilo?

Kabla ya kikwete usafiri wa ndege ulikuwa ni wa kuhadithiana kwa walioipanda au kuiona ndani tu, leo wakati wa kikwete kuna mpaka ya bei nafuu na si ajabu tena, dogo hilo?

Kuna vijiji kabla ya kikwete walikuwa hawajawahi kuuona taa za umeme toka kuzaliwa, leo rea inasambaza umeme kila pahala, dogo hilo?

Kuna vijiji na miji ilikuwa haijawahi kuona shule ya sekondari na ilibidi mtu ahame kwao kwenda kutafuta elimu japo ya sekondari tu, leo wakati wa kikwete sekondari kila kata, dogo hilo?

Kuna watanzania walikuwa hawajawahi kuziona huduma za afya toka wanazaliwa mpaka wanakufa, leo wakati wa kikwete zahanati kila kata, dogo hilo?

kwa kweli hapo kwenye green kitakwimu kuna improvement toka coverage ya 11% wakati wa Mkapa hadi 22% -ingawa kuna changamoto zake tena nyingi tu

hayo ya kwenye Rec tunaweza kujenga hoja na kimsing Muasisi alikua Mzee BWM,

Hata hivyo kuna mengi tu ambayo kwa kweli huwezi kujustify moja kwa moja na analytically nasema ni urban based arguments hasa kwenye magari, gesi, usafiri wa ndege (google hiyo fast jet ambayo of course ni private uone bei zake kama ni nafuu ukikuta unafuu wa ni ukate miezi miwili kabla na ukibadili mawazo imekula kwako)

hizo huduma nyingine za afya na elimu nadhani issue si kuona (availability) bali kuzifikia (accessibility) na ubora wake

any way what I am trying to say ni kwamba ye we have travelled thus far but we still have a long way to go ..............na pia sisemi hakuna mazuri itakua si haki
 
UNAJUA KWA NINI Tanzania inakopesheka? hivi unajua hadi leo tunalipaje madeni kama ya Ujenz wa Tazara, KIA, ect? narudi sasa hivi

Nimesema kama hukopesheki hukopeshwi. Umeshasema tunalipa. Hicho ni kigezo tosha kabisa kukopesheka.
 
FF, hata kama ingekuwa ni mwujiza wa Kana, huwezi kuongeza life expectancy kwa muda mfupi namna hiyo. Tunajidhalilisha kuweka takwimu bila kufahamu kuwa suala la LE sio seasonality bali ni mchakato, huwezi ku-realize such a big jump within a short time. Mambo gani tumefanya kupelekea hiyo, kuanzia lishe (bado Tanzania ni nchi ya 2 kidunia yenye udumavu kwa watoto (stunted growth), bado tuna severe malnutrition kwa mikoa kibao, mikoa ambayo iko insecure (kuhusu chakula ni mingi, amid bumper harvest), so takwimu nyingine uziangaliege kwa jicho la uchunguzi na uchambuzi, Please.
Life expectancy kwa Mtanzania wakati Kikwete anachukuwa madaraka ilikuwa ni chini ya miaka 50?

Wakati wa Nyerere?

Baada ya miaka 8 ya Kikwete ni 62 Years.

Bila maisha kuwa bora tusingeyaona hayo/ Fikiri.

Mpaka wakati wa Mkapa kuwa na usafiri binafsi ilikuwa ni anasa, baada ya miaka 5 tu ya Kikwete imekuwa ni necessity, dogo hilo?

Jiko la kutumia gas ilikuwa ni kwa wenye uwezo tu, leo hii wakati wa Kikwete imekuwa ni kawaida, dogo hilo?

Bima ya afya ilikuwa ni kwa akina fulani tu, leo hii wakati wa Kikwete mpaka vijijini inaenea, dogo hilo?

Kabla ya Kikwete ukitaka kwenda Mwanza kutokea Dar mpaka uzungukie Kenya, leo unapuyanga tu hata kwa bajaji, dogo hilo?

Kabla ya Kikwete usafiri wa ndege ulikuwa ni wa kuhadithiana kwa walioipanda au kuiona ndani tu, leo wakati wa Kikwete kuna mpaka ya bei nafuu na si ajabu tena, dogo hilo?

Kuna vijiji kabla ya Kikwete walikuwa hawajawahi kuuona taa za umeme toka kuzaliwa, leo REA inasambaza umeme kila pahala, dogo hilo?

Kuna vijiji na miji ilikuwa haijawahi kuona shule ya sekondari na ilibidi mtu ahame kwao kwenda kutafuta elimu japo ya sekondari tu, leo wakati wa Kikwete sekondari kila kata, dogo hilo?

Kuna Watanzania walikuwa hawajawahi kuziona huduma za afya toka wanazaliwa mpaka wanakufa, leo wakati wa Kikwete zahanati kila kata, dogo hilo?
 
Nimesema kama hukopesheki hukopeshwi. Umeshasema tunalipa. Hicho ni kigezo tosha kabisa kukopesheka.

Hili libibi kizee pimbi Sana, Mimi nafanya kazi kwa bidii huku nikikutana na vikwazo vya kuombea rushwa kila kona, umeme haupatikani ni mgao kila siku mi nakomaa tu then siku nikipanda ndege mbulumundu limoja linasema ni kwa ajili ya Kikwete wakati huyo Kikwete ndio anarudisha nyuma maendeleo! WTF

Kama nchi hii angeongoza kiongozi mwingine mchapakazi na mwenye vision tofauti na huyu mcheza ngoma ambaye anaenda Vietnam kula Bata, saizi nchi hii ingekuwa middle class. But kwa vile Kikwete anachapa kazi kwenye wizi tu na ufisadi huku akiacha idara zote za serikali zinajiendesha zenyewe bila usimamizi, Kikwete ndio amerudisha nyuma maendeleo ya Tanzania kwa miaka tisa. Hutaki unaacha. Kama ungekuwa unapenda maisha bora usingekaa huko ughaibuni unaosha vyombo vya wazungu au kuvalisha pampers vizee vya kizungu, ungekuja kuyafaidi hayo maisha bora pamoja na sisi
 
Ugonjwa ukiuwachia kutoka inakuwa ni ngumu sana.

Rushwa na ulanguzi vilianza wakati wa Nyerere, aliichukia lakini ndiye siasa na maamuzi yake yaliianzisha na hakuitibia kwa miaka 24 aliyokuwepo na Mkapa na Mwinyi , jumla ya miaka 44 ya kusambaa kwa kansa ya rushwa, ulitegemea nini?

Kikwete amejitahidi sana, ameweka TAKUKURU kila mkoa na sasa kila wilaya.

Kumbuka kama na wewe unatoa rushwa ujuwe na wewe pia unachangia katika kuiendeleza rushwa. Rushwa haitokuwepo kama hakuna wapokeaji na watoaji rushwa.

Pia kumbuka maradhi ya miaka 44 kukutoka kwa muda mfupi ni muhali. Labda tu tuanzishe sheria za kuuwana kwa watoa na wapokea rushwa, jee umeshamshauri mbunge wako apendekeze itungwe sheria hiyo akiwa bungeni?
 
FF, hata kama ingekuwa ni mwujiza wa Kana, huwezi kuongeza life expectancy kwa muda mfupi namna hiyo. Tunajidhalilisha kuweka takwimu bila kufahamu kuwa suala la LE sio seasonality bali ni mchakato, huwezi ku-realize such a big jump within a short time. Mambo gani tumefanya kupelekea hiyo, kuanzia lishe (bado Tanzania ni nchi ya 2 kidunia yenye udumavu kwa watoto (stunted growth), bado tuna severe malnutrition kwa mikoa kibao, mikoa ambayo iko insecure (kuhusu chakula ni mingi, amid bumper harvest), so takwimu nyingine uziangaliege kwa jicho la uchunguzi na uchambuzi, Please.

Huyo ndio Kikwete na huo ndio muujiza wake, jisomee. Kabla sijaja na data za kuonesha jinsi ilivyo, wacha kupinga bila kuja na ushahidi.
 
Huyo ndio Kikwete na huo ndio muujiza wake, jisomee. Kabla sijaja na data za kuonesha jinsi ilivyo, wacha kupinga bila kuja na ushahidi.
FF data ni kitu kimoja, lakini mchakato wa kuleta badiliko haupo! Hii nitaikataa. NImekwambia unawezaje kuwa na LE ya over 60 wakati bado Under5 Mortality rate haijapungua kihivyo, stunted growth ipo juu, malnutrition usiseme na pia idadi ya wazee ni ndogo sana, (mean age yetu ni 18 years)! Kama data kwa maana ya just figures, ni sawa, lakini mimi nataka unishawishi kuhusu mchakato, endapo unachosema ndo ukweli
 
Mortality rate ya under 5 haijapunguwa? weka ushahidi. Wacha kubwabwaja bila ushahidi unapoongelea hayo. Weka mwaka 2005 alipochukuwa madaraka Kikwete weka na mwaka jana. Tuone kuna tofauti au hakuna.
 
Ama kweli tajiri na mali zake na masikini na watoto wake na uwaombee duwa kwa mungu awajalei maisha mazuri ameen na jazakallah
 
Ndo maana nimesema mwenye macho aone, kama utaziona chupa, utaokota chupa. Fursa zipo na Kikwete kwa mtazamo wangu kajitahidi. Sana.

nakuunga mkono fursa zipo nyingi kama kuuza unga, meno ya tembo, kuwakingia kifua mafisadi, au sio mkuu
 
wacha kurupuka, kwani aliyesema hakujua hayo? Yaani nchi hii bado hali hii halafu unatetea?

usikute hao ni company na ritz nchi imeuzwa ili wao wakombolewe kutoka china.
Sasa kwann asitetee?
 
FF data ni kitu kimoja, lakini mchakato wa kuleta badiliko haupo! Hii nitaikataa. NImekwambia unawezaje kuwa na LE ya over 60 wakati bado Under5 Mortality rate haijapungua kihivyo, stunted growth ipo juu, malnutrition usiseme na pia idadi ya wazee ni ndogo sana, (mean age yetu ni 18 years)! Kama data kwa maana ya just figures, ni sawa, lakini mimi nataka unishawishi kuhusu mchakato, endapo unachosema ndo ukweli

Mkuu unasumbuka bure kuparangana na Ajuza huyo, hichi kizee hutakaa ukielewe
 
Hata kuuza karanga ni fursa, tumeona mpaka Wachina wakiliona hilo na wakiuza karanga mitaani.

Hata kukusanya chupa za plastiki ni fursa, tumeona wachina wakikusanya.

Asiyeziona fursa zilizopo Tanzania ni punguani wa hali ya juu sana.

Usimwamshe aliyelala, utalala wewe.
...zungumzia wabongo, wachina wanakuja na mitaji toka kwao wanafanya hizo kazi in large scale na wanamkakati wa kuinuana wao kwa wao, mbongo atapata wapi capital ya ku process hizo makitu. fursa haziangaliwi kwa macho,applicability yake ndo ina determine u fursa wake. angalia vijana walioamua kuokota chupa za plastiki, mpaka wamegeuka kama machizi kumbe ndo fursa za maisha bora tunazoambiwa eti aliye lala,...
 
Tumia ubongo wako! kama umelaza ubongo wako na unataka nikutajie mimi fursa zilizopo, sina huo muda! You are a one-dimensional individual in terms of visions.
..sihitaji unifundishe chochote, nnachotaka uhalisia wa hoja sio unaongea bila kuwa na uhalisia wa mambo. kwa mtazamo wako huwezi kunipa hoja yenye mashiko,nina vitu vya maana vingi ninafanya. my concern is that, i dont take this ktk level ya individual. je ni kweli fursa zipo na watu mana access nazo..? hili ndo swali na msingi wa mleta mada. sio swala la watu kukwepa kodi na kupata vitenda vya kifisadi kwenye halmashauri basi ndo umeziona fursa, use your brain tunazungumzia macro economy aliyo ahidi kufanya mabadiliko kwa ahadi lukuki....
 
...zungumzia wabongo, wachina wanakuja na mitaji toka kwao wanafanya hizo kazi in large scale na wanamkakati wa kuinuana wao kwa wao, mbongo atapata wapi capital ya ku process hizo makitu. fursa haziangaliwi kwa macho,applicability yake ndo ina determine u fursa wake. angalia vijana walioamua kuokota chupa za plastiki, mpaka wamegeuka kama machizi kumbe ndo fursa za maisha bora tunazoambiwa eti aliye lala,...

Hakuna anaezaliwa na mtaji.

Kuuza karanga unahitaji mtaji wa kiasi gani nikupe?
 
Mortality rate ya under 5 haijapunguwa? weka ushahidi. Wacha kubwabwaja bila ushahidi unapoongelea hayo. Weka mwaka 2005 alipochukuwa madaraka Kikwete weka na mwaka jana. Tuone kuna tofauti au hakuna.
, Nimeshauriwa nisiendelee kubishana nawe. Nilichoandika haijapungua kihivyo kiasi cha kuakisi ongezeko la life expectancy. Usomage kwa vituo utaelewa nini nilimaanisha, maana siongelei ushabiki
 
Hakuna anaezaliwa na mtaji.

Kuuza karanga unahitaji mtaji wa kiasi gani nikupe?

..hahhahaaa ei unipe mtaji,.! kama mnagawa mitaji kwa jinsi hiyo mbona maisha bora yameshindikana, hakuna aliye zaliwa na mtaji ndo maana mkatengeneza EPA...
 
Back
Top Bottom