Maisha Bora Kwa Kila Mtanzania....Baada ya Miaka 9!!!!!

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,154
Reaction score
13,267
06.jpg
Maisha Bora Kwa Kila Mtanzania....Baada ya Miaka 9!!!!!
 
Ebu think outside the box, hivi ulitegemea kila mtu aletewe chakula mezani? Ata UK na USA kuna 'maskini'. Kikwete katengeneza fursa, wenye macho wameona na kuzitumia, vipofu na wavivu wataendelea kulalamika.
 
fursa za kuuza unga.
 
Nani kaupa ruhusa kuweka picha zao hapa wewe acha kudhalilisha familia hii kisa umenunua simu ya mchina na umejifunza kupiga picha
 
ni kweli kabisa tumeona wala hujakosea..ufisadi,ujangili,kutoroshewa twga wetu,walimu na madocta kuandamana kudai stahk zao..watoto kumaliza darasa la7 na kufaulu lakin hawajui kusoma wala kuandika nk.
 
ebu think outside the box, hivi ulitegemea kila mtu aletewe chakula mezani? Ata uk na usa kuna 'maskini'. Kikwete katengeneza fursa, wenye macho wameona na kuzitumia, vipofu na wavivu wataendelea kulalamika.

wacha kurupuka, kwani aliyesema hakujua hayo? Yaani nchi hii bado hali hii halafu unatetea?
 
Nani kaupa ruhusa kuweka picha zao hapa wewe acha kudhalilisha familia hii kisa umenunua simu ya mchina na umejifunza kupiga picha

hivi ni nani anayedhalilisha hizo familia?
 
Ndo maana nimesema mwenye macho aone, kama utaziona chupa, utaokota chupa. Fursa zipo na Kikwete kwa mtazamo wangu kajitahidi. Sana.

wewe rudi facebook naona huku si saizi yako
 
Ebu think outside the box, hivi ulitegemea kila mtu aletewe chakula mezani? Ata UK na USA kuna 'maskini'. Kikwete katengeneza fursa, wenye macho wameona na kuzitumia, vipofu na wavivu wataendelea kulalamika.

...akili za panya hizi,em taja hata fursa mbili zinazotekelezeka bila ufisadi...!?
 
Life expectancy kwa Mtanzania wakati Kikwete anachukuwa madaraka ilikuwa ni chini ya miaka 50?

Wakati wa Nyerere?

Baada ya miaka 8 ya Kikwete ni 62 Years.

Bila maisha kuwa bora tusingeyaona hayo/ Fikiri.

Mpaka wakati wa Mkapa kuwa na usafiri binafsi ilikuwa ni anasa, baada ya miaka 5 tu ya Kikwete imekuwa ni necessity, dogo hilo?

Jiko la kutumia gas ilikuwa ni kwa wenye uwezo tu, leo hii wakati wa Kikwete imekuwa ni kawaida, dogo hilo?

Bima ya afya ilikuwa ni kwa akina fulani tu, leo hii wakati wa Kikwete mpaka vijijini inaenea, dogo hilo?

Kabla ya Kikwete ukitaka kwenda Mwanza kutokea Dar mpaka uzungukie Kenya, leo unapuyanga tu hata kwa bajaji, dogo hilo?

Kabla ya Kikwete usafiri wa ndege ulikuwa ni wa kuhadithiana kwa walioipanda au kuiona ndani tu, leo wakati wa Kikwete kuna mpaka ya bei nafuu na si ajabu tena, dogo hilo?

Kuna vijiji kabla ya Kikwete walikuwa hawajawahi kuuona taa za umeme toka kuzaliwa, leo REA inasambaza umeme kila pahala, dogo hilo?

Kuna vijiji na miji ilikuwa haijawahi kuona shule ya sekondari na ilibidi mtu ahame kwao kwenda kutafuta elimu japo ya sekondari tu, leo wakati wa Kikwete sekondari kila kata, dogo hilo?

Kuna Watanzania walikuwa hawajawahi kuziona huduma za afya toka wanazaliwa mpaka wanakufa, leo wakati wa Kikwete zahanati kila kata, dogo hilo?
 
Mimi sio CCM wala shabiki wa Kikwete ila kauli au ishalla ya kuonesha kuwa hajafanya lolote no ujuha. Amefanya aliyoweza ikiwemo miradi ya MCC ambayo yote imekamilika.
 
Ebu think outside the box, hivi ulitegemea kila mtu aletewe chakula mezani? Ata UK na USA kuna 'maskini'. Kikwete katengeneza fursa, wenye macho wameona na kuzitumia, vipofu na wavivu wataendelea kulalamika.

!
!
usijitie wehu......alisema maisha bora KWA KILA MTANZANIA. Hayo sijui fursa sijui takataka gani hakusema kabisa. Alisema kwa kila mtanzania. Hapa kuna majibu mawili ama hawa si watanzania, au ama tuna maana nyingine ya neno mtanzania amboyo hatuijui.
 
...akili za panya hizi,em taja hata fursa mbili zinazotekelezeka bila ufisadi...!?

Hata kuuza karanga ni fursa, tumeona mpaka Wachina wakiliona hilo na wakiuza karanga mitaani.

Hata kukusanya chupa za plastiki ni fursa, tumeona wachina wakikusanya.

Asiyeziona fursa zilizopo Tanzania ni punguani wa hali ya juu sana.

Usimwamshe aliyelala, utalala wewe.
 
Life expectancy kwa Mtanzania wakati Kikwete anachukuwa madaraka ilikuwa ni chini ya miaka 50?

Wakati wa Nyerere?

Baada ya miaka 8 ya Kikwete ni 62 Years.

Bila maisha kuwa bora tusingeyaona hayo/ Fikiri.

Mpaka wakati wa Mkapa kuwa na usafiri binafsi ilikuwa ni anasa, baada ya miaka 5 tu ya Kikwete imekuwa ni necessity, dogo hilo?

Jiko la kutumia gas ilikuwa ni kwa wenye uwezo tu, leo hii wakati wa Kikwete imekuwa ni kawaida, dogo hilo?

Bima ya afya ilikuwa ni kwa akina fulani tu, leo hii wakati wa Kikwete mpaka vijijini inaenea, dogo hilo?

Kabla ya Kikwete ukitaka kwenda Mwanza kutokea Dar mpaka uzungukie Kenya, leo unapuyanga tu hata kwa bajaji, dogo hilo?

Kabla ya Kikwete usafiri wa ndege ulikuwa ni wa kuhadithiana kwa walioipanda au kuiona ndani tu, leo wakati wa Kikwete kuna mpaka ya bei nafuu na si ajabu tena, dogo hilo?

Kuna vijiji kabla ya Kikwete walikuwa hawajawahi kuuona taa za umeme toka kuzaliwa, leo REA inasambaza umeme kila pahala, dogo hilo?

Kuna vijiji na miji ilikuwa haijawahi kuona shule ya sekondari na ilibidi mtu ahame kwao kwenda kutafuta elimu japo ya sekondari tu, leo wakati wa Kikwete sekondari kila kata, dogo hilo?

Kuna Watanzania walikuwa hawajawahi kuziona huduma za afya toka wanazaliwa mpaka wanakufa, leo wakati wa Kikwete zahanati kila kata, dogo hilo?

!
!
deni la taifa je?
 
Ila mimi nakaa na kujifikiria sanaaa...
Mimi hapa nilipo nna kazi yangu nzuri, naishi vizuri lkn nahofu kuwa na mtoto pengine hatopata malezi bora asijeteseka kimaisha...

Lkn utakuta mtu hana muelekeo wa maisha anawatoto kibao...hapo sasa ndio huwa sielewii.!!

View attachment 194802

Back
Top Bottom