Maisha baada ya talaka

Maisha baada ya talaka

Tanya

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2013
Posts
340
Reaction score
159
Habari,

Naomba kwa wenye uelewa mpana hasa kwa wakristo kuhusu MTU aliyepeana talaka na mumewe Je, anawezekana kuolewa tena kwa ndoa ya kanisani kama ilivyokuwa awali?

Ukizingatia MTU hiyo umri bado MDOGO huko Kwenye 20s tumsaidiaje MTU huyu ili asiangukie kwenye uzinzi?

Wakristo nisaidieni Tafadhali.
 
Ndoa, hapa sizungumzii ya kanisa fulani ila kwa mujibu wa Biblia, talaka ipo ila kama chanzo cha ugomvi ni uasherati........ Though Mungu anachukia kuachana na hajapanga ndoa iharibiwe.
Soma Mathayo 5:31-32.

Na baada ya kuachana kwa talaka. Waweza oa/olewa......
Lakini, ktk ukristo, kila kanisa lina utaratibu wake,
 
Aishi tu na mwenzi wake. Mungu ni mwema, atawajalia watoto na watapata kibali kwa jamii... Kuendekeza makanisa ya kibiashara ni kujipa stress!
 
Inategemea ni ndoa ya kanisa gani, ndoa za kikatoliki ni mpaka kifo kiwatenganishe, inaweza kuvunjwa na Pope kama kuna sababu maalum (nimezisahau). Mkiachana kinyume na hayo, ndoa ya bomani inahusu.
Uzinzi
 
Kama mahakama imeisha toa talaka huyo anafaa kuolewa tena siyo mbaya sana.
 
Kwa mujibu wa biblia ndoa baada ya talaka ni mpaka kifo.Hata kama mmepesna talaka kimahakama au kwa namna yoyote,Mumgu anahesabu bado ni ndoa mpaka mmoja wao atakapokufa ndio huyo dada atakuwa huru kuolewa. Akifanya vinginevyo ni dhambi.Hii ni kwa mujibu ww biblia inaapply kwa makanisa yote yanayoifuata biblia takatifu.
 
Inategemea ni ndoa ya kanisa gani, ndoa za kikatoliki ni mpaka kifo kiwatenganishe, inaweza kuvunjwa na Pope kama kuna sababu maalum (nimezisahau). Mkiachana kinyume na hayo, ndoa ya bomani inahusu.
Wakristo wote acha kubagua
 
nilishawahi kusikia kuwa chanzo cha kuanzishwa kwa kanisa la Anglikana ni baada ya mfalme wa Uingeleza kumuacha mke wa kwanza na kutoka kuoa mke wa pili hivyo kanisa la Roman likamtenga na ndio ikaanzishwa Anglikana,je ni habari hii ni kweli?na kama ni kweli inamaana utaratibu huu bado unatumika mpaka leo au ilikuwa kwa mfalme tuu??kuuliza siyo ujinga
 
Ni kweli, Mfalme mwenyewe aliamua kujitenga na kuanzisha kanisa lake. Utaratibu huu wa kuwa excommunicated unaendelea mpaka leo
 
Habari.
Naomba Kwa wenye uelewa mpana hasa kwa wakristo kuhusu MTU aliyepeana talaka na mumewe Je, anawezekana kuolewa tena kwa ndoa ya kanisani kama ilivyokuwa awali???
Ukizingatia MTU hiyo umri bado MDOGO huko Kwenye 20s tumsaidiaje MTU huyu ili asiangukie Kwenye uzinzi????
Wakristo nisaidieni Tafadhali.
Mungu anachukia kuachana mkuu.
 
nilishawahi kusikia kuwa chanzo cha kuanzishwa kwa kanisa la Anglikana ni baada ya mfalme wa Uingeleza kumuacha mke wa kwanza na kutoka kuoa mke wa pili hivyo kanisa la Roman likamtenga na ndio ikaanzishwa Anglikana,je ni habari hii ni kweli?na kama ni kweli inamaana utaratibu huu bado unatumika mpaka leo au ilikuwa kwa mfalme tuu??kuuliza siyo ujinga
Ni kweli kabisa mkuu, King Henry alipata mabinti kwenye ndoa yake ya kwanza, alitaka mrithi kwahiyo aliomba kibali cha Pope na kukataliwa, kutoka hapo Uingerezeza iliwatesa sana wakatoliki wote ambao hawakuwa tayari kubadili na kwenda Anglican. Hii ndiyo sababu kubwa ya uhasama wa Ireland na England.
 
Wengine hua mnasoma biblia gani, biblia inasema mtu asimwache mkewe ila kwa iasherati kama umepewa talaka yako uko free kuolewa na ndoa nyingine na Ata ukisoma agano LA kale talaka ilikuwepo tu, je ni wangap wamefunga ndoa Za pill Tena wachungaji walioshindwa ndoa zao au ni wakristu wa ngap wanandoa Za pill Za kanisani, na aliyesema Za waroma had Pope aamue Talaka huyo muongo, ndoa zilizoshindikana kwa Roma maaskofu wanajadili wakishindwa wanawapeleka mahakaman mahakama ndio itatoa uamuz wa ndoa hiyo nakuangalia sheria Za ndoa xinasemaje kama huyo Dada mahakama ilitoa talaka kwake kuolewa ruksa ila awe makin asije Pata pasua kichwa kama huyo aliyeachana nae
 
Ndoa haijaribiwi jaman kama mukuru asivyojaribiwa,viko vingi vya kujaribu lakin siyo ndoa mtapata laana
 
Nan kwakuambia ndoa inajaribiwa unafikir wanaovunja ndoa zao wanapenda au ni mates wanayoyapitia ambayo yanaweza kumkost maisha yake ambayo anaamua kukaa pembenii , acheni kuziaki
 
Mfalme selemani alioa wake wangap, huyo Ibrahim baba wa Imani alizaa had na kijakaz wake, hivyo hivyo acheni kukomalia ndoa had kifo ndio mana Ata bada yesu Kuja alisema mtu asimwache mkewe ila kwa uasherati hivyo hapo katika Hilo hapo hakuna ndoa na mengineo, hayo ni mawazo yangu tu
 
Back
Top Bottom