Maisha baada ya talaka

Maisha baada ya talaka

Huyo anayesema Roma hawaachani ni wa wap, biblia iliandika kwa ajili ya waroma, acheni kuwadanganya huyo mchungaji anayesema atakutenga ucjali mana wakukutenga ni mungu peke yake, unaweza kwenda kanisa jingine, mungu atakupigania na utapata mume mwema, suala LA kusema Ata Roma Kuna semina Za ndoa, semina haijengi ndoa Bali Hao wawili waliooana wanaweza kujenga ndoa Yao au kubomoa, omba mungu akupe mume mwema, huyo hakua ubavu wako
 
Pia Kuna sababu zingine ambazo kwa ndoa ya kikatoliki askofu anaweza kuivunja, sababu hizo ni kama;
1.kuwa wanandugu msiojuana kabla ya ndoa
2.kubainika kuwepo na tatizo la kukosa kabisa nguvu za kiume /kike ambazo litamnyima haki ya ndoa mmojawapo kati ya wanandoa,. Na hili labda halikufahamika kabla ya ndoa.
3 . matatizo ya kiakili... Ugonjwa wa akili wa kudumu kati ya wanandoa hao
4. Shinikizo la kutoa mimba ambazo zinakataliwa na upande mwingine wa mwanandoa Kuwa hazitambui na kesi zinazofanana na hizo na nyingine nyingi.... Askofu anaweza kuvunja ndoa hiyo baada ya uchunguzi na Vikao vingi vya majadiliano vya wazee wa kanisa...
 
Kupigwa sana kuhatarisha maisha yake.kuna kipindi alipigwa hadi kupoteza fahamu Siku tatu
Hicho kiko katika viapo vya kupendana ktk shida na raha, cha msingi aombe sana, hata hvo inaonekana aliolewa bado hajajitambua. Kwa maana nyingine alikurupuka. Tatzo kama hilo si la kuachana, ni la kutafuta ndugu au mtu wanayemwamini awe msuluhishi kati yao.

Tatizo la ndoa nyingi kuvunjika siku hizi ni kutomtanguliza Mungu. Ndoa ilivyoanzishwa, ni takatifu lakini ndoa za sasa tunaziendesha kibinadamu na kihisia. Tunaoa/Kuolewa kwa kusukumwa na hisia fulani, kitu ambacho badae ni tatizo kwa wanandoa.

Ndio maana ndoa nyingi za sasa hazina mibaraka kwa sababu tunavunja agano la ndoa tukiwa katika stage/hatua ya urafiki na uchumba. Na kama mtu unafahamu ulishazini kabla ya ndoa na haukutubu na kuungama kikamilifu na kumrudia Mungu, hata uweje, ndoa yako itakua ni matatizo tu.

Sent from my VF685 using JamiiForums mobile app
 
1474348385375.png
1474348401489.png
 
Kuna kitu umekiongea na kimenigusa sana. Tunavunja agano la ndoa tangu tukiwa kwenye urafiki/uchumba na tunaendela tu hivyo hadi kwenye ndoa, bila toba wala kuziweka wakfu ndoa zetu (hatuweki misingi ya mahusiano yetu kwa Mungu), kinachokifuatia tunakijua wenyewe. "It's never a blessing if you started by sinning". Ila sisi kama kondoo tuliopotea tunarudishwa kundini na kila kitu juu ya maisha yetu kinafanyika kuwa kipya.

Hapo pakusema amekurupuka kabla ya kuolewa nafikiri unaweza kuwa sawa au si sawa. Labda kama hiyo changamoto ya kupigwa ilikuwepo kabla hata ya kuoana na akaona ni sawa tu. Ila kama ni changamoto iliyijitokeza ndani ya ndoa, basi hakukurupuka, na hata kama alijipanga vyema kabla ya Ndoa, hakuna guarantee kuwa mahusiano yatakuwa smooth mwanzo mwisho, changamoto hazikosekani
 
Ndoa za wakristo mpaka kifo kiwatenganishe mkuu ila huyo dada mbona ataolewa sana naa kuachika hajafikisha 30 talaka tayari
ipo talaka kwa wakristu kama sababu ni uzinzi,ukifanya uzinzi ukakamatwa au ukimkamata mwenzio na uzinzi na ushaidi uliokamilika talaka inakuhusu,hata kanisa ikigoma kuvunja ndoa talaka ipo,ukiishi na mtu mzinzi ni kufurahisha watu uambiwe ndoa bado ipo lakini ndoa ina muhusisha mungu,mungu anaona uzinzi hata ukaufanyie Kenya,na ukiachwa kwa uzinzi ukiolewa anayekuoa ana zini tu hata mkifunga ndoa kanis la uingereza ambapo hujulikani!
 
Kinachoweza kutengua ndoa takatifu chakwanza nikifo kikitokea mmojawapo wawanandoa akafariki MTU unaruhusiwa kuoa au kuolewa. Chapili uhanisi kam ndoa ilifungwa badae ikajagungulikaa kwamba mwanaume au mwanamke awez shiriki tendo la ndoa maisha na ushahid ukawepo kitu inatenguliwa kanisan then mahakaman. Ikatokea sasa ugomvi nimkubwa na kuisha haiwezekan kikanisa kunakitu inaitwa kutenganishwaa kila mtu akakae kivyakee pasipo kushiriki lile tendo na mtu mwingne ambae hujafunga nae ndoa so kuepuka kuzini Mungu akatia Neema zake mnamaliza tofaut zenu mnarud kwa wazee wakanisa waliowatenganisha mnakwenda kwa Aman kufetuana sasaa. Kwa mujibu wa mafundisho ya Ndoa
 
ipo talaka kwa wakristu kama sababu ni uzinzi,ukifanya uzinzi ukakamatwa au ukimkamata mwenzio na uzinzi na ushaidi uliokamilika talaka inakuhusu,hata kanisa ikigoma kuvunja ndoa talaka ipo,ukiishi na mtu mzinzi ni kufurahisha watu uambiwe ndoa bado ipo lakini ndoa ina muhusisha mungu,mungu anaona uzinzi hata ukaufanyie Kenya,na ukiachwa kwa uzinzi ukiolewa anayekuoa ana zini tu hata mkifunga ndoa kanis la uingereza ambapo hujulikani!
From the very beginning, Mungu hakutaka kabisa talaka iwepo. Isipokuwa, kutokana na ugumu wa mioyo yetu, basi aliruhusu talaka under certain circumstances. Ingawa pia talaka sio kitu cha kuwa encouraged, isitokee tu kosa na mtu aka-opt talaka. Talaka inatakiwa kuwa last option baada ya series za vikao vya "kukiri, misamaha, kupatanishwa na kujirudi" kushindwa kabisa (unrepentant, serial cheater)

Malaki 2:16
Maana mimi nachukia kuachana, asema BWANA, Mungu wa Israel......

Kwa hiyo Mungu hataki kabisa wanandoa kuachana. Ila akaruhusu tu kuachana kwenye situation hizi

1. UASHERATI
Mathayo 19:3-9

6: Hata wamekuwa si wawili tena, bali mwili mmoja. Basi aliowaunganisha Mungu, mwanadamu asiwatenganishe.

7: Wakamwambia, Jinsi gani basi Musa aliamuru kumpa hati ya talaka, na kumwacha?

8: Akawaambia, Musa, kwa sababu ya ugumu wa mioyo yenu, aliwapa ruhusa kuwaacha wake zenu; lakini tangu mwanzo haikuwa hivi.

9: Nami nawaambia ninyi, Kila mtu atakayemwacha mkewe, isipokuwa ni kwa sababu ya uasherati, akaoa mwingine, azini; naye amwoaye yule aliyeachwa azini.

#(Mathayo 5:32)

Kwa hiyo kumbe kuna talaka kuja inayoruhusu kuoa/kuolewa tena (Re-marry), na kuna talaka isiyoruhusu kuoa/kuolewa tena

2. KUTELEKEZWA NA MKE/MUME ASIYEAMINI
1 Wakorintho 7:12-15

13: Na mwanamke, ambaye ana mume asiyeamini, na mume huyo anakubali kukaa naye, asimwache mumewe.

14: Kwa maana yule mume asiyeamini hutakaswa katika mkewe; na yule mke asiyeamini hutakaswa katika mumewe; kama isingekuwa hivyo, watoto wenu wangekuwa si safi; bali sasa ni watakatifu.

15: Lakini yule asiyeamini akiondoka, na aondoke. Hapo huyo ndugu mume au ndugu mke hafungiki. Lakini Mungu ametuita katika amani.

Kwa situation ya huyo dada aloletewa thread, japo Mungu hajaruhusu talaka, nafikiri hata Mungu hapendi wala hafurahishwi na vipigo. "Mke ni mwili wako", sasa mtu anayempiga mkewe hadi kuzimia siku 3 ni anamconsider kweli mkewe kuwa ni mwili wake? Nani anayeweza kuupiga hivyo mwili wake?

Nafikiri mke after series za kuonyana, misamaha na kupatanishwa kushindikana, anaweza akaondoka na wanae kukimbia hizo abuses (kutengana kwa muda), but sio kuomba talaka. Anaondoka ili ampe huyo mume muda wa kujitafakari, kuomba msamaha na kujirudi, aachane na hizo habari za kupigana kabisa. Akisema abaki tu, hatuna uhakika na usalama wa maisha yake+ vile vipigo vinatraumatize sana watoto. Under this situation sidhani hata kama wakiachana wataruhusiwa kuoa/kuolewa tena

N:B baada ya kuachana make sure umetubu + maombi ya rehema, kwa kushindwa kutimiza Agano mliloliweka mbele za Mungu (mpaka kifo kiwatenganishe), coz honestly hatutakiwi kuweka Agano then tukashindwa kulitimiza. Mungu wetu ni mwaminifu anatimiza ahadi zake zote juu yetu, inakuwaje wewe umdanganye na kutotimiza ahadi yake kwako? So ikitokea basi make sure unavunja nguvu ya Agano lile, otherwise Agano litakutesa maisha yako yote

Kumbukumbu 23:23
Yaliyotoka midomoni mwako yashike kuyafanya; kwa mfano wa ulivyomwekea nadhiri Bwana, Mungu wako, ni sadaka ya hiari uliyoahidi kwa kinywa chako.

Mathayo 12:36-37
36: Basi, nawaambia, Kila neno lisilo maana, watakalolinena wanadamu, watatoa hesabu ya neno hilo siku ya hukumu.

37 Kwa kuwa kwa maneno yako utahesabiwa haki, na kwa maneno yako utahukumiwa.
 
From the very beginning, Mungu hakutaka kabisa talaka iwepo. Isipokuwa, kutokana na ugumu wa mioyo yetu, basi aliruhusu talaka under certain circumstances. Ingawa pia talaka sio kitu cha kuwa encouraged, isitokee tu kosa na mtu aka-opt talaka. Talaka inatakiwa kuwa last option baada ya series za vikao vya "kukiri, misamaha, kupatanishwa na kujirudi" kushindwa kabisa (unrepentant, serial cheater)

Malaki 2:16
Maana mimi nachukia kuachana, asema BWANA, Mungu wa Israel......

Kwa hiyo Mungu hataki kabisa wanandoa kuachana. Ila akaruhusu tu kuachana kwenye situation hizi

1. UASHERATI
Mathayo 19:3-9

6: Hata wamekuwa si wawili tena, bali mwili mmoja. Basi aliowaunganisha Mungu, mwanadamu asiwatenganishe.

7: Wakamwambia, Jinsi gani basi Musa aliamuru kumpa hati ya talaka, na kumwacha?

8: Akawaambia, Musa, kwa sababu ya ugumu wa mioyo yenu, aliwapa ruhusa kuwaacha wake zenu; lakini tangu mwanzo haikuwa hivi.

9: Nami nawaambia ninyi, Kila mtu atakayemwacha mkewe, isipokuwa ni kwa sababu ya uasherati, akaoa mwingine, azini; naye amwoaye yule aliyeachwa azini.

#(Mathayo 5:32)

Kwa hiyo kumbe kuna talaka kuja inayoruhusu kuoa/kuolewa tena (Re-marry), na kuna talaka isiyoruhusu kuoa/kuolewa tena

2. KUTELEKEZWA NA MKE/MUME ASIYEAMINI
1 Wakorintho 7:12-15

13: Na mwanamke, ambaye ana mume asiyeamini, na mume huyo anakubali kukaa naye, asimwache mumewe.

14: Kwa maana yule mume asiyeamini hutakaswa katika mkewe; na yule mke asiyeamini hutakaswa katika mumewe; kama isingekuwa hivyo, watoto wenu wangekuwa si safi; bali sasa ni watakatifu.

15: Lakini yule asiyeamini akiondoka, na aondoke. Hapo huyo ndugu mume au ndugu mke hafungiki. Lakini Mungu ametuita katika amani.

Kwa situation ya huyo dada aloletewa thread, japo Mungu hajaruhusu talaka, nafikiri hata Mungu hapendi wala hafurahishwi na vipigo. "Mke ni mwili wako", sasa mtu anayempiga mkewe hadi kuzimia siku 3 ni anamconsider kweli mkewe kuwa ni mwili wake? Nani anayeweza kuupiga hivyo mwili wake?

Nafikiri mke after series za kuonyana, misamaha na kupatanishwa kushindikana, anaweza akaondoka na wanae kukimbia hizo abuses (kutengana kwa muda), but sio kuomba talaka. Anaondoka ili ampe huyo mume muda wa kujitafakari, kuomba msamaha na kujirudi, aachane na hizo habari za kupigana kabisa. Akisema abaki tu, hatuna uhakika na usalama wa maisha yake+ vile vipigo vinatraumatize sana watoto. Under this situation sidhani hata kama wakiachana wataruhusiwa kuoa/kuolewa tena

N:B baada ya kuachana make sure umetubu kwa kushindwa kutimiza Agano mliloliweka mbele za Mungu (mpaka kifo kiwatenganishe), coz honestly hatutakiwi kuweka Agano then tukashindwa kulitimiza. Mungu wetu ni mwaminifu anatimiza ahadi zake zote juu yetu, inakuwaje wewe umdanganye na kutotimiza ahadi yake kwako? So ikitokea basi make sure unavunja nguvu ya Agano lile, otherwise Agano litakutesa maisha yako yote

Kumbukumbu 23:23
Yaliyotoka midomoni mwako yashike kuyafanya; kwa mfano wa ulivyomwekea nadhiri Bwana, Mungu wako, ni sadaka ya hiari uliyoahidi kwa kinywa chako.

Mathayo 12:36-37
36: Basi, nawaambia, Kila neno lisilo maana, watakalolinena wanadamu, watatoa hesabu ya neno hilo siku ya hukumu.

37 Kwa kuwa kwa maneno yako utahesabiwa haki, na kwa maneno yako utahukumiwa.
Asante Heaven Sent,
Umemaliza kila kitu,
Unapinga na kukubali kwa vifungu
 
Ni kweli kabisa mkuu, King Henry alipata mabinti kwenye ndoa yake ya kwanza, alitaka mrithi kwahiyo aliomba kibali cha Pope na kukataliwa, kutoka hapo Uingerezeza iliwatesa sana wakatoliki wote ambao hawakuwa tayari kubadili na kwenda Anglican. Hii ndiyo sababu kubwa ya uhasama wa Ireland na England.
Kuna waja ukiwaambia leo kuwa waikuwepo magaidi wa Kikristo watabisha niaje...
Naukubali sana msimamo wa Irish Republic na kile chama chao cha kususa susa.
 
Habari,

Naomba kwa wenye uelewa mpana hasa kwa wakristo kuhusu MTU aliyepeana talaka na mumewe Je, anawezekana kuolewa tena kwa ndoa ya kanisani kama ilivyokuwa awali?

Ukizingatia MTU hiyo umri bado MDOGO huko Kwenye 20s tumsaidiaje MTU huyu ili asiangukie kwenye uzinzi?

Wakristo nisaidieni Tafadhali.
Nijuavyo mimi ndoa ya kikristo haina talaka, ISIPOKUWA inaweza kubatilishwa kwa baadhi ya sababu zifuatazo;
  1. Mume/mke hana uwezo wa kufanya tendo la ndoa, na hii inachukuliwa in 3 days baada ya ndoa. Kama mwenza hawezi kushiriki tendo kwa sababu zozote zile basi taarifa ikitolewa ndoa hubatilishwa
  2. Iwapo kutagundulika na udanganyifu wowote uliofanyika kabla ya ndoa (tuseme mke alikuwa anajua hana kizazi na hakusema hilo mpaka baada ya ndoa). Etc
otherwise kama wamepeana talaka mahakamani basi anaweza kuolewa ndoa ya kiserikali but SIO KANISANI. ATaolewa tu endapo mume atatangulia mbele za haki
 
Kuna waja ukiwaambia leo kuwa waikuwepo magaidi wa Kikristo watabisha niaje...
Naukubali sana msimamo wa Irish Republic na kile chama chao cha kususa susa.
I
Jerry Adams amekuwa mzee sikuhizi, jamaa aliwapelekesha sana Waingereza.
 
Vita haijaisha ujue. Mambo ya Brexit yamefufua upya madai ya Uskochi na automatikale Ireland... Tusichakachue mada ya watu aisee! Talaka inawazingua...
 
Wataomba poh tu subiri time will tell.
 
Back
Top Bottom