sina experience na haya mambo ya walokole, ila ninachofahamu hakuna dhehebu la walokole..Ni mlokole
sio wote mkuu! Lutheran wanatoa TalakaWakristo wote acha kubagua
hayo ndio aina ya maisha niliyoamua kuchagua na bila kuchaguliwa na mtu and that life make me to live happy and make me to enjoy to be in Catholic kingdomIts funny how grown up ppl subscribe to ancient medieval set of rules to rule their lives...we should think and run our lives for ourselves like independent human beings and not a group la kondoo waiting for someone to tell u what to do!
binafsi mm nampa pole, ila pia aliingia kwenye maisha ya ndoa ether kwa shinikizo, tamaa au kwa utashi wake..Kupigwa sana kuhatarisha maisha yake.kuna kipindi alipigwa hadi kupoteza fahamu Siku tatu
Habari,
Naomba kwa wenye uelewa mpana hasa kwa wakristo kuhusu MTU aliyepeana talaka na mumewe Je, anawezekana kuolewa tena kwa ndoa ya kanisani kama ilivyokuwa awali?
Ukizingatia MTU hiyo umri bado MDOGO huko Kwenye 20s tumsaidiaje MTU huyu ili asiangukie kwenye uzinzi?
Wakristo nisaidieni Tafadhali.
si kweli,talaka ipo kwa uzinzi tuKwa mujibu wa biblia ndoa baada ya talaka ni mpaka kifo.Hata kama mmepesna talaka kimahakama au kwa namna yoyote,Mumgu anahesabu bado ni ndoa mpaka mmoja wao atakapokufa ndio huyo dada atakuwa huru kuolewa. Akifanya vinginevyo ni dhambi.Hii ni kwa mujibu ww biblia inaapply kwa makanisa yote yanayoifuata biblia takatifu.
unafuat kanisa au biblia?sielewi biblia inasema talaka ipo ila isababishwe na uzinzi kati ya wanandoa ndipo unatakiwa kumuacha mwenzio lkn ukija makanisani nako daaa sheria kibao mpk kifo,which is which sasa
Mungu anachukia kuachana mkuu.
Nani anaongea na Mungu akamwambia anachukia wenye ndoa kuachana? Mimi wangu kanikimbia saa hiz nachukua mtaan na kila siku nabeba naleta na kugongea hom.Ndoa, hapa sizungumzii ya kanisa fulani ila kwa mujibu wa Biblia, talaka ipo ila kama chanzo cha ugomvi ni uasherati........ Though Mungu anachukia kuachana na hajapanga ndoa iharibiwe.
Soma Mathayo 5:31-32.
Na baada ya kuachana kwa talaka. Waweza oa/olewa......
Lakini, ktk ukristo, kila kanisa lina utaratibu wake,
kwanini alikimbia, ni kitu gani ulichotakiwa kumfanyia asikimbie haukufanya hadi akakimbia? I hope you were not irresponsible.Nani anaongea na Mungu akamwambia anachukia wenye ndoa kuachana? Mimi wangu kanikimbia saa hiz nachukua mtaan na kila siku nabeba naleta na kugongea hom.
Nilitakiwa niwe mnyonge ,niburuzwe na mimi nikashindwa.kwanini alikimbia, ni kitu gani ulichotakiwa kumfanyia asikimbie haukufanya hadi akakimbia? I hope you were not irresponsible.