Siku hizi zinatenguliwa ni nnao mfano hai mmojaNdoa za wakristo mpaka kifo kiwatenganishe mkuu ila huyo dada mbona ataolewa sana naa kuachika hajafikisha 30 talaka tayari
my uncle ana ndoa ya Anglican ya baada ya utengano kaoa tena Pentocoste !Wengine hua mnasoma biblia gani, biblia inasema mtu asimwache mkewe ila kwa iasherati kama umepewa talaka yako uko free kuolewa na ndoa nyingine na Ata ukisoma agano LA kale talaka ilikuwepo tu, je ni wangap wamefunga ndoa Za pill Tena wachungaji walioshindwa ndoa zao au ni wakristu wa ngap wanandoa Za pill Za kanisani, na aliyesema Za waroma had Pope aamue Talaka huyo muongo, ndoa zilizoshindikana kwa Roma maaskofu wanajadili wakishindwa wanawapeleka mahakaman mahakama ndio itatoa uamuz wa ndoa hiyo nakuangalia sheria Za ndoa xinasemaje kama huyo Dada mahakama ilitoa talaka kwake kuolewa ruksa ila awe makin asije Pata pasua kichwa kama huyo aliyeachana nae
Wengine hua mnasoma biblia gani, biblia inasema mtu asimwache mkewe ila kwa iasherati kama umepewa talaka yako uko free kuolewa na ndoa nyingine na Ata ukisoma agano LA kale talaka ilikuwepo tu, je ni wangap wamefunga ndoa Za pill Tena wachungaji walioshindwa ndoa zao au ni wakristu wa ngap wanandoa Za pill Za kanisani, na aliyesema Za waroma had Pope aamue Talaka huyo muongo, ndoa zilizoshindikana kwa Roma maaskofu wanajadili wakishindwa wanawapeleka mahakaman mahakama ndio itatoa uamuz wa ndoa hiyo nakuangalia sheria Za ndoa xinasemaje kama huyo Dada mahakama ilitoa talaka kwake kuolewa ruksa ila awe makin asije Pata pasua kichwa kama huyo aliyeachana nae
Ndoa za wakristo mpaka kifo kiwatenganishe mkuu ila huyo dada mbona ataolewa sana naa kuachika hajafikisha 30 talaka tayari
sielewi biblia inasema talaka ipo ila isababishwe na uzinzi kati ya wanandoa ndipo unatakiwa kumuacha mwenzio lkn ukija makanisani nako daaa sheria kibao mpk kifo,which is which sasaNdoa, hapa sizungumzii ya kanisa fulani ila kwa mujibu wa Biblia, talaka ipo ila kama chanzo cha ugomvi ni uasherati........ Though Mungu anachukia kuachana na hajapanga ndoa iharibiwe.
Soma Mathayo 5:31-32.
Na baada ya kuachana kwa talaka. Waweza oa/olewa......
Lakini, ktk ukristo, kila kanisa lina utaratibu wake,
duuuuuuKuna rafik yangu ameolewa Mara 3, tena kanisani, lile karibu na New Africa hotel. Sijui anafanyaje
Ila ukibadilisha dini ndoa inakufa kabisa

Habari,
Naomba kwa wenye uelewa mpana hasa kwa wakristo kuhusu MTU aliyepeana talaka na mumewe Je, anawezekana kuolewa tena kwa ndoa ya kanisani kama ilivyokuwa awali?
Ukizingatia MTU hiyo umri bado MDOGO huko Kwenye 20s tumsaidiaje MTU huyu ili asiangukie kwenye uzinzi?
Wakristo nisaidieni Tafadhali.
Wengine hua mnasoma biblia gani, biblia inasema mtu asimwache mkewe ila kwa iasherati kama umepewa talaka yako uko free kuolewa na ndoa nyingine na Ata ukisoma agano LA kale talaka ilikuwepo tu, je ni wangap wamefunga ndoa Za pill Tena wachungaji walioshindwa ndoa zao au ni wakristu wa ngap wanandoa Za pill Za kanisani, na aliyesema Za waroma had Pope aamue Talaka huyo muongo, ndoa zilizoshindikana kwa Roma maaskofu wanajadili wakishindwa wanawapeleka mahakaman mahakama ndio itatoa uamuz wa ndoa hiyo nakuangalia sheria Za ndoa xinasemaje kama huyo Dada mahakama ilitoa talaka kwake kuolewa ruksa ila awe makin asije Pata pasua kichwa kama huyo aliyeachana nae
Zinatenguliwa kidunia ila ulimwengu wa roho inakua palepale ndo mana MTU akianza kuachika ndoa moja na nyingine hivi hivi, maagano hata ukienda mahakamani huwatesa wengi mno tena kiapo MTU anachosema Mpaka kifo kiwatenganishe nalilofungwa duniani ni mpaka mbinguni.Siku hizi zinatenguliwa ni nnao mfano hai mmoja
Mwingine Joyce Kiria alifunga Ndoa St Joseph RC .na DJ Nelly wakatengana wamepeana talaka Joyce kaolewa na kilewo na Nely kaoa km sikosei last yr St.Peter
pale Oysterbay
Huyo ana tatizo si bureKuna rafik yangu ameolewa Mara 3, tena kanisani, lile karibu na New Africa hotel. Sijui anafanyaje
Ila ukibadilisha dini ndoa inakufa kabisa
Katika maandiko tunaruhusiwa kuachana kwa habari ya UZINZI!!Zinatenguliwa kidunia ila ulimwengu wa roho inakua palepale ndo mana MTU akianza kuachika ndoa moja na nyingine hivi hivi, maagano hata ukienda mahakamani huwatesa wengi mno tena kiapo MTU anachosema Mpaka kifo kiwatenganishe nalilofungwa duniani ni mpaka mbinguni.
Ukitaka kuwa huru kiroho, fuata Biblia. Biblia inaruhusu talaka kama mwanandoa amezini nje ya ndoa na baada ya hapo kila mtu yupo free.sielewi biblia inasema talaka ipo ila isababishwe na uzinzi kati ya wanandoa ndipo unatakiwa kumuacha mwenzio lkn ukija makanisani nako daaa sheria kibao mpk kifo,which is which sasa
Naomba mstari ktk Biblia kwa proof zaidi.Kwa mujibu wa biblia ndoa baada ya talaka ni mpaka kifo.Hata kama mmepesna talaka kimahakama au kwa namna yoyote,Mumgu anahesabu bado ni ndoa mpaka mmoja wao atakapokufa ndio huyo dada atakuwa huru kuolewa. Akifanya vinginevyo ni dhambi.Hii ni kwa mujibu ww biblia inaapply kwa makanisa yote yanayoifuata biblia takatifu.