Maisha baada ya kifo

Mungu ni mmoja.
Sisi binadamu ndo tunamtofausha kutokana na mapokeo tunayotapata kutoka kwa jamii zetu.
Mfano Mimi ni muislam.
Mungu tunamuita Allah.
Wakristo wanamuita yehova n.k
Lakini ndo huyo huyo.
Achana na Yale masanamu ya kihindi.

Haya ni maneno ya Nani??
 
Nijuavyo mimi. Akili ya mungu ipo juu sana ya uwezo na fikra za kibinadamu. Yeye ndiye anayejua A-Z ya hatima ya binadamu na ulimwengu wote.

Maana yeye ndiye programmer wa maisha haya tunayoishi hivyo tunaishi kwa plan zake. Kujiuliza maswali kwa kuhoji intelligence yake ni sawa na kujaribu kuhamisha bahari kwa kifuu cha nazi.

Yeye ni Mungu wa haki, vitabu vitakatifu vinasema hivyo. Sio Mungu wa usawa. Halinganishi mambo. Anajua kipimo halisi cha haki.Atatenda haki.

Asalaam
 
Hii elimu hatari.
 

Akili yako ndio itakayoamua ukae katika level gani iwe ya uungu au mtu kiuhalisia huyo mungu hayupo

Naomba nikuuluze kitu ili nikuonyeshe akili inavyoweza kubadilika ktk level yoyote iwe ya uungu au ya mtu

Unakubali mashetani wapo?
 
Kwa mujibu wako wewe kama kuna shetani pia mungu yupo na katika hao wawili unavyoamini ww mungu ana nguvu zaidi ya shetani

Swali je inawezekana mtu kumtoa shetani pasipo na nguvu mungu?
Kwanza Mungu si wa kushindanishwa na yeyote wala chochote,hivyo msemo wa kwamba kuna nguvu mbili ya Mungu na shetani haupo sawa kwangu.

Haiwezekani Mungu ashindanishwe na kiumbe alichokiumba mwenyewe.

Sijui maelezo yangu kama yatakuwa yamejibu swali lako?
 

Namaanisha kwa waislam wanaiita kisomo cha ruqya na wakristo wanaita kukemea mapepo kwa kutumia jina la yesu

Je mtu akiwa amepandishaa mashetani au amepagawa kwa mapepo je ni lazima utumie ruqya au kukemea kwa jina la yesu ili apone?
 
Mbona wamekubania....!

Kula like kama zote


We Noma....! U made My Day


Hivi una udugu na Humble African .?
 
Safi sana..sijui nianzie wap
1.reality...utapokuwa upo plane flani ktk universe unaona kuwa ni real ..ukihama unaenda nyengine utaona kama ile ulohama ni ndoto.
Mfano ukilala ukapitiwa Na ndoto utaona ni real lakini ukiamka utaona sio real.
Qur'an imetufundisha kuwa siku ya kufufuliwa binadamu atayakumbuka alifanya duniani..Na pia ataona kama ni ndoto ya usiku mmoja.
2.knowledge 2D - 3D ..mtu anavyo zidi pata knowledge(ndivyo atavyoadhibiwa au kubarikiwa)..watoto kwa muujibu wa mafundisho ya qurani hawatopewa adhabu ya motoni. kwa sababu hawajapevuka Na kuweza kutambua Mama Na Mabaya kwa sababu wapo ktk 2D.
Maisha badala ya kifo yapo
Kunamengi mengi nimeona yanafanana kabisa Na mafundisho yetu huku.
 
Namaanisha kwa waislam wanaiita kisomo cha ruqya na wakristo wanaita kukemea mapepo kwa kutumia jina la yesu

Je mtu akiwa amepandishaa mashetani au amepagawa kwa mapepo je ni lazima utumie ruqya au kukemea kwa jina la yesu ili apone?
Zipo njia zengine tofauti na hizo.
 
asante kwa kunirekebisha ila swali bado lipo pale pale MUNGU wetu anajua kuwa yupi ataenda motoni na yupi mbinguni??na kama anajua kwanini iwepo hukumu na kama hajui inamaana kuna vitu havijui
Mungu huwezi kumuuliza kwanini,kwakua yeye ndio alioumba yote,anafanya alitakalo so,muacheni apumzike anawaangalia tu mnavyo bishana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…