nikwabie kitu kagoogle maana ya nature tusipotezeane muda kuchapa hapaHivi kaka kati yangu mimi na wewe nani mjinga ? Nakupa faida UJINGA ni dhidi ya elimu.
Naanzia hapa,nani amepinga kwamba nature sio asili ? Halafu ukisema Nature ni asili,hii ni tarjama tu mzee,umetoa kwenye kiingereza umeleta kwenye Kiswahili. Sikutegemea swali la kielimu kama hili likajibiwa kijinga namna hii. Yaani kwa ufupi swali hukajibu.
Sasa nataka unieleze hiyo asili inafanyaje kazi na hiyo asili ni nini ?
Nilipokuuliza ni nini Nature nilitaka ueleze nature inafanya vipi kazi.
Kwasababu hukujua nimeuliza nini,nakupa fursa ujibu swali langu hilo. Kwamba Nature ni nini ? Huwa sikurupuki mzee.
Nipo................
Nacheka sana. Nashukuru kwa kunielewa mzee. Kazi imeisha. Sina muda wa kupoteza bro kwenda google wakati jambo japesi sana.nikwabie kitu kagoogle maana ya nature tusipotezeane muda kuchapa hapa
upo sawa mkuu
1:kwa mujibu wa imani zetu tunafundishwa kwamba siku ya mwisho baada ya ukumu wenye dhambi wanakwenda motoni na wasio na dhambi wanakwenda mbinguni
swali: mababu zetu waliokufa zamani kabla dini hazijaja na hawakuwa na mafunzo yoyote kuhusu Mungu tunaemwabudu je wao watahukumiwa au lah??
Kuna watu wanawadanganya wengine kuwa eti ukifa au tukifa wote tunakuwa sawa,...no no no big no..kama ni hivo kina Billgate na Jeff bezos wasingekuwa bize kukusanya pesa na uelewa wa jinsi dunia ilivyo..
kwa hiyo ukifa unaingia kwenye higher dimensions of life form na kila plane of reality inahabour roho zenye conciousness flani ziliyotoka nayo huko duniani kwenye 3D ( three dimension awareness).
Hakuna mizimu mkuu, ni mashetani yanayozidi kuwalaghai watumfano mzuri ni uwepo wa Ghost Hitch hiker (mizimu inayotembea au kuwatokea watu) katika maisha yetu..mara nyingi mtu akifa anashift katika another plane of reality na huko anakuwa amekwenda anakuwa under guided by universal laws zinazoguide roho au mtu kuwa katika level ile na haiwezi kukuruhusu urudi tena duniani ( ndo mana mtu akifa amekufa,) ..there is no turning back unless it is hoax...
Wanaotafuta pesa, wengi ni wajasiliamali...shughuli zao ni za hapa hapa Duniani...shughuli za mikono, wengine ni matapeli, vibaka, majambazi etcifahamike kuwa mwenye pesa tayari anakuwa na access ya kujua jinsi ulimwengu ulivyo hence anakuwa na knowlege ya kutosha ya kumfanya aingie kwenye kwenye 5D before hata hajafa kitu ambacho kitamfanya atakapokufa atakuwa kwenye another higher level of dimensions kuliko mimi na wew Nampulilampi
Hivyo ni jukumu lako hasa kutafuta knowlege kubwa au uongeze maarifa juu ya jinsi ulimwengu ulivyo kwani ni faida kwako badae..
Necta ianpoandaa mtihani, inaamini kila swali lilitolewa, basi, umeshafundishwa mada husika..Necta inaamini pia umeshafundishwa kila kitu na una uwezo wa kupata 100% lakini kutokana na kupoteza umakini, au kutokua sahihi kabisa, ndio maana Grade A inaanzia 81%2: dini zetu zinatuimanisha kuwa Mungu wetu anauwezo mkubwa kiasi kwamba anatufahamu sisi kabla hatujazaliwa, maisha yetu na hata kufa kwetu,
swali: kwa uwezo alionao Mungu wetu ni dhahiri kuwa anajua yupi atakwenda motoni na yupi ni wambinguni kama ndio ivo kwanini kuwepo na hukumu?? na kama hajui yupi atakwenda motoni na yupi atakwenda mbinguni inamaana Mungu wetu ni dhaifu kiasi kwamba kunavitu havijui??
nashukuru sana mkuu nimekupata vilivo,,Dhambi ni nini?
Ni kuvunja kwa makusudi sheria (amri) alizoweka Mungu...
Mababu zetu, kwakutokujua utaratibu huo waliwekwa sehemu ambayo sio peponi wala sio jehanamu...Yesu alipokufa (alipouacha mwili wa kiubinadamu) alienda kuwapeleka wote peponi, walipewa favour
kifo chako ndio mwisho wako wa dunia...
Amina,,,nashukuru kwa majibu yako na nimeelewa piaNecta ianpoandaa mtihani, inaamini kila swali lilitolewa, basi, umeshafundishwa mada husika..Necta inaamini pia umeshafundishwa kila kitu na una uwezo wa kupata 100% lakini kutokana na kupoteza umakini, au kutokua sahihi kabisa, ndio maana Grade A inaanzia 81%
Ninachomaanisha
Mungu anapomuumba binadamu, anategemea siku moja aione Roho yake (mwanadamu) baada ya kifo...
Unapowekwa Duniani, ndo unaamua kwa hiari yako uende wapi..Matendo yako ndio yatakayo kuelekeza wapi pa kwenda!
Eti mkuu Rodyizzy imani (sio dini) yako inakuambiaje kuhusu uzima wa milele?
Mungu anajua yote haya ndio maana anakupigania kwa kukupatia watumishi wake (wachungaji, mapadre etc)...Unaposhikwa na kushindwa kujishikiria, unapobebwa na kushindwa kubebeka, lazima utapambana na hali yako...
Hatima yako, ipo mikononi mwako....
1. Mungu ni mwenye uwezo kuliko yeyote yule asa anashindwaje kuhakikisha watu anayewauumba wawe wa peponi tu? Kitendo cha Mungu kumpigania mtu kwa hali na mali inamaanisha Mungu hataki mtu yeyote yule aende motoni, lakini kushindikana kwa kila alifanyalo Mungu kumnasua mtu na moto ina maana mikakati ya Mungu ime fail. je Mungu hana uwezo wowote ule ikiwa anazidiwa na binadamu aliyemuumba?Necta ianpoandaa mtihani, inaamini kila swali lilitolewa, basi, umeshafundishwa mada husika..Necta inaamini pia umeshafundishwa kila kitu na una uwezo wa kupata 100% lakini kutokana na kupoteza umakini, au kutokua sahihi kabisa, ndio maana Grade A inaanzia 81%
Ninachomaanisha
Mungu anapomuumba binadamu, anategemea siku moja aione Roho yake (mwanadamu) baada ya kifo...
Unapowekwa Duniani, ndo unaamua kwa hiari yako uende wapi..Matendo yako ndio yatakayo kuelekeza wapi pa kwenda!
Eti mkuu Rodyizzy imani (sio dini) yako inakuambiaje kuhusu uzima wa milele?
Mungu anajua yote haya ndio maana anakupigania kwa kukupatia watumishi wake (wachungaji, mapadre etc)...Unaposhikwa na kushindwa kujishikiria, unapobebwa na kushindwa kubebeka, lazima utapambana na hali yako...
Hatima yako, ipo mikononi mwako....
kuna mambo mengine yanaitaji kutafakali sana1. Mungu ni mwenye uwezo kuliko yeyote yule asa anashindwaje kuhakikisha watu anayewauumba wawe wa peponi tu? Kitendo cha Mungu kumpigania mtu kwa hali na mali inamaanisha Mungu hataki mtu yeyote yule aende motoni, lakini kushindikana kwa kila alifanyalo Mungu kumnasua mtu na moto ina maana mikakati ya Mungu ime fail. je Mungu hana uwezo wowote ule ikiwa anazidiwa na binadamu aliyemuumba?
2. Wakati Mungu anakuumba wewe je alikuwa anafahamu ya kwamba huyu ninayemuumba akienda duniani atakuwa na maisha kadhaa wa kadha na tabia fulani fulani ambazo mwisho wa siku zitampeleka either peponi au motoni?
3. Mfano wa necta na Mungu hauna logic kwasababu necta ikitunga mtihani kumpa mtu inamaana wanapima ufahamu au uelewa wa mtu. Lakini Mungu akimpa mtu mtihani inamaana hapimi ufahamu wala uelewa wa mtu bali anajipima yeye mwenyewe kwamba kaumba kwa mapungufu ya asilimia ngapi.
Ni sawasawa na mtu aunde gari halafu alipeleke barabarani kulifanyia jaribio kisha akalikuta haliendi kama alivyotaraji liende inamaana kosa lipo kwenye uundaji wa hilo gari.
Kwanini ?
Mkuu una uono mpana sana kwa sababu hyo quran tunaifasiri juu juu ila ukizama utaona wanasayansi wanapita huko hukoSafi sana..sijui nianzie wap
1.reality...utapokuwa upo plane flani ktk universe unaona kuwa ni real ..ukihama unaenda nyengine utaona kama ile ulohama ni ndoto.
Mfano ukilala ukapitiwa Na ndoto utaona ni real lakini ukiamka utaona sio real.
Qur'an imetufundisha kuwa siku ya kufufuliwa binadamu atayakumbuka alifanya duniani..Na pia ataona kama ni ndoto ya usiku mmoja.
2.knowledge 2D - 3D ..mtu anavyo zidi pata knowledge(ndivyo atavyoadhibiwa au kubarikiwa)..watoto kwa muujibu wa mafundisho ya qurani hawatopewa adhabu ya motoni. kwa sababu hawajapevuka Na kuweza kutambua Mama Na Mabaya kwa sababu wapo ktk 2D.
Maisha badala ya kifo yapo
Kunamengi mengi nimeona yanafanana kabisa Na mafundisho yetu huku.