Maisha baada ya kifo : Naomba kujua tofauti za kufa ukiwa mtu mashuhuri na kufa ukiwa wa kawaida sana

Ndugu kama kichwa kilivo hapo juu mm naitwa Eliya Madete naomba kuuliza baada ya kufa kuna sehemu tunaenda au tunapotea tu
BAADA YA KUFA UTAZIKWA KWENYE KABURI, HAPO NDIO MAISHA YAKO YATAKAPOOANZA, MPAKA SIKU YA MWISHO WA DUNIA, WATAKUFA WOTE WALIOBAKI, IKISHA WATAFUFULIWA WOOTE WALIOKUFA TOKA KUANZA KWA DUNIA, HAPO SASA NDIO HESABU ITAKAPOKUWA.
MWENYE KUTENDA MEMA ATAINGIZWA KWENYE PEPO, NA MWENYE KUTENDA MAOVU ATAINGIZWA KWENYE MOTO.
KUNA AMBAO HAWATAKAA MILELE MOTONI, WATATOKA BAADAE NA KWENDA KUISHI PEPONI.
ILA KUNA WENGINE WATAISHI MILELE MOTONI.
ANAINGIA KWENYE PEPO NDIO KESHAINGIA HATOKI TENA.
HIYO KWA UFUPI.
KWA FAIDA
JITAHIDI SANA KUISHI DUNIANI KWA WEMA NA IHSAAN. NA KUFUATA YALE YOTE YALIOAMRISHWA KUFUATA NA KUASHA YOTE YALIOKATAZWA.
Kumbe teyar unajua nn kitatokea?? Basi hata siku yako ya kufa utakuwa unaijua aisee, you are good
unazaliwa kwengine katika fom nyingine
mathalan, ukifa Tz, unazaliwa tena Yemen kama jibwa
Sanaa ya kifo
 
Ndugu kama kichwa kilivo hapo juu mm naitwa Eliya Madete naomba kuuliza baada ya kufa kuna sehemu tunaenda au tunapotea tu
Ye anajuaje?kwani alishawahi kufa then akafufuka ili atuambie kukoje...kwa kifupi hakuna binadamu anayejua for sure/100% baada ya kifo kuna nini,maana waliokwisha kufa wote hatuwasiliani nao na pia hawajawahi kurudi kutuambia kunani
 
BAADA YA KUFA UTAZIKWA KWENYE KABURI, HAPO NDIO MAISHA YAKO YATAKAPOOANZA, MPAKA SIKU YA MWISHO WA DUNIA, WATAKUFA WOTE WALIOBAKI, IKISHA WATAFUFULIWA WOOTE WALIOKUFA TOKA KUANZA KWA DUNIA, HAPO SASA NDIO HESABU ITAKAPOKUWA.
MWENYE KUTENDA MEMA ATAINGIZWA KWENYE PEPO, NA MWENYE KUTENDA MAOVU ATAINGIZWA KWENYE MOTO.
KUNA AMBAO HAWATAKAA MILELE MOTONI, WATATOKA BAADAE NA KWENDA KUISHI PEPONI.
ILA KUNA WENGINE WATAISHI MILELE MOTONI.
ANAINGIA KWENYE PEPO NDIO KESHAINGIA HATOKI TENA.
HIYO KWA UFUPI.
KWA FAIDA
JITAHIDI SANA KUISHI DUNIANI KWA WEMA NA IHSAAN. NA KUFUATA YALE YOTE YALIOAMRISHWA KUFUATA NA KUASHA YOTE YALIOKATAZWA.
Hii movie/series gani mzee?
 
Kuna watu wanakufa wakiwa matajiri , viongozi wakubwa , maarufu na wanakuwa gumzo kila kila kona ya nchi /dunia. Jamii makundi kwa makundi hupaza sauti za kusikitika, kusononeka kila wakati zikieleza mazuri mengi ambayo mrefu amewahi kufanya au kuwa na mchango fulani mkubwa.

Kuna binadamu wengine wanakufa kifo cha kawaida, hakuna mstuko mkubwa , hawasemwisemwi , hawana reference yoyote wa mambo ambayo wameyafanya kwa ukubwa fulani at national /international levels.

Kwa hisia zako kama binadamu ,tofauti za maisha ya hawa watu baada ya kifo zikoje ?

Nderemo,huzuni na ushuhuda wa walimwengu utamfanya atalazwe mahala pema peponi kweli hata kama alikuwa na maovu yake?

Tujadili.

Sent using Jamii Forums mobile app
CHECK LINK HII NADHANI UTAPATA MAJIBU 0678813891 KWA MAELEZO ZAIDI
 
Back
Top Bottom