Maimartha - Mwaka huu lazima niolewe

Maimartha - Mwaka huu lazima niolewe

Mkuu kuna Bwana wake kisha nyoosha au?
Hebu tupe tupe kidogo tafadhari....

PERFECT KASIGA

PERFECTKASIGA.JPG
 
ukisema wa nini wenzio wanasema watampata lini na kilokushinda kukila usikitie hila!

asante my dear coz binadamu wa JF wanajifanayga wao wema/wasafi sana, hakuna zuri kwao ni kuponda ponda watu as if wao wasafiii sana....nakerekaga kweli...kama nyie hamuwezi kuoa kuna waoaji.
 
This photo couldn't be recent one!
Well said,
This time around Kakongoroka mbaya mpaka kwenye vipindi vyake hapigwi Close shots, Na bado Maiko Jacksonnnnnnnn!!!!!!!, Na akifikisha umri wa miaka 40 na kimango kikiwa hakuna utaona kama Hajaokoka!, Mimi nipo!
 
Back
Top Bottom