Maimartha - Mwaka huu lazima niolewe

Maimartha - Mwaka huu lazima niolewe

misnomer

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2011
Posts
203
Reaction score
69
Maimartha.jpg

Fuatilia story hapa:
MAIMARTHA: MWAKA HUU LAZIMA NIOLEWE - Global Publishers
 
Wanaume tupo tena wa mbegu kabisa. Usipate shida bibie! Wewe ni pm tu.
 
Hivi Shah ndiyo nani? Nimefuatilia story hiyo nikajiuliza ana ujiko gani maana kibongo bongo Maimartha yupo juu hivyo ni matarajio yangu atatoka na star mwenzake. Nijuzeni jamani wenye kumjua huyo Shah. Picha nzuri imetulia kiukweli.
 
Kwanza atuambie yule bwana wake alikufa kwa maradhi gani ndion tutamuwowa
 
ukisema wa nini wenzio wanasema watampata lini na kilokushinda kukila usikitie hila!


nani aoe mitapishi hii bana..we kakaa kwenye uchamba miaka 10 sasa kuna mke hapo...ajivue gamba kwanza
 
Nipo tayari kumdunga mimba tu sio kuoa! Ani pm lakini awetayari kwenda kwa wakili tukaandikishane kabisaa maana kila niliyeshirikiana kimapenzi aligeuka na kuwa king'ang'anizi kama ruba nilipowaliza kila mmoja alisema kafikishwa ipasavyo! Hivyo sipendi matatizo baadae! Mtoto tutalea wote
 
poleni hatafuti mwanaume ana mcchumba wake na ameshakamilisha masharti yote ya posa mpo
 
Back
Top Bottom