Maigizo ya “MFUNGWA WA SAMIA”

Maigizo ya “MFUNGWA WA SAMIA”

Inafikirisha sana! Hata mavazi yake yanaonekana ni mapya kabisa.
 
Tulijua tu kuwa kuna mfungwa amepaka mafuta na ngozi inamelemeta na glow alafu amsogelee Rais na kumnong'oneza. Script haijakaa sawa ile.
Jela za sasa hivi siyo za miaka ya Zamani umkute mfungwa ana mapele mwili mzima jela zina maji ya kutosha watu wanaoga mara tatu kwa siku wanapakaga mafuta ya Nazi hakuna Lotion wala Carolight kule Jela ya wanawake ndo kabisa hata Mafeni yamefungwa.
 
Hii nchi ya ajabu sana na hatujui lengo la haya maigizo ya yule mfungwa hususani wa kiume yanamaanisha nini.

Binafsi, namfahamu yule jamaa na kama kuna mtu wa Newala anaweza akawa anamjua yule jamaa.

Yule jamaa wa kiume sio mfungwa na hajawahi kufungwa popote. Namjua na anaishi Newala.

Jamaa anaitwa Rashid Juma anaishi hapa Kikuyu Newala st. Marry Street. Hajawahi kufungwa mahali Popote. Jamaa huwa anajifanyaga Mtu wa System na ni kada maarufu hapa Newala. Huu uongo wa Bibi yenu kama ulikuwa kwa lengo la kupoteza maboya(SPINNING) kuhusu Mafuta au kuhusu 29 October, mwambieni alete igizo lingine.

Inasikitisha sana. Huyu mama ni wa ajabu sana.
View attachment 3586582
Tatizo la Samia ni kwamba hana 'credential' zozote za taaluma ya Sanaa; lakini hupenda kila mara kufanya sanaa kama mtaalam katika eneo hilo.

Maisha yake yote kaishi kwa ulaghai laghai tu; hadi kafika kwenye ngazi ya kuondoa uhai wa waTanzania kwa njia hizo hizo za kilaghai.

Sasa nadhani lililobaki ni kuandaa tu mwisho wake kwa kutumia njia hizo hizo za kilaghai.

Huyu njia nyingine zozote hazifai kumkomesha asiendelee kuwafanyia ulaghai waTanzania.
 
Daah hii nchi imekuwa circus Sasa 😂
Toka "kuasisi" hadi kunong'onezana na mhalifu mwenzake jela!

Naona sinema itakayofuata ni kumpata mme wa kupiga picha naye mitandaoni, maana yule baba Abdul inaonekana hafai.
Au lile jamaa la Zimbabwe ndilo limechukuwa nafasi hiyo tayari?
 
Kiusalama sioni tatizo, muhimu kama ujumbe umefika kwa walengwa
Ujumbe uliofika ni kwamba Samia hana kikomo cha uigizaji.
Lakini pia ni kwamba Samia huyo huyo hana akili za kujuwa kuwa maigizo haya hayana msaada wowote tena kwake.
Nenda kamweleze hivyo, na kama unazo njia za kumsaidia, ni bora zaidi ufanye hivyo kabla waTanzania hawajamwajibisha kwa maovu yake kwa hasira.
 
Hii nchi ya ajabu sana na hatujui lengo la haya maigizo ya yule mfungwa hususani wa kiume yanamaanisha nini.

Binafsi, namfahamu yule jamaa na kama kuna mtu wa Newala anaweza akawa anamjua yule jamaa.

Yule jamaa wa kiume sio mfungwa na hajawahi kufungwa popote. Namjua na anaishi Newala.

Jamaa anaitwa Rashid Juma anaishi hapa Kikuyu Newala st. Marry Street. Hajawahi kufungwa mahali Popote. Jamaa huwa anajifanyaga Mtu wa System na ni kada maarufu hapa Newala. Huu uongo wa Bibi yenu kama ulikuwa kwa lengo la kupoteza maboya(SPINNING) kuhusu Mafuta au kuhusu 29 October, mwambieni alete igizo lingine.

Inasikitisha sana. Huyu mama ni wa ajabu sana.
View attachment 3586582
Yaani mfungwa anaruhusiwa kumnong'oneza Rais kwa karibu kiasi hicho wakati raia wa kawaida hawarusiwi kumkaribia hata mita 1.

Wafungwa wanaaminila kuliko raia wema.
 
Uongo wa namna hii hauna faida yoyote ile
1778499200259.jpg
 
Hii nchi ya ajabu sana na hatujui lengo la haya maigizo ya yule mfungwa hususani wa kiume yanamaanisha nini.

Binafsi, namfahamu yule jamaa na kama kuna mtu wa Newala anaweza akawa anamjua yule jamaa.

Yule jamaa wa kiume sio mfungwa na hajawahi kufungwa popote. Namjua na anaishi Newala.

Jamaa anaitwa Rashid Juma anaishi hapa Kikuyu Newala st. Marry Street. Hajawahi kufungwa mahali Popote. Jamaa huwa anajifanyaga Mtu wa System na ni kada maarufu hapa Newala. Huu uongo wa Bibi yenu kama ulikuwa kwa lengo la kupoteza maboya(SPINNING) kuhusu Mafuta au kuhusu 29 October, mwambieni alete igizo lingine.

Inasikitisha sana. Huyu mama ni wa ajabu sana.
View attachment 3586582
Nili 🧐 doubt hata Mimi huwezi msogelea raisi kwa ukaribu huo tena mfungwa stranger..

Magufuri pekee ndio alikua anaweza kusogea kwa ukaribu ule..Mimi niliwaza the same..

Binafsi Mimi Huwa sio muoga..hata ukinikutanisha na TRUMP sinaga tabia ya uoga..

Ila Huwa Kuna hali ya uoga flani ivii ukikutana na mh. Rais wa NCHII sembuse jamaa alikua anaongea kwa kujiamini sanaa

Unamsogelea je ange mn'gata kolomelo mh.raisi wetu na kumsababishia matatizo..lile lilikua igizo
 
Hii nchi ya ajabu sana na hatujui lengo la haya maigizo ya yule mfungwa hususani wa kiume yanamaanisha nini.

Binafsi, namfahamu yule jamaa na kama kuna mtu wa Newala anaweza akawa anamjua yule jamaa.

Yule jamaa wa kiume sio mfungwa na hajawahi kufungwa popote. Namjua na anaishi Newala.

Jamaa anaitwa Rashid Juma anaishi hapa Kikuyu Newala st. Marry Street. Hajawahi kufungwa mahali Popote. Jamaa huwa anajifanyaga Mtu wa System na ni kada maarufu hapa Newala. Huu uongo wa Bibi yenu kama ulikuwa kwa lengo la kupoteza maboya(SPINNING) kuhusu Mafuta au kuhusu 29 October, mwambieni alete igizo lingine.

Inasikitisha sana. Huyu mama ni wa ajabu sana.
View attachment 3586582
Yule jamaa wa kiume sio mfungwa na hajawahi kufungwa popote. Namjua na anaishi Newala.😊
 
Back
Top Bottom