Kama ni uongo leta ukweli wake.Wanaharakati wengi wapigaji account nyingi Al, kwa kuchangisha michango kwa story za kutunga wana grade A
Kama ni uongo leta ukweli wake.Wanaharakati wengi wapigaji account nyingi Al, kwa kuchangisha michango kwa story za kutunga wana grade A
Kwani mpaka atekwe yeye, labda anaishi kwa tahadhari au alipo hawana uwezo wa kufika. Mbona hauulizi kuhusu ambao wameshatekwa na mpaka leo hawajulikani walipo au waliotekwa na kunusurika.Mbona wewe hujatekwa. Toka hadharani uweke ushahidi wako na siyo kuongea uongo na uzushi huku jukwaani
Mimi sina hata huo muda wa kufuatilia anayoyafanya, so yawe maigizo au siyo, i dont give a fck. Nawaonea huruma nyie mnaomfuatilia kila anakopita halafu anaishia kuwapa sukari tu.Mtu mzima aache kudanganya watu au wewe unaona mtu mzima kufake matukio ni sawa.
Hakuna anayemfuatilia, tunayakuta humuhumu na mengine mnaanzisha nyinyi chawa. Imagine mnasema uongo kupotosha watu kwanini msiumbuliwe kabla uongo wenu haujaanza kuaminika kwa wasio na uwezo wa kuchambua mambo.Mimi huwa nawashangaa sana. Mtu hamumpendi lakini kutwa kucha kufuatilia mambo anayoyafanya.
Nyie ni malodilofa , acheni kuhangaika na mtu mnayejua kabisa anawadanganya. Mkiendelea na huo mchezo tofauti yenu na chawa wa mama itakuwa ndogo sana.Hakuna anayemfuatilia, tunayakuta humuhumu na mengine mnaanzisha nyinyi chawa. Imagine mnasema uongo kupotosha watu kwanini msiumbuliwe kabla uongo wenu haujaanza kuaminika kwa wasio na uwezo wa kuchambua mambo.
Secondly amejipachika ikulu kimabavu kwa kumwaga damu za watu hivyo usenge wake unaathari za moja kwa moja kwa raia na nchi kwa ujumla.
Huna muda wa kufuatulia anayoyafanya, kisha unajibu wanaomzungumzia?! Si ungepiga kimya ili usiwe sehemu ya mjadala wake?Mimi sina hata huo muda wa kufuatilia anayoyafanya, so yawe maigizo au siyo, i dont give a fck. Nawaonea huruma nyie mnaomfuatilia kila anakopita halafu anaishia kuwapa sukari tu.
Be out as you wish ila huyo kikojozi wenu ataendelea kupopolewa nonstop.Nyie ni malodilofa , acheni kuhangaika na mtu mnayejua kabisa anawadanganya. Mkiendelea na huo mchezo tofauti yenu na chawa wa mama itakuwa ndogo sana.
Am out.
Unaumia ukiwa wapi?Huna muda wa kufuatulia anayoyafanya, kisha unajibu wanaomzungumzia?! Si ungepiga kimya ili usiwe sehemu ya mjadala wake?
Achana naye.Be out as you wish ila huyo kikojozi wenu ataendelea kupopolewa nonstop.
wanatumia kodi ya nan kuwezesha hayo maigizoMaigizo ya mfungwa wa samia yanakuathiri vipi?
Piga kimya dogo.Unaumia ukiwa wapi?
My family is well and very comfortable, haya mengine ni mapambano ya kulikomboa taifa.Achana naye.
Focus na mambo ya msingi yenye tija kwa familia yako.
anatumia kodi ya nan kufanya mambo yakeMimi huwa nawashangaa sana. Mtu hamumpendi lakini kutwa kucha kufuatilia mambo anayoyafanya.
ETI NEVER AGAIN,WIZI WA KURA HAUKUBALIKI AU,JE KUUWA WATU HAUKUBALIKI AU,Mi CHADEMA mnapenda sana uongo , uzushi na Majungu. Jitokeze hadharani utoe ushahidi wako.
Wajitokeze hadharani ili muwateke??!!.Mi CHADEMA mnapenda sana uongo , uzushi na Majungu. Jitokeze hadharani utoe ushahidi wako.
Tangu aanze kufanya maagizo, umeona ana dalili za kuacha?anatumia kodi ya nan kufanya mambo yake
Ujuta ni elf 4 sasa , we haujui ?
Una uwezo wa kuzuia wasitumie kodi yako kufanya maigizo?wanatumia kodi ya nan kuwezesha hayo maigizo
Uongo wa namna hii hauna faida yoyote ileHii nchi ya ajabu sana na hatujui lengo la haya maigizo ya yule mfungwa hususani wa kiume yanamaanisha nini.
Binafsi, namfahamu yule jamaa na kama kuna mtu wa Newala anaweza akawa anamjua yule jamaa.
Yule jamaa wa kiume sio mfungwa na hajawahi kufungwa popote. Namjua na anaishi Newala.
Jamaa anaitwa Rashid Juma anaishi hapa Kikuyu Newala st. Marry Street. Hajawahi kufungwa mahali Popote. Jamaa huwa anajifanyaga Mtu wa System na ni kada maarufu hapa Newala. Huu uongo wa Bibi yenu kama ulikuwa kwa lengo la kupoteza maboya(SPINNING) kuhusu Mafuta au kuhusu 29 October, mwambieni alete igizo lingine.
Inasikitisha sana. Huyu mama ni wa ajabu sana.
View attachment 3586582