Maids Matata

Maids Matata

[emoji39][emoji39][emoji39][emoji108][emoji108][emoji108]
 
Zigo huonekana hata kwenye baibui ,mchovu akipewa Hilo zigo hainui,chungu Cha Moto bila ufindi huipuiii
 
Hello,

Msishangae sana wala msichoke, huu mwezi kwa lugha ya malkia una majina mengi, Festive Season, Christmas Season, Vacation Season, Wedding Season, na Mahaba ndo yanazidi ila ambao wanaenda mguu mbele mguu nyuma huu mwezi ni wa Mawazo na stress.

9Simsimangi mtu na najua maisha huko mtaani yamebana ila piga ua wenye familia hata ikiwa kwa kuiba watapambana familia ifurahi msimu huu)

Back to the topic, video hapo chini ni ya Maids Matata..... usianze kuniuliza namba zao za simu ila wako hapa hapa bongo Daslam.

Singida Dodoma ma ma ma ma ma ma

Mwanza na Shinganga nga nga nga nga nga nga

Kasie Matata.
Aisee, kweli mtu anaweza kupoteza focus, but life's more than butts n' the like. Tunapishana na mizigo ya hajja kila siku so lazima tuzoee tu.
 
Aisee, kweli mtu anaweza kupoteza focus, but life's more than butts n' the like. Tunapishana na mizigo ya hajja kila siku so lazima tuzoee tu.

Hahahahahahaaa mnaishia kunawa tuu aka kiwi cha macho sio eeheheheehehehehee.

Ila ukijikuta umeduwaa kutizama sana unaweza kuanza kutaka kushika.... Na hapo ndo focus inapokea kabisaaa.

Kuzaliwa mwanamke raha sana heheheheheh. Sie tulio kulia uswahilini tunasema rindima mama rindimaa heheheheee.

Usiku mwema mdogo wangu.

K' Matata.
 
Sasa dada, hiyo "mizigo" yote tunayopishana nayo kila siku ukitaka uipitie yote si utakufwa. Tunaridhika na vile Mungu alivyotujaalia...

Haya dada, huyo dadiii aendelee kukukumbatia tu hapo...
 
Sasa dada, hiyo "mizigo" yote tunayopishana nayo kila siku ukitaka uipitie yote si utakufwa. Tunaridhika na vile Mungu alivyotujaalia...

Haya dada, huyo dadiii aendelee kukukumbatia tu hapo...

Eeewaaah, kumbato mujarabuu la Dadii kwenye malango......

I love you Dadii wa Kasie.
 
Malango?...teh..

Malango ya ikulu ya Kasie?[emoji125][emoji125][emoji125][emoji39]

Hahahahhahahahaa acha fujo Eli, ni malango ya mlima......

Zaidi ya hapo ntatoboa siri...
 
Back
Top Bottom