Yeah kazi yao wanaijua,maana hiyo dressing tu mkuu inafanya audience kutojutia attendance yaoYaani hawa maids ni zaidi ya Matata na wanajua kuitega hadhira.... Mie nimependa pia vile wanatabasamu, macho yao... cute them.
Mnama, usisahau kutuletea zawadi...
Saaanaaa, Maida wa kufungia mwaka hao.
Maids hawachoshi kuwatizama, wanachochea kama Mahaba hehehehehee
Duuuuuu,hao wanawake wote ni wazuri nimeshindwa hata nimchague yupi hapo,maana wote ni wakaliHello,
Msishangae sana wala msichoke, huu mwezi kwa lugha ya malkia una majina mengi, Festive Season, Christmas Season, Vacation Season, Wedding Season, na Mahaba ndo yanazidi ila ambao wanaenda mguu mbele mguu nyuma huu mwezi ni wa Mawazo na stress.
9Simsimangi mtu na najua maisha huko mtaani yamebana ila piga ua wenye familia hata ikiwa kwa kuiba watapambana familia ifurahi msimu huu)
Back to the topic, video hapo chini ni ya Maids Matata..... usianze kuniuliza namba zao za simu ila wako hapa hapa bongo Daslam.
Singida Dodoma ma ma ma ma ma ma
Mwanza na Shinganga nga nga nga nga nga nga
Kasie Matata.
Duuuuuu,hao wanawake wote ni wazuri nimeshindwa hata nimchague yupi hapo,maana wote ni wakali
Kwa kweli jamani,wameumbikaUmeona eeehh tabasamu Matata kwa warembo hao yaani hata kama ulikuwa na usingizi unaisha wenyewee hehehee
Halafu wako flexible licha ya mizigo mizito waliyonayo hehehehhe hatariii.
K' Matata.
Na wanatunzwa ipasavyo... maana si kwa kung'aa huko.
Kumbe wanaume tunajua kutunza
100%Ukiona KE yeyote amependeza ujue mwanaume anahusika, kama sio baba mzazi basi baba mlezi. Japo wapo pia KE ambao wanapendeza kwa pesa zao wenyewe ila sababu wako na partners wao u lovers wao basi hujiweka watanashati na kudamshi ili muda wote wawe machoni mwa hao partners wao.