lugoda12 JF-Expert Member Joined Jul 28, 2018 Posts 311 Reaction score 646 Jan 30, 2024 #1 Uzuri wa Dar es Salaam sasa hivi ukiachwa unauwezo wa kulia hata sokoni mchana kweupee, kikubwa usitoe sauti na watu wakajua ni "RED EYES" kumbe unakung'utwa na mapenzi! 😀🚮
Uzuri wa Dar es Salaam sasa hivi ukiachwa unauwezo wa kulia hata sokoni mchana kweupee, kikubwa usitoe sauti na watu wakajua ni "RED EYES" kumbe unakung'utwa na mapenzi! 😀🚮
Shimba ya Buyenze JF-Expert Member Joined Dec 22, 2014 Posts 183,582 Reaction score 1,105,829 Jan 30, 2024 #2 Bado unakung'utwa na mapenzi mkuu mpaka kulimwaga chozi hadharani? Pole sana!