Mahusiano yanataka kuniumiza akili

Mpalestina katika ubora wako.......kwani wewe unavyo jisifia hivo na kujiweka hiyo class katika hayo mahusiano unaongeza Nini Cha ziada ....? Kuna ulazima gani wa kuwa na wewe.....? Lipi ambalo lipo kwako kwa wengine hamna .....? .....for sure hao wanaume wasio na akili unawaendesha Kama makatapila ndio levo zako

Big boys huwezi kuwaambia hivo Bali wao ndio watakuambia fanya moja mbili tatu simple and clean .

Sasa hao wako ili tu muende mkasuguane lazima mgimbanee na kuoneshana umwamba for sure wewe ni cheaper ila umejipa tittle sio ....jishushe muendelee kuvimbiwa magimbi na hao jamaa zako
Punguza hasira tunaishi mara moja. Utajiju na hasira zako.
 
Aiseee haya mapenzi mimi mbona sina? Yaani amekugeuza chuma ulete wewe ndo mtoa pesa? Uko nae miaka 9? Wewe umerogwa sio bure, mpuuzi anaishi kwao miaka hiyo yote?

Kweli kuna wanawake mnapenda kiboya sana.mimi mwanaume ambae hatowi chochote kwangu siwezi mvumilia zaidi ya miezi 3.
loohhh....
 
Mpalestina katika ubora wako.......kwani wewe unavyo jisifia hivo na kujiweka hiyo class katika hayo mahusiano unaongeza Nini Cha ziada ....? Kuna ulazima gani wa kuwa na wewe.....? Lipi ambalo lipo kwako kwa wengine hamna .....? .....for sure hao wanaume wasio na akili unawaendesha Kama makatapila ndio levo zako

Big boys huwezi kuwaambia hivo Bali wao ndio watakuambia fanya moja mbili tatu simple and clean .

Sasa hao wako ili tu muende mkasuguane lazima mgimbanee na kuoneshana umwamba for sure wewe ni cheaper ila umejipa tittle sio ....jishushe muendelee kuvimbiwa magimbi na hao jamaa zako
 
Mkuu hilo suala la kurudiana na ex najua sababu nimepunguza mapenzi. Upendo wangu kwake umeshuka sana. Ni mtu ambaye nikijisikia kurudiana naye its just after masaa matatu naweza kudate naye. So hiko sio kitu kinachoniumiza. Najua anafanya hivyo sababu l told him tuachane. So lazima atafute mtu wa kumkeep busy. Ishu ni kwamba sioni muelekeo yeye akiwa kama kiongozi wa familia tunayotaka kuanzisha
Ila kuna swala moja, nyie ni wapenzi wa muda mrefu! Unaposema huoni muelekeo maana yake ni nini? Jamaa yako kazi hana na haangaiki ama shida inakuwa ni nini? Kama ana kazi je, hamkai mkazungumza kwamba kwa mipango ya maisha mnataka kutekeleza nini kwa mwaka husika ama jamaa anakataa kutoa ushirikiano kwenye hizo plans?

Nataka nipate grounds za kwanini mnashindwa kucheza kwenye same keys!
 
Mkuu hilo suala la kurudiana na ex najua sababu nimepunguza mapenzi. Upendo wangu kwake umeshuka sana. Ni mtu ambaye nikijisikia kurudiana naye its just after masaa matatu naweza kudate naye. So hiko sio kitu kinachoniumiza. Najua anafanya hivyo sababu l told him tuachane. So lazima atafute mtu wa kumkeep busy. Ishu ni kwamba sioni muelekeo yeye akiwa kama kiongozi wa familia tunayotaka kuanzisha
Hili swala la “nikijiskia kurudiana naye its just after masaa matatu” ni tatizo jengine ambalo jamaa amelitengeneza kwa upuuzi wake😅...

Mkianza kufikiria familia je, yeye yupo tayari kuwa na familia kwa sasa? Uchumi wake una ruhusu au sababu wewe umefika 30 unataka umburuze ili uolewe haraka?

Zimwi likujualo halikuli likakwisha..nakuacha na huu msemo maana ni kwamba heri huyo unayemjua madhaifu yake ukakaa nae chini vizuri mkayajenga. Ukianza kutafta partner upya sahizi you will surely waste another 4-5 yrs
 
Mwamba anapush pipe ya aina gani mpaka ukaweka opportunities zako on hold for 9 years!
Kumbe na wewe umeona eeh....sema mleta mada hataki kusema tuu ila jamaa alokiwa anamgegeda vizuri ndio maana kavumilia miaka yote tisa. Chezeya 🍆 weye
 
Hili swala la “nikijiskia kurudiana naye its just after masaa matatu” ni tatizo jengine ambalo jamaa amelitengeneza kwa upuuzi wake😅...

Mkianza kufikiria familia je, yeye yupo tayari kuwa na familia kwa sasa? Uchumi wake una ruhusu au sababu wewe umefika 30 unataka umburuze ili uolewe haraka?

Zimwi likujualo halikuli likakwisha..nakuacha na huu msemo maana ni kwamba heri huyo unayemjua madhaifu yake ukakaa nae chini vizuri mkayajenga. Ukianza kutafta partner upya sahizi you will surely waste another 4-5 yrs
Mimi nakwambia in ten years hawa watakuwa wanatutafuta wenyewe kutupa mbususu zao tuwagegede maana waoaji hawatakuwepo
 
Ila hafai bhana, hata kama ni anakimbia tatizo,,mimi bora niwe na huyo ambae hana mapenzi ila anajielewa,,,,hahahha i mean atatunza familia yake ,,mimi na watoto wangu,,unajua wanawake hatujazoea ile kumhudumia mwanaume,,ni kazi sana mkuu asikuambie mtu aisee
Kuhudumia familia sio mchezo halafu anatokea mpumbavu anasema mwanamke akiwa sio muaminifu si unaachana nae tu😅 kizembe zembe tu hivi? Acha wapigwe kabali tu wafe
 
Kumbe kinachowauma ni zile hela mnazotumia kumtunza na sio mwanamke kuliwa mbususu 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom