Exactly!!Umekimbia mwanaume ambaye Hana akili ya maisha lakini ana mapenzi ,unakutana na mwanume mwenye akili ya maisha lakini ni hit and run ,Hana muda na wanawake Wala mapenzi ......
Huwezi pata mwanaume mkamilifu hii dunia ...
Unachofanya unakimbia tatizo tu , [emoji28][emoji28][emoji28]
Katuaibisha sana wanaume wenzake aisee.Kuna watu hawajishtukii kabisa, kuwa Mario ni jambo la fedheha sana.
Nasikitika kukuambia hivi, ila jamaa yako ana tamaa kama mwanamke.
Ulifuatilia malezi aliyolelewa tangu utotoni?. Je,kwao yeye ndiye mtoto pendwa zaidi?. Je,yeye ni wangapi kuzaliwa?Habari humu ndani?
Kwa kweli ashukuriwe sana alieanzisha jf. Maana kuna muda unatamani kuongea you dont know mtu wa kukusikiliza. Ila JF inasaidia sana kufanya wengine tutoe yanayotuumiza mioyoni mwetu.
Anaweza pia akampata mwenye sifa zote muhimu anazozihitaji. Yote yanawezekana.Umekimbia mwanaume ambaye Hana akili ya maisha lakini ana mapenzi ,unakutana na mwanume mwenye akili ya maisha lakini ni hit and run ,Hana muda na wanawake Wala mapenzi ......
Huwezi pata mwanaume mkamilifu hii dunia ...
Unachofanya unakimbia tatizo tu , [emoji28][emoji28][emoji28]
Pole , utaponaHabari humu ndani?
Kwa kweli ashukuriwe sana alieanzisha jf. Maana kuna muda unatamani kuongea you dont know mtu wa kukusikiliza. Ila JF inasaidia sana kufanya wengine tutoe yanayotuumiza mioyoni mwetu.
Ushauri mzuri but no hard feelings tumesikia upande mmoja wa pili je......Aiseee haya mapenzi mimi mbona sina? Yaani amekugeuza chuma ulete wewe ndo mtoa pesa? Uko nae miaka 9? Wewe umerogwa sio bure, mpuuzi anaishi kwao miaka hiyo yote?
Kweli kuna wanawake mnapenda kiboya sana.mimi mwanaume ambae hatowi chochote kwangu siwezi mvumilia zaidi ya miezi 3.
Dah kweli mapenzi nyoko dada na elimu yako na vijisenti vyako unapoteza nine good years na mwanaume ambaye hana mbele wala nyuma kama mche wa sabuni.Habari humu ndani?
Kwa kweli ashukuriwe sana alieanzisha jf. Maana kuna muda unatamani kuongea you dont know mtu wa kukusikiliza. Ila JF inasaidia sana kufanya wengine tutoe yanayotuumiza mioyoni mwetu.
Ipo hivi, nimekua kwenye mahusiano kwa muda mrefu sana zaidi ya miaka 9 na huyu mwenzangu. Tulianza mahusiano tukiwa chuo kikuu.
Hujapata wakukugegeda vizuri mpaka mapaja yanabibrate🤣🤣🤣🤣Good umechangia vizuri fala yule analelewa miaja 9? Mimi hayo mapenzi sina. Huyo mchunaji.
Sasa unataka ushauri au nin mdada,kua na msimamo kwenye maamuz, umri huo hutakiwi kuyumba kimsimamoHabari humu ndani?
Kwa kweli ashukuriwe sana alieanzisha JF
Maana kuna muda unatamani kuongea you dont know mtu wa kukusikiliza. Ila JF inasaidia sana kufanya wengine tutoe yanayotuumiza mioyoni mwetu.