Mahusiano ya mbali ni balaa

Mahusiano ya mbali ni balaa

Didododi

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2023
Posts
351
Reaction score
475
Mahusiano ya mbali yanachangamoto nyingi hasa suala la uaminifu.Umbali huu unawezasababishwa na kazi Mfano mhusika mmoja anafanya kazi Kilimanjaro mwingine yupo mtwara.Kuonana ni miezi kadhaa hadi mwka.Hii inaleta changamoto kwani wanamahusiano hawa wasipoweza kudhibiti hisia wanawezajikuta wanamahusiano juu ya mahusiano.Kudhibiti hisia yataka moyo na mungu.
=====================================================Kuna mhusika mmoja alimuibukukia mke wake kwa kumshtukiza akakuta viatu vya mwanaume mwingine na koti kuuliza akaambiwa ni vyako nilikununulia hajakaa sawa akakuta mwenye navyo anaingia bila hata ya hodi ati anauliza huyu nani du stor ni ndefu nitatafuta muda niwape uhondo wa kilichoendelea lakini itoshe kusema kukaa pamoja na mwenza ni jambo jema hata lisipoweza kufanya kazi kwa 100% lakini litapunguza kwa kiasi suala la uchepukaji na kupunguza magongwa ya zinaa mtaani.
============================================
TWENDE MBELE TURUDI NYUMA ,FIMBO YA MBALI HAIUWI NYOKA
 
sijajua kwa upande wa ndoa sijafikia hatua hiyo bado ila hayo ni kwa experience yangu ya mahusiano kabla ya ndoa, wenye ndoa watatusaidia kwa experience ya ndoa.
Mahusiano ni mahusiano tu yawe ya ndoa au ya kihawara swala la kumichana halina mipaka.

Walioolewa wanaliwa na wasioolewa wanaliwa vile vile tena rate ya wanandoa kuchepuka ni maradufu hata ya walio single.
 
MaxGen soma hiyo, mahusiano ya mbali ni changamoto sana nmewahi kuwa nayo mara 3 na yote yaliishia na yale yale tu.
 
Kuna hao waliokuwa na ndoa yao, mume mkoa huu na mke mkoa ule. Walidumu miaka na miaka.

Baadaye walikata shauri mume amfuate mke wake mkoa ule ili waishi pamoja, na walifanikiwa.

Baada ya kuanza kuishi pamoja miezi kadhaa tu ndoa ikavunjika.
 
Mahusiano ya mbali yanachangamoto nyingi hasa suala la uaminifu.Umbali huu unawezasababishwa na kazi Mfano mhusika mmoja anafanya kazi Kilimanjaro mwingine yupo mtwara.Kuonana ni miezi kadhaa hadi mwka.Hii inaleta changamoto kwani wanamahusiano hawa wasipoweza kudhibiti hisia wanawezajikuta wanamahusiano juu ya mahusiano.Kudhibiti hisia yataka moyo na mungu.
=====================================================Kuna mhusika mmoja alimuibukukia mke wake kwa kumshtukiza akakuta viatu vya mwanaume mwingine na koti kuuliza akaambiwa ni vyako nilikununulia hajakaa sawa akakuta mwenye navyo anaingia bila hata ya hodi ati anauliza huyu nani du stor ni ndefu nitatafuta muda niwape uhondo wa kilichoendelea lakini itoshe kusema kukaa pamoja na mwenza ni jambo jema hata lisipoweza kufanya kazi kwa 100% lakini litapunguza kwa kiasi suala la uchepukaji na kupunguza magongwa ya zinaa mtaani.
Huwa haina mbali wala ukaribu, hizo ni tabia tu za watu.
Kama ulikua haujui basi ngoja nikujuze, watu wanaishi pamoja lakini kila mmoja akienda kwenye mihangaiko mwingine anatoka nyumbani kwenda kungonoka kwingine au mtu anaenda kazini lakini huko kazini bado anatoroka mara moja kwenda kubanjuka, na wakati mwingine huko kazini au mtaani watu wanajua kuwa anagusanishaga vikojoleo na fulani.
 
Kuna hao waliokuwa na ndoa yao, mume mkoa huu na mke mkoa ule. Walidumu miaka na miaka.

Baadaye walikata shauri mume amfuate mke wake mkoa ule ili waishi pamoja, na walifanikiwa.

Baada ya kuanza kuishi pamoja miezi kadhaa tu ndoa ikavunjika.
😀😀😀 nacheka kama mazuri ila ukweli mahusiano ya mbali ni mabaya na hayo madudu yaliyopelekea wakaachana yalianza kipindi wako mbali yakataka kuendelea hata kipindi ambacho walikuwa karibu
 
Back
Top Bottom